Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
tungemsifu kuliko MUNGU
Kuna watu wangesema "wanamuomba mungu amshukuru Magufuli".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tungemsifu kuliko MUNGU
Sisi Tungeanzisha mbio za bendera ya Taifa nchi nzima , kama zile mbio za mwengeWakuu sioni Wakenya wakipongezana kwa hili sijaona Raisi wao akipongezwa kwa hatua hii. Ila ingekuwa kwetu nahisi tusingelala kabisa na shughuri zingesimama.
Kuwa Mwenyekiti wa SADC tu ni shida kana kwamba tulikuwa tunashindanishwa na Nchi zingine basi Tanzania ikashinda.
View attachment 1187074
Hakuna nchi ndogo ...Kenya ilishindanishwa na kanchi kadogo!
Nimecheka mpaka mlinzi kanipigia simuIngekua nikama mkulu kavumbua bara jipya
Dr Shika Mzee wa misifa, hivi ameishia wapi na madolari yake. Naona kimya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mzee shika.Yangetangazwa mapumziko ya wiki nzima. Maana hii ya SADC ni rotation ya kawaida tu kiasi kwamba hata angekuwa Dr Shika ndiiye Rais bado angekuwa ndiye mwenyekiti mpya wa SADC. Lkn huko ulimwengu wa sifa wanasifu hatari
Aheri kushindanisha na nchi ndogo kuliko kupongezana kwa nafasi za mzunguko ambazo hazina ushindani wowote.Kenya ilishindanishwa na kanchi kadogo!
Dr Shika ni mtu wa wapi yule? Ni kabila gani? Maana kuna makabila mtu akipata hata mafanikio kiduchu kabisa au hata yasipokuwepo kabisa, matangazo utadhani yeye ndiye Bilgates!Dr Shika Mzee wa misifa, hivi ameishia wapi na madolari yake. Naona kimya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mzee shika.
Wewe unafatilia mainstream za Kenya? Unajua platform kubwa za mijadala ya huko? Nyie mnaohangaika na JPM kupongezwa mnashida zaidi kuliko tatizo lenyewe.Wakuu sioni Wakenya wakipongezana kwa hili sijaona Raisi wao akipongezwa kwa hatua hii. Ila ingekuwa kwetu nahisi tusingelala kabisa na shughuri zingesimama.
Kuwa Mwenyekiti wa SADC tu ni shida kana kwamba tulikuwa tunashindanishwa na Nchi zingine basi Tanzania ikashinda.
View attachment 1187074
Kenya wanatuzidi kwa mengi.Yaaaani ukifatilia Kenya jf iko Kama na watu wako ishi milele
Tungeambiwa mara ya mwisho ilikuwa miaka zaidi ya 20 iliyopita. Au Victoire nadanganya? Maana nyie wasukuma kale kamsemo ka NIGUSE NINUKE kalizaliwa kwenu!Wakuu sioni Wakenya wakipongezana kwa hili sijaona Raisi wao akipongezwa kwa hatua hii. Ila ingekuwa kwetu nahisi tusingelala kabisa na shughuri zingesimama.
Kuwa Mwenyekiti wa SADC tu ni shida kana kwamba tulikuwa tunashindanishwa na Nchi zingine basi Tanzania ikashinda.
View attachment 1187074
Naona umeibuka mpiga mapambioWewe unafatilia mainstream za Kenya? Unajua platform kubwa za mijadala ya huko? Nyie mnaohangaika na JPM kupongezwa mnashida zaidi kuliko tatizo lenyewe.
Balaza la Usalama ni Junk organ
Your point is ...., na sio you are point is.....!You are point is........?
[emoji1][emoji1][emoji1] Comment zinafurahisha, sana. Ngoja niwaite wanakwaya. Kiranga.
Ha ha ha ha....!Ingekua nikama mkulu kavumbua bara jipya
Duh....!Kuna watu wangesema "wanamuomba mungu amshukuru Magufuli".
Hiki kiinglish ni cha Chato?You are point is........?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My ribs jamn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]