Kenya ilipigania uhuru wake. Tanzania ilipewa uhuru bure na Mbeberu

maswali langu la msingi ni je tulipigana au la?
kama tulipigana what was the motive of the war?
je kwa maelezo yako apo juu utaungana nami kusema africa yote kutoa Ethiopia tulpata uhuru wa bwerere maana hatukuwashinda wazungu?
Nyie mlipewa uhuru kwa kuongea tu. Hamkumwaga damu. Ndio maana hadi leo mnapenda kugombana.
 
Nyie mlipewa uhuru kwa kuongea tu. Hamkumwaga damu. Ndio maana hadi leo mnapenda kugombana.
so budaa ulitaka tupigane na nani? Germany? Britain? league of nations? UNO? UN?
 
Nyie mlipewa uhuru kwa kuongea tu. Hamkumwaga damu. Ndio maana hadi leo mnapenda kugombana.
huu ni wivu +rohombaya tuu, nyie mliopigana mbona police brutality
ipo kwa wingi?
mbona 2007 mlichinjana?
mpo kwe nchi hatarishi kuishi duniani je uko kupigana kuliwasaidia nini nyan^gau?
 
huu ni wivu +rohombaya tuu, nyie mliopigana mbona police brutality
ipo kwa wingi?
mbona 2007 mlichinjana?
mpo kwe nchi hatarishi kuishi duniani je uko kupigana kuliwasaidia nini nyan^gau?
Kupigana kulitusaidia kupata Uhuru. Halafu nyang'au ni wewe.
 
Sasa ulitaka Tanzania iokoe Kenya from brutality za mabeberu in 1952 wakati at that time Tanzania hiyo hiyo ilikuwa chini ya usimamizi wa Uingereza, how was this going to be possible? Jaribu kufikiria siku zingine. Tanzania iliwasaidia Mozambique, Zimbabwe just to name a few kupata uhuru and this happened after Tanzania was liberated na kuwa na jeshi lake. I hope utakuwa umeelewa sasa.
 
Kupigana kulitusaidia kupata Uhuru. Halafu nyang'au ni wewe.
asa ambae ajapata uhuru n nani?
tena tuliwah kabla yenu...
af usiseme mlipigana sema wakikuyu ndo waljaribu kupambana umeskia we nyan^gau!! mtoto wa nyan'gau n nyan'gau tuu awez kua nyau
 
Nyie mlipewa uhuru kwa kuongea tu. Hamkumwaga damu. Ndio maana hadi leo mnapenda kugombana.
Sawa, nyie mlipata uhuru kwa kupigana....mbona mpaka leo mnachinjana kama watu wa Boko Haram au Janjaweed, shida ni nini? Ndiyo tuseme mmezoea kuuana au you just miss seeing innocent people dying for the sake of tribalism?
 
Aisee ujinga ni kipaji Kenya imepigana MAUMAU in the 1950s Tanganyika imepata Uhuru December 1961, Kenya 1963 tungewasaidia muda gani wakati wenyewe tulikua tunatafuta Uhuru
 
Tanzania ilipata uhuru mapema sana kutoka kwa wajeruman after WW1. League of nation ikatuweka chini ya usimamizi wa UK. UK akapewa mamlaka ya kutusimamia mpaka tutakapoweza kujitawala wenyewe. Kwa hiyo Nyerere alitumia lugha ya kawaida tu kuwaambia wa UK waturejeshee nchi yetu.
Pia uhuru wa Tanzania ulifanikiwa kwa sababu uliwahusisha watu wa dini.
 
Hata mjerumani ali design tanganyika hivyo hivyo tofauti ilianza mjerumani aliposhindwa vita tanganyika ikawa chini ya united nations organization na muingereza kama muangalizi tu hivyo tokea mjerumani ashindwe vita sisi tulikuwa tunauwezo wa kupata uhuru bila kumwaga damu
Na ndio maana nyerere uhuru wa tanganyika aliulilia zaidi umoja wa mataifa maana mwingereza alikuwa mwangalizi tu
Sisi kama kumwaga damu ilikuwa n kumpinga mjerumani ila mwingereza tulihitaji kujielewa kumuondoa
 
Kijerumani yenyewe hata hamuwezi kuiongea. Watanzania nyie ni mbumbumbu sana.
 
"resistance from the locals" I like that 😂😂
 
akili za kinyan'gau hizi kuvaa koti la suti shati imechanika mgongoni na briefcase ndani inagazeti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kenya pekee English man wakiafrica
Sijawahi kusikia Mtanzania akiongea Kijerumani hata ile ya kubahatisha tu. Yaani nyie Malazy mlijifunza zero kutoka kwa Wajerumani.
 
akili za kinyan'gau hizi kuvaa koti la suti shati imechanika mgongoni na briefcase ndani inagazeti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kenya pekee English man wakiafrica
Oneni hii "bananenbieger" yenye akili za kitumwa.
Sasa kama mna IQ kama ya Nzi mngejifunza vipi Kijerumani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…