Tanzania haikusaidia Kenya kupata uhuru.Mkuu historian umesoma wapi?
Kenya, Guinea Bissau, Mozambique, Zimbabwe, South Africa, Angola, Algeria ...huku more Tanzania ilipeleka vijana...haya hiyo maumau unayoongelea vijana wa TANU walikuja kuwasaidia.
Kenya was a settler economy. Mabeberu pamoja na familia zao walikuwa wanaishi Kenya kwa wingi lakini hawakuwa wanaishi Tanzania kwa wingi. Kwa hivyo beberu alikataa kuondoka Kenya bila vita maana alikuwa na shamba kubwa yenye rutuba hapa Kenya. Sasa alisema haondoki bila vita. Lakini beberu hakuwa na shamba wala kitu chochote cha maana hapo Tanzania so aliwapa uhuru maana Tanzania ilikuwa useless kwake.Ukiwa mjinga unauliwa kama kuku wa kufugwa ila ukitumia akili na maarifa unabeba chochote bila kutumia nguvu za kimwili
Hahaha imekuuma hadi umeifungulia thread. Nyie mlipewa uhuru wa karatasi ila bado wanawatawala hadi sasa hivi mzungu akikohoa tu mnaufyata bado hampo huru vibaraka wa mabeberu nyie.Kenya was a settler economy. Beberu walikuwa wanaishi Kenya kwa wingi lakini hawakuwa wanaishi Tanzania kwa wingi. Kwa hivyo beberu alikataa kuondoka Kenya bila vita maana alikuwa na shamba kubwa yenye rutuba hapa Kenya. Sasa alisema haondoki bila vita. Lakini beberu hakuwa na shamba wala kitu chochote cha maana hapo Tanzania so aliwapa uhuru maana Tanzania ilikuwa useless kwake.
Umeongea ukweli kabisa mzee. Wakati mwingine ni vizuri kusema ukweli.Ni ukweli kabisa, kilichoipumbaza Tanzania ni uhuru wa kupewa bila kutumia nguvu
Kenya na nchi nyingine zilipigania uhuru kwa nguvu hata kama Tanzania ilienda kusaidia kijeshi lakini hakuna vita vya kidai uhuru Tanzania mwenye historia alete hapa.
Machifu ndio walikua wanapigana na sio Tanzania kwa ujumla, watz tuache ushabiki mandazi, ndio maana mpaka leo CCM inatuona mabumbunda na hatuna cha kuwafanya
Majimaji walipigana zamani sana tena walikuwa wanapigana dhidi ya Wajerumani. Mimi nasema Waingereza waliwapa uhuru wenu bure bila kumwaga damu. Unapinga hilo?Katika kupigania uhuru kila nchi ilipigana kama kenya kulikua na mau mau na sisi tulikua na maji maji war zote hizo zilikua ni mbinu za kupigania uhuru na mapambano hayo yalikua na uwanda mkubwa sana
Kwa sababu Uingereza Hakuwa mtawala wetu moja kwa moja lkwa sababu baada ya Wajerumani kuondoka Waingereza waliambia waisimamie Tanganyika mpaka tuweze kujitawala.Majimaji walipigana zamani sana tena walikuwa wanapigana dhidi ya Wajerumani. Mimi nasema Waingereza waliwapa uhuru wenu bure bila kumwaga damu. Unapinga hilo?
Ni ukweli kabisa, kilichoipumbaza Tanzania ni uhuru wa kupewa bila kutumia nguvu
Kenya na nchi nyingine zilipigania uhuru kwa nguvu hata kama Tanzania ilienda kusaidia kijeshi lakini hakuna vita vya kidai uhuru Tanzania mwenye historia alete hapa.
Machifu ndio walikua wanapigana na sio Tanzania kwa ujumla, watz tuache ushabiki mandazi, ndio maana mpaka leo CCM inatuona mabumbunda na hatuna cha kuwafanya
[emoji28][emoji28][emoji28]ushabiki maandazi ni kusema tz ilizisaidia nchi nyingine kupata uhuru!!!!
wewe ndio maandazi yenyewe sasa.
Aidha UNESCO wanaendelea kutujuza kwamba:-'Roads to lndependence in Africa: The African liberation Heritage' is a multi-country programme to be hosted by Tanzania in collaboration with African Union (AU) member countries and United Nations Educational, Scientific and Cultural organization (UNESCO).
Kisha wanamwelezea Jemadari wa Mapambano:-It is an acknowledgement of the importance of liberation movements to the process of decolonization of the continent as well as the role played by Tanzania in providing material and moral support to the liberation movements which led to the struggle for independence in Southern Africa.
Hayo hapo juu yanapatikana kwenye andiko la UNESCO titled:- 'Roads to lndependence in Africa: The African liberation Heritage'. Humo vikaragosi vya Kizungu, a.k.a Kenya hawajatajwThrough Mwalimu Nyerere's leadership, Tanzania was the material, political, philosophical and spiritual base for many liberation movements, Tanzania ensured that a generation of Africa leaders was ready when the countries gained their independence. Through the "Dar School", intellectuals at the University of Dar es Salaam provided future African leaders with a philosophy of African unity (Pan - Africanism) which is still today the vision of the African Union (AU).
Na kumbukumbu zinaonesha kwamba, Nelson Mandela na Zuma walipita Jomo Kenyatta INternational Airport lakini waligoma hata kuteremka pamoja na SA Officials kuweka Red Carpet wakitarajia Mandela angeteremka wakati akiwa safarini kuelekea Libya!After Mandela was released from detention in 1990, one of the immediate international engagements was a round African trip to thank leaders, particularly of the ‘Casablanca Group’ led by Libya and ‘Frontline’ states led by Tanzania that supported ANC against apartheid.
Na hapo ndo uone tofauti kati ya Tanganyika na Kenya!!!Majimaji walipigana zamani sana tena walikuwa wanapigana dhidi ya Wajerumani. Mimi nasema Waingereza waliwapa uhuru wenu bure bila kumwaga damu. Unapinga hilo?