Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Mwili wa Meneja wa Mawasiliano wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya,Chris Musando umepatikana ukiwa umeharibika huku akiwa hana mikono yote. Tume hiyo ililipoti jana Polisi kuwa afisa wake hajulikani alipo tangu siku ya Ijumaa ya Julai 28 mwaka huu.Polisi wamesema kuwa mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Jiji la Nairobi. Tukio hili la kuhuzunisha linatokea huku nchi hiyo ikiwa imebakiza siku 8 kufanya uchaguzi mkuu

Na Lowassa alitoa msimamo wa CHADEMA kwamba mnamuunga mkono rais aliyeko madarakani ambaye pia ni mgombea.
 
BREAKING NEWS: Mkurugenzi wa Tehama wa Tume Huru ya Uchaguzi Kenya, Chris Musando, amepatikana akiwa amekufa baada ya kutoweka tangu Ijumaa.
 
Tofauti na Tanzania, Kenya mtu akitoweka atapatikana akiwa amekufa..
Walau ndugu na jamaa wanajua ndugu yao amekufa..

Lakini Tanzania, mtu hatopatikana kabisa mfano Ben Saanane.
Where is Ben Saanane jamani??

Muulizeni Lowassa na Mbowe, maana mnamuunga mkono mgombea urais aliyeko madarakani na huyo jamaa wa IEBC amepotea chini ya utawala wa rais-mgombea
 
Tofauti na Tanzania, Kenya mtu akitoweka atapatikana akiwa amekufa..
Walau ndugu na jamaa wanajua ndugu yao amekufa..

Lakini Tanzania, mtu hatopatikana kabisa mfano Ben Saanane.
Where is Ben Saanane jamani??


umesema kweli mkuu!nasie tulivyo na woga sasa kimyaaaaaaaa
 
Chezea Kenya wewe!
Ila sishangai......ndio siasa za Afrika zilivyo. Poleni sana majirani kwa msiba. Angalieni tu msiuane wiki ijayo.
 
Bado tu na wao hawajajifunza mbinu za kuwapoteza kabisa wasionekane?

Kumbe nnji hii imewazidi Kenya kwa mengineyo.
 
Huu ujinga Wakenya wameulea wenyewe kujifanya wanaiga Demokrasia ya Kizungu wkt wao ni Waafrika, sisi kwetu TZ ukileta ujinga ujinga Askari wetu wanakushika na haijalishi uko wapi hata Bungeni Askari wetu wanaingia na kukushikisha adabu, na bado moto utawaka Kenya na huo ujinga wenu wa democracy my dick!
 
Back
Top Bottom