Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Nope, that isnt the case bro.....ndani ya huu uzi wakenya wameshaanza kutumbuana kikabila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope, that isnt the case bro.....ndani ya huu uzi wakenya wameshaanza kutumbuana kikabila.
Nope, that isnt the case bro.....
It is only the differences in our opinions over the person's political philosophies. It doesnt mean that we are being tribalistic.Mnaanza kuumbuana kuhusu ukabila wa Raila.
Hata waswahili walisema mwacha mila ni mtumwa, na mwacha asili? I celebrate my language, i celebrate my tribe, i celebrate our diversity, i shun the negative ethnicity brought about by one Raila Odinga to show how divided we are. Remove Rao from the equation and the perceived divisions are minor. How many times have i been in a place where the language they speak is alien but never received any hate? Why is the hate only when there are elections? We have our minor divisions but 41 against 1 was the game changer that hopefully will not recur. A nation doesn't have to be monolingual to thrive; Somalia is one tribe, why has it experienced warfare for decades?
Acha kuwaombea wenzako mabaya, Wakenya ni Ndugu zetu. Mimi elimu ya msingi nimesoma Kenya na kubahati kushi huko kwa kuwa nina ndugu huko, mipaka ya Kikoloni iligawa Kenya na Tanzania bila kujali jamii zilizokuwa mipakani zinavyohusiana, unashangaa watu wa familia (Babu mmoja) walihawanywa wengine wako Tanzania na wengine wako Kenya, shughuli za kijamii katika shida na raha kama vile arusi, misiba na n.k tuko pamoja. Ninachofahamu ni kwamba nchi ya Kenya iko mbele kimaendeleo, nenda Nairobi uone watu walivyo na pesa, majumba yanvavyojenga, angalia watu wanavyotembea kwa haraka barabarani wakiwa katika maeneo yao ya kazi; rudi hapo Dar uone mnavyotembea kizembe, mnavyopoteza muda kucheza pool siku nzima, hala unarudi kula nyumbani bila kuzalisha kitu !! Wacha wewe kuombea wenzako mabaya, rekebisha ya kwako. Sawa ni kweli hao watu wana vituo vya runinga vya kikabila, hata shuleni tulikuwa tunafundishwa lugha ya Mama katika madarasa ya awali, je, unawazidi nini katika maendeleo ??
Rich Kenyans !! Bado sijaona ni kwa nini tunawalaum ndugu zetu Wakenya kwa kiasi hiki, mimi binafsi ni ndugu zangu Kenya na nimesomea Kenya elimu ya Msingi, hawa watu wana uzalendo sana na nchi yao kitu ambacho ni tofauti na nchi nyingine. Ukiigusa Kenya, wanaondoa tofauti zao na kukushambulia wewe, sio rahisi hicho kitu kinachohusu ukabila kikavunja umoja wao katika ngazi ya Kimataifa, angalia hata michezoni - riadha n.k wanashiriki kama Kenya sio kabila wala Ukanda fulani, angalia maendeleo yao hata barabara, watu wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kutoka Tz wamekuwa wakitumia barabara za kenya muda mrefu kwenda Nairobi, angalia kule Rorya na Tarime - Cement, mabati, sukari, nondo, sabuni mafuta ya kupikia vyote vyatoka Kenya. Watanzania ndio wanabaguana nje ya nchi, hao wakenya wakiwa nje ya nchi wanavaa nguo zenye rangi ya bendera ya nchi yao, ni vizuri Watz tukajifunza mazuri kutoka kwao kama vile kufanya kazi kwa bidii, kutumia fursa yoyote inayojitokeza nje ya nchi na kurudi kuwekeza kwetu na kuipenda nchi yetu, yale mabaya tuwaachie wayashughulike wenyewe, maana dawa yake wanayo wenyewe.
Huko ndo kuwaombea vinaya nilikoona, unaposema kuna mahala watafika watagota, hayo ndo mabaya yenyewe !!! Hata kama tunfahamu kwamba hakuna binadamu atayeishi milele, lakini huwa hatumwambii mtu kuwa utaishi kwa jumla ya miaka 80 tu, halafu utakufa tunamwombea aishi milele hata kama tunajua kuwa hawezi ishi milele. Sasa na wewe hao wakwe zako watarajiwa, usiwaombee kuwa ifafika mahali maendeleo yao yasimame au waporomoke. Kimbe hata kuoa hujaoa, bado hujui maisha, unakula kwa wazazi.Hakuna mahali nilipowaombea vibaya, kwanza ni kinyume chake, mimi girlfriend anatoka Kenya hivyo siwezi kuwaombea mabaya ila nimesema hali halisi kwa yale niliyoyaona huko, kwamba nchi ya Kenya ina limitations yaani kuna mahali watafika watagota kama vile Nigeria, AK au hata Uganda wataendela lkn watafika mahali watakwamba na hawataweza kwenda mbele na hili siya geni hapa Duniani hutokea Dunia nzima nchi zote zilizoshindwa kujenga Taifa hufikia mahali huanza kubomoa nyumba na kugawana fito!
Sioni ni jinsi gani nchi ya Kenya kwa hali jinsi ilivyo inaweza kubakia jinsi ilivyo kwa miaka 50 ijayo!
You had first painted Raila as a the poster-child of tribalism in in Kenya in your comment here, in support of Dhuks senseless comment
And now, upon being confronted over ur argument, u turn around to state that u meant that Raila is the man who creates crises in Kenya, which he capitalizes on for his political advancements. Do u then realize the contradictions in your arguments? Just bcos he spawns all these crises for his political ends, does that make him a tribalist? Does he preach hatred btwn tribes? Those two are very different things.
Raila is not the epitome of tribalism in Kenya, it exists in all us, and all our leaders merely capitalize on them for their own goals in politics. It is a problem that had begun long before Raila had indeed gained any foothold in politics.
Raila has no hand in Kikuyu Kalenjin enmity over land or Kikuyus vs masais or the cushites vs bantus, luo vs Kalenjins, or the bitter rivalries btwn tribes in the coastal regions etc. This is a problem we Kenyans must face and resolve with an open mind, not by laying the blame on one individual or group.
Sijasema Kuwa Raila is the sole cause of Tribalism. Nimesema kuwa Tribalism ni ugonjwa wa viongozi na Raila ndiye epitome of that doctrine.
Tatizo la Raila ni kuwa yeye huwa na politics of Brinkmanship. Anapenda nchi iwe in a crisis wakati wote ndiposa ajifanye kiongozi. Hata wetangula naye anakaa keshaanza upumbavu huo.
I am very real, we always had our differences but tell me when they were used so efficiently to divide us. We always looked at the ethnic composition of Moi and Kibaki cabinet but tell me when they were used on a national scale to vilify a community. Tell me of any uprising to wards the Kalenjin community during Moi era or Kenyattas rule against the Kikuyu. You should look at the composition of the Kenyan tribes and start seeing the fallacy of 41 against 1You cant be real ..blaming Raila for TRIBALISM??? Remember the one guy CALLED JOMO KENYATTA..HE STARTED IT ALL
My ans can be summarized to 3 letters:- USA.Hakuna mahali nilipowaombea vibaya, kwanza ni kinyume chake, mimi girlfriend wangu anatoka Kenya hivyo siwezi kuwaombea mabaya ila nimesema hali halisi kwa yale niliyoyaona huko, kwamba nchi ya Kenya ina limitations yaani kuna mahali watafika watagota kama vile Nigeria, AK au hata Uganda wataendelea lkn watafika mahali watakwama na hawataweza kwenda mbele na hili siyo geni hapa Duniani hutokea Dunia nzima nchi zote zilizoshindwa kujenga Taifa hufikia mahali huanza kubomoa nyumba na kugawana fito!
Sioni ni jinsi gani nchi ya Kenya kwa hali jinsi ilivyo inaweza kubakia jinsi ilivyo kwa miaka 50 ijayo!
I'll give you examples, kenyatta's (snr) violent réception in kisumu led to the 1st tribal discrimination between Luos and kikuyus. Moi as a minow and vp was openly derided by the likes of njonjo and after he clinched the seat, he went on a revenge mission by taking them out of power, marking the start of kikuyu-kalenjin beef it is these 2 enmities that culminated to the 2007 tragedy. Actions of Kibaki, Raila, etc to not budge in their views just worsened thingsI am very real, we always had our differences but tell me when they were used so efficiently to divide us. We always looked at the ethnic composition of Moi and Kibaki cabinet but tell me when they were used on a national scale to vilify a community. Tell me of any uprising to wards the Kalenjin community during Moi era or Kenyattas rule against the Kikuyu. You should look at the composition of the Kenyan tribes and start seeing the fallacy of 41 against 1
Kinachonishangaza, Kenya na Nigeria wako mbele yetu. Kinachonishangaza, tuko bize kufanya research juu ya maisha ya Wakenya tukiacha ya kwetu.Hivyo nchi ya Kenya itajitahidi kupiga hatua kubwa kimaendeleo inavyotaka lkn kuna limitations, yaani kuna mahali hawawezi kuvuka, nitatoa mfano mdogo sana ni kawaida kwa kiongozi wa Kenya kusema ,,my people" akimaanisha watu wa ethnic group yake na siyo Taifa la Kenya, kitu ambacho Tanzania sijawahi kusikia Kiongozi akisema my people, kwa kawaida sisi tukisema my people tunamaansha Watanzania!
Hivyo kama ilivyo pia nchi ya Nigeria ambapo kwa mfano wa Igbo wanakwambia wako tofauti na Wayoruba na hawawezi kuishi pmj kwa maana hakuna kinachowaunganisha, nchi ya Kenya ni ngumu sana kuona huko mbele itasimama vp kwa maana matatizo waliyo nayo ni makubwa sana chukulia tu mfano hapa Tanzania Vyuo vikuu tuna wawakiishi wa vyama vya Kisiasa labda hata Mkoa wanayotoka lkn Kenya kuna wawakilishi wa ethnic groups vyuoni, kuna TV stations za ethnics groups, kuna Radio stations za ethnics group, kuna mpaka Hospital ingawaje siyo official lkn unaweza kusema ni za kiethnics mpaka Benki, ukienda restaurant kuna Migahawa ya kiethnics, bar ha kiethnics n.k sasa unawezaje kuondoa tofauti hizi zote?
Interesting... So before Raila was born Kenya wasnt tribal? Very weird.😵Hata waswahili walisema mwacha mila ni mtumwa, na mwacha asili? I celebrate my language, i celebrate my tribe, i celebrate our diversity, i shun the negative ethnicity brought about by one Raila Odinga to show how divided we are. Remove Rao from the equation and the perceived divisions are minor. How many times have i been in a place where the language they speak is alien but never received any hate? Why is the hate only when there are elections? We have our minor divisions but 41 against 1 was the game changer that hopefully will not recur. A nation doesn't have to be monolingual to thrive; Somalia is one tribe, why has it experienced warfare for decades?
How?You cant be real ..blaming Raila for TRIBALISM??? Remember the one guy CALLED JOMO KENYATTA..HE STARTED IT ALL