Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Nilikuwa Kenya wiki iliyopita kuna jambo nimeliona limenishtua sana na nikaona nije nianzishe mada hapa labda kwa pamoja tunaweza kulitatua hili tatizo, ni kwamba nimesikia kumbe hata timu za Mpira kwenye Kenyan Premier league ni za kiethnic? Yaani nilikuwa sijui kwamba Gor Mahia ni ya Wajaluo, AFC Leopard ni ya Waluya n.k. Hili jambo limenishtua sana nafikiri hili tatizo Kenya liko deep sana, hivi chanzo chake hasa ni nini?
Naamini kabisa kwamba Kenya na Tanzania hatuna tofauti kubwa sana, wote tunasihi kwenye zilizoanzishwa na wageni (Waarabu na Wazungu) na ingawaje pia Tanzania kuna haya mambo kiethnicity lakini ni kwenye ngazi ya chini sana kama nchi yoyote ile duniani.
Sasa Kenya ilifikaje hapo? Ni kwanini hata kuwe quota system ya ethnicity kwenye ajira? Kwanini kuwe na tume ya upatanishi ndani ya nchi moja? Mimi kwangu hili jambo linanistaajabisha sana na kunifanya nijiulize maswali mengi bila ya majibu, na Kenya inawezaje kutoka hapo?
* Lengo langu ni kutaka kujifunza na kuelewa chanzo hasa ni nini?