Kenya ime-deport mzungu mmoja aliyeshiriki vurugu huko Marekani katika Capitol riots ya Jan 6th

Kenya ime-deport mzungu mmoja aliyeshiriki vurugu huko Marekani katika Capitol riots ya Jan 6th

Kuna mzungu mmoja mjinga kwa jina la Isaac Sturgeon alienda kufanya fujo katika Jan 6th capitol insurrection in Washington DC ambapo supporters wa Trump walienda kuzuia Joe Biden kuwa confirmed kama rais wa Marekani.

Baada ya kufanya fujo na kushindwa kuzuia Biden kuwa confirmed kama rais mpya wa Marekani, mzungu mmoja alidhani kwamba akija kujificha Afrika kwamba ataponea mkono mrefu wa sheria. Huyo Jamaa amekamatwa na kurudishwa kwao ili ajibu mashtaka.


Kenya wakaamua kumchoma🔥🔥
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom