Kenya ilipigania uhuru wake. Tanzania ilipewa uhuru bure na Mbeberu

Kijerumani yenyewe hata hamuwezi kuiongea. Watanzania nyie ni mbumbumbu sana.
Ndio maana mpaka hapa tunaongea kiswahili na hata platform hii jina lake ni la kiswahili na ww bila kiswahili hapa huwezi kuwasiliana na sisi na tutakuacha ukishangaa be proud of ur self afu uache ufala wajerumani na waingereza walijifunza kiswahili ili waongee na sisi na hata kupata uhuru hatukuwa na language barrier na kama hujui sisi ni moja kati ya nchi chache zilizotaliwa zinazomiliki lugha yake mpaka leo nyie ni kama michepuko hamna lugha ni umbumbu unakusumbua apo ukikua utaelewa
 
Kenya was a settler economy. Mabeberu pamoja na familia zao walikuwa wanaishi Kenya kwa wingi lakini hawakuwa wanaishi Tanzania kwa wingi. Kwa hivyo beberu alikataa kuondoka Kenya bila vita maana alikuwa na shamba kubwa yenye rutuba hapa Kenya. Sasa alisema haondoki bila vita. Lakini beberu hakuwa na shamba wala kitu chochote cha maana hapo Tanzania so aliwapa uhuru maana Tanzania ilikuwa useless kwake.
Sasa mbona umejijibu?
Ni sawa na leo useme Ethiopians wanavuka border kwenda kusini kwanini sisi watanganyika tusiende. Concept kuu ni mazingira/background forces zinazosababisha

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania huwa wana kiburi ya hali ya juu sana maana wanaamini kuwa wao ndio waliikomboa Afrika kutoka kwa Mabeberu. Ukiona waziri wao akifoka jinsi waliikomboa Afrika hadi mate inamtoka mdomoni na mishipa kuvimba kichwani ndio utajua kwamba hii propaganda ya CCM ni nzito sana.

Ukweli wa mambo ni kuwa nchi chache sana hapa Afrika zilipigania uhuru wao. Nchi zilizopigania uhuru kwa kumwaga damu hazijapita 12 hapa Afrika. Nitataja baadhi yao: Kenya, Guinea Bissau, Mozambique, Zimbabwe, South Africa, Angola, Algeria na zingine chache. Nchi nyingi za Afrika zilipewa uhuru wao bure bila vita. Tanzania ni mojawapo ya nchi zilizopewa uhuru bure kabisa na beberu bila Watanzania kuingia msituni kumenyana na Mzungu. Hamkumwaga damu ili kupigania uhuru wenu.

Kama nyie ni wakombozi wa Afrika mbona hamkuikomboa Kenya kutoka kwa mabeberu? Mabeberu waliua Wakenya karibia laki moja wakati wa state of emergency 1952 wakati wanapigana na Maumau. Wamama na watoto wakapelekwa kwenye concentration camp ambapo wengi walikufa kwa njaa. Wanaume walipelekwa gerezani na kuteswa na kuuawa.

Hata nchi ya Uingereza imeomba msamaha kwa ushetani waliotufanyia na kutoa pesa kama fidia. Mbona nyie hamkutusaidia? Mbona sisi tulijipigania uhuru wenyewe na kufa kwa wingi ili tupate uhuru wetu? Hakuna nchi yoyote ya Afrika iliyotusaidia kupata Uhuru. So nyamazeni. Hata hamkupigania uhuru wenu mlipewa bure. We don't owe you anything. Hatuna deni lenu maana nyie hamkutusai

simply kwasababu mnajua kutumia nguvu na sio akili..!
 
Ni ukweli kabisa, kilichoipumbaza Tanzania ni uhuru wa kupewa bila kutumia nguvu

Kenya na nchi nyingine zilipigania uhuru kwa nguvu hata kama Tanzania ilienda kusaidia kijeshi lakini hakuna vita vya kidai uhuru Tanzania mwenye historia alete hapa.

Machifu ndio walikua wanapigana na sio Tanzania kwa ujumla, watz tuache ushabiki mandazi, ndio maana mpaka leo CCM inatuona mabumbunda na hatuna cha kuwafanya
Mozambique ni moja ya nchi zilizomwaga damu katika kutafuta uhuru wake
Swali: umewahi kufika Mozambique kwa mujibu wa Aya yako ya kwanza?

Nadhani, swala la historia linahusika sana kuifanya Zimbabwe, SA na kenya kuwa hivyo baada ya uhuru wa mweusi tofauti na nchi kama Tanganyika

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Kenya was a settler economy. Mabeberu pamoja na familia zao walikuwa wanaishi Kenya kwa wingi lakini hawakuwa wanaishi Tanzania kwa wingi. Kwa hivyo beberu alikataa kuondoka Kenya bila vita maana alikuwa na shamba kubwa yenye rutuba hapa Kenya. Sasa alisema haondoki bila vita. Lakini beberu hakuwa na shamba wala kitu chochote cha maana hapo Tanzania so aliwapa uhuru maana Tanzania ilikuwa useless kwake.
Weee fala kadanganye mbwa koko wenzio huko kenya wajerumani walikuwa wanaishi wapi afu kumbe tukiwaita nyie mafala huwa hatukosei
 
Hili swali tulilifanya O' Level kwenye somo la History.

Ni rahisi kabisa

Kenya was designed to be Mzungu's country kabisa kama ilivyo Australia au South Africa au United States kabisa, sio iwe ni ya kuchukua mali na kuondoka

Wazungu walitaka Kenya iwe nchi yao ya kuishi moja kwa moja, shida ni kwamba walikuja ila idadi ikawa ndogo

Tanzania wazungu walikua hawataki kuishi humo moja kwa moja, walidizaini kama ni eneo la kuchukua raw materials tu na sio kuishi moja kwa moja

Uhuru wa Tanzania ilikua ni very easy maana hata ule mkataba wa Wakoloni ulikua very loose maana ilikua ni kama shamba tu wala mzungu hakuitaka kiivyo

Kenya ilikua tofauti, Kenya was Mzungu's native ardhi ya kuishi moja kwa moja

Hili swali tulilifanya na marks zake zilikua 25% na watoto walifaulu hili swali

Tanzania was no appealing to the whites, sababu ya hali ya hewa, culture, magonjwa, resistance kutoka kwa locals maana walikua wanaunganishwa na Kiswahili, etc
Correct!
Tanzania was a protectorate unlike jirani zake so the situation was different
 
Watanzania huwa wana kiburi ya hali ya juu sana maana wanaamini kuwa wao ndio waliikomboa Afrika kutoka kwa Mabeberu. Ukiona waziri wao akifoka jinsi waliikomboa Afrika hadi mate inamtoka mdomoni na mishipa kuvimba kichwani ndio utajua kwamba hii propaganda ya CCM ni nzito sana.

Ukweli wa mambo ni kuwa nchi chache sana hapa Afrika zilipigania uhuru wao. Nchi zilizopigania uhuru kwa kumwaga damu hazijapita 12 hapa Afrika. Nitataja baadhi yao: Kenya, Guinea Bissau, Mozambique, Zimbabwe, South Africa, Angola, Algeria na zingine chache. Nchi nyingi za Afrika zilipewa uhuru wao bure bila vita. Tanzania ni mojawapo ya nchi zilizopewa uhuru bure kabisa na beberu bila Watanzania kuingia msituni kumenyana na Mzungu. Hamkumwaga damu ili kupigania uhuru wenu.

Kama nyie ni wakombozi wa Afrika mbona hamkuikomboa Kenya kutoka kwa mabeberu? Mabeberu waliua Wakenya karibia laki moja wakati wa state of emergency 1952 wakati wanapigana na Maumau. Wamama na watoto wakapelekwa kwenye concentration camp ambapo wengi walikufa kwa njaa. Wanaume walipelekwa gerezani na kuteswa na kuuawa.

Hata nchi ya Uingereza imeomba msamaha kwa ushetani waliotufanyia na kutoa pesa kama fidia. Mbona nyie hamkutusaidia? Mbona sisi tulijipigania uhuru wenyewe na kufa kwa wingi ili tupate uhuru wetu? Hakuna nchi yoyote ya Afrika iliyotusaidia kupata Uhuru. So nyamazeni. Hata hamkupigania uhuru wenu mlipewa bure. We don't owe you anything. Hatuna deni lenu maana nyie hamkutusaidia.
Wewe nyang'au vipi?!?!
 
Hawa machalii ya Kunyaland sijui ikoje, mbona unateseka sana chalii. Kwani inauma wapi? meza chupa au kula ndizi itapoa. Tanzania this Tanzania that my God e every dah alafu na nyie wakina sisi watz mbona ivo hawa machalii wako ata kwa some forums huko majuu ambako hukuti Mtz ni wanaigeria wa SA etc kama nimekosea Tony254 tupia link wanawani waone kama kawaida na majirani tuna wang'ata na kupuliza[emoji2]

Siku sisiem ukitolewa madarakani na [emoji373]na wakina tundu 10 hivi ndo nchi itakuwa huru or else tuta endelea kupumbazwa hata na mfumo wa elimu ambao for more than 30yrs hauja rekebishwa na kuwa improved alafu tuna tegemea kizazi ambacho kipo well educated mziki uko pale pale alie nacho ataendelea kuneemeka na asiekuanacho atabaki kwenye rat race Tanzania needs change
Hoja yako ina ukweli ndani yake.
Tanzania uhuru tulipewa kama zawadi tu.
 
Hawa machalii ya Kunyaland sijui ikoje, mbona unateseka sana chalii. Kwani inauma wapi? meza chupa au kula ndizi itapoa. Tanzania this Tanzania that my God e every dah alafu na nyie wakina sisi watz mbona ivo hawa machalii wako ata kwa some forums huko majuu ambako hukuti Mtz ni wanaigeria wa SA etc kama nimekosea Tony254 tupia link wanawani waone kama kawaida na majirani tuna wang'ata na kupuliza[emoji2]
Hueleweki. Andika kwa kigiriki maana kiswahili kimekushinda.
 
Siku sisiem ukitolewa madarakani na [emoji373]na wakina tundu 10 hivi ndo nchi itakuwa huru or else tuta endelea kupumbazwa hata na mfumo wa elimu ambao for more than 30yrs hauja rekebishwa na kuwa improved alafu tuna tegemea kizazi ambacho kipo well educated mziki uko pale pale alie nacho ataendelea kuneemeka na asiekuanacho atabaki kwenye rat race Tanzania needs change
Never expect anything good to come from those European & Western screwdrivers
 
Back
Top Bottom