Wana jeuri ya kulazimisha movie ya Wakanda inahusu Kenya bila kujua historia ya Black panthers!Unadhani Kenya ingekua na jeuri ya kukataa kumdeport US ili kuface charges?
Tunajua mpaka hapo umekalia kiti aina gani na unatarajia kutoa shuzi la parameter ngapi.Tanzania wangepata wapi intelligence kuwa yeye ni fugitive lol
Kawaida ya wakomunisti na propaganda domo domo ukweli sifuri..... maneno meengi kujitetea ,matendo zero, ujamaa bana ni pumba tupu.Tunajua mpaka hapo umekalia kiti aina gani na unatarajia kutoa shuzi la parameter ngapi.
Don't underestimate Intelejensia ya Tanzania
Mzungu wa watu akadhani akifika Kenya atakuwa salama, bora hata angekuja bongo, tena angefichwa. Tuna historia ya kuficha fugitives wa marekani, like black panthers leaders, now they are old, residing in arusha. Sell out Kenya
Sasa watajuaje kwamba Kenya iko nyuma ya mabeberu, na imeapa kuwafuata mabeberu popote wanapokwenda na chochote wanachofanya.
Sasa sijui naye yule Miguna wamfutie uraia na kumrudisha kwa kuleta vurugu uwanja wa ndege na maeneo mengine!!!?
Unadhani Kenya ingekua na jeuri ya kukataa kumdeport US ili kuface charges?
Huyu ni criminal. Kwa hivyo mlikuwa mnataka Kenya ikatae kumdeport criminal kama huyu ambaye alileta vurugu na fujo ili Joe Biden asiwe rais? Yaani eti mnasema kwamba mngemhifadhi huyu criminal? Wacheni mchezo bwana. Kenya tunaheshimu sheria za kimataifa. Hata wewe ukifanya ujinga kwenu halafu uje kujificha Kenya tutakukamata na kukurudisha kwenu ukashtakiwe huko. Hatutaki criminals huku.
Inteligence yavTanzania ilimrudisha jihad john yule aliekua mchinjaji wa is kwao uingereza,Tanzania tuna intelegence kubwa kuliko kenya kwa taarifa,huyo mmerudisha ili mpate sifa then hapo hapo mpate sympath ya kukubaliwa mkopoTanzania wangepata wapi intelligence kuwa yeye ni fugitive lol
Nakumbuka hili sakata la jihad john alidakwa airport akiwa chakari kwa pombeInteligence yavTanzania ilimrudisha jihad john yule aliekua mchinjaji wa is kwao uingereza,Tanzania tuna intelegence kubwa kuliko kenya kwa taarifa,huyo mmerudisha ili mpate sifa then hapo hapo mpate sympath ya kukubaliwa mkopo
[emoji16][emoji16][emoji16]cheki nduza hili.Wengine wetu kusini na uoga wao hawawezi thubutu.
Lema hakuwa anatafutwa na serikali, sasa sijui unadhani mngemrudisha wapiWashamba nyie, Kenya ina 'extradition treaty' na US, hata mkenya akitorokea US atarejeshwa tu nchini Kenya. Ikiwa amevunja sheria yeyote ile nchini Kenya na hivyo hivyo kwa raia wa Marekani. Haya ni makubaliano ya muda mrefu sana kati ya serikali za US na Kenya na haihusiani kwa njia yeyote ile na uzungu wala uafrika. Mataga naona imewauma sana kwasababu mlitegemea tumrejeshe yule mbunge wa zamani aliyetorokea Kenya. Pole yenu kama mlitegemea kushabikia Godbless Lema akidhulumiwa bure na vikaragosi vya 'mzee'.
Lema alihamishwa kutoka Kajiado Police Station karibu na mpakani Namanga, chini ya ulinzi mkali, hadi kwenye safe house jijini Nairobi kwasababu mlimfata hadi Kenya.Lema hakuwa anatafutwa na serikali, sasa sijui unadhani mngemrudisha wapi
Huo ulinzi mkali was for nuthn, nobody was looking for him, ni uwoga wake tu, mtu yupo bungeni for years hajatafutwa, ameshindwa kura hana wadhifa wowote wa kuisumbua government, ndio aje atafutwe, wa kazi gani, ila tunawajua nyinyi wakenya, sell outs since your genesis.Lema alihamishwa kutoka Kajiado Police Station karibu na mpakani Namanga, chini ya ulinzi mkali, hadi kwenye safe house jijini Nairobi kwasababu mlimfata hadi Kenya.
Povu la nini jombaa, unataka kuwalaumu wakenya wakati Lema ndiye aliyetorokea Kenya? [emoji1] Hatukumualika sisi, kama una hasira sana naye kamfate ukamchinjie huko huko Canada. [emoji38]Huo ulinzi mkali was for nuthn, nobody was looking for him, ni uwoga wake tu, mtu yupo bungeni for years hajatafutwa, ameshindwa kura hana wadhifa wowote wa kuisumbua government, ndio aje atafutwe, wa kazi gani, ila tunawajua nyinyi wakenya, sell outs since your genesis.