Kenya ilipigania uhuru wake. Tanzania ilipewa uhuru bure na Mbeberu

Leo ndio nimeelewa kwanini mnajipendekeza au mnajiona wazungu.
Sisi baada ya kupata uhuru tulifundishwa somo.la historia lilitokana na vyanzo vyetu wenyewe lakini nyinyi somo la historia ni lile mlilorithi kwa wazungu mmekuwa brain washed toka mlipokuwa shule na ndio maana mmekuwa kama mbwa wa wazungu.
 
Mimi nawatukana hao kwa sababu hawakukufundisha adabu kama wangekufundisha ungekuwa na adabu nzuri ukajua namna gani unaweza kujenga hoja bila kuingiza matusi kama umesomea udaktari labda wa vichaa maana akili yako inafanana hivyo isitoshe magonjwa mengine ni ya familia kama hilo lako
 
Diamondi hana elimu ya chuo lakini mafanikio yake kila mtu anayaona, Bakhresa hana elimu kubwa lakini mafanikio yake hayajifichi wewe unayesema una AAA na GPA ya 4 nani anakujua au una mchango gani kwa maisha yangu.
Nimekuonyesha jinsi gani ulivyo limbukeni kina Bill Gates hawakumaliza chuo lakini wanaitetemesha dunia halafu unakuja hapa kuniambia sijui form six nilipata nini chuo nilipata nini hivi unanijua vizuri au unajua elimu yangu sanasana wewe ni mburula fulani hauna chochote cha kunizidi kwenye maisha yangu
 
Hivi ni uhuru gani wakenya mnazungumzia? Lini mmekuwa huru ikiwa hamwezi kufanya kitu bila kupokea instructions kutoka kwa hao mabeberu? Tulipotaka kuwakomboa kupitia EAC mkatukacha kwa kuleta ubinafsi ambao mpaka juzi kati hapo mmeendelea kuuonesha kwa mgongo wa corona.

Kenya has never been a free country. Sasa hivi mabosi wenu washagundua chanjo ya hiyo kitu mnaita corona. Nyie mmeagiza unit ngapi? Mabosi wenu waingereza wameagiza mil 40!

Kenya buana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…