rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Leo ndio nimeelewa kwanini mnajipendekeza au mnajiona wazungu.Hili swali tulilifanya O' Level kwenye somo la History.
Ni rahisi kabisa
Kenya was designed to be Mzungu's country kabisa kama ilivyo Australia au South Africa au United States kabisa, sio iwe ni ya kuchukua mali na kuondoka
Wazungu walitaka Kenya iwe nchi yao ya kuishi moja kwa moja, shida ni kwamba walikuja ila idadi ikawa ndogo
Tanzania wazungu walikua hawataki kuishi humo moja kwa moja, walidizaini kama ni eneo la kuchukua raw materials tu na sio kuishi moja kwa moja
Uhuru wa Tanzania ilikua ni very easy maana hata ule mkataba wa Wakoloni ulikua very loose maana ilikua ni kama shamba tu wala mzungu hakuitaka kiivyo
Kenya ilikua tofauti, Kenya was Mzungu's native ardhi ya kuishi moja kwa moja
Hili swali tulilifanya na marks zake zilikua 25% na watoto walifaulu hili swali
Tanzania was no appealing to the whites, sababu ya hali ya hewa, culture, magonjwa, resistance kutoka kwa locals maana walikua wanaunganishwa na Kiswahili, etc
Sisi baada ya kupata uhuru tulifundishwa somo.la historia lilitokana na vyanzo vyetu wenyewe lakini nyinyi somo la historia ni lile mlilorithi kwa wazungu mmekuwa brain washed toka mlipokuwa shule na ndio maana mmekuwa kama mbwa wa wazungu.