Kenya imechaguliwa kuwa mwakilishi wa bara la Afrika kwenye Baraza la Usalama la UN

Sisi Tungeanzisha mbio za bendera ya Taifa nchi nzima , kama zile mbio za mwenge
 
Yangetangazwa mapumziko ya wiki nzima. Maana hii ya SADC ni rotation ya kawaida tu kiasi kwamba hata angekuwa Dr Shika ndiiye Rais bado angekuwa ndiye mwenyekiti mpya wa SADC. Lkn huko ulimwengu wa sifa wanasifu hatari
Dr Shika Mzee wa misifa, hivi ameishia wapi na madolari yake. Naona kimya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mzee shika.
 
Dr Shika ni mtu wa wapi yule? Ni kabila gani? Maana kuna makabila mtu akipata hata mafanikio kiduchu kabisa au hata yasipokuwepo kabisa, matangazo utadhani yeye ndiye Bilgates!
 
Wewe unafatilia mainstream za Kenya? Unajua platform kubwa za mijadala ya huko? Nyie mnaohangaika na JPM kupongezwa mnashida zaidi kuliko tatizo lenyewe.
 
Tungeambiwa mara ya mwisho ilikuwa miaka zaidi ya 20 iliyopita. Au Victoire nadanganya? Maana nyie wasukuma kale kamsemo ka NIGUSE NINUKE kalizaliwa kwenu!
 
Wewe unafatilia mainstream za Kenya? Unajua platform kubwa za mijadala ya huko? Nyie mnaohangaika na JPM kupongezwa mnashida zaidi kuliko tatizo lenyewe.
Naona umeibuka mpiga mapambio
 
Naona kama vile these guys...Kenyans...have a lot ya kimaendeleo wanayafanya, hence hawana muda wa kupoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…