Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Niliolewa na kuachika mwaka janaHivi wewe umeolewa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliolewa na kuachika mwaka janaHivi wewe umeolewa??
Ndio hapo sasa. Swali zuri sana hili mkuuKwani general tyre ikufa kipindi cha mwendazake...?
Usijali ndugu yangu tunafanya kuupdate uzi wakoOkay kila la kheri mkuu katika operation yako ya kutaka kuninyakua
Ibrahim infantry soldier nisamehe sana tambua nilifanya vile kwa kujua ni masihara ila pole sana najua maumivu uliyopitiaYameisha mkuu. Nilikaa nalo sana jambo hilo moyoni mpaka nilikuwekaga ignore list. Ila nikakutoa mwezi uliopita wa April.
Poa mkuuUsijali ndugu yangu tunafanya kuupdate uzi wako
Poa. It's okayinfantry soldier nisamehe sana tambua nilifanya vile kwa kujua ni masihara ila pole sana najua maumivu uliyopitia
Haya ni masihara aisee baki na amani katika kujenga taifaSawa nitamuaga mkuu
Ibrahim sio jina langu mkuu. Njoo PM nikupe jina langu halisi kwa ukamilifu wake.Ibrahim infantry soldier
Naruhusiwa,,,,,Niliolewa na kuachika mwaka jana
Haina noma mkuuHaya ni masihara aisee baki na amani katika kujenga taifa
Utekaji kwa maslahi ya taifa (defensive counterintelligence) nitaendelea kuunga mkono kwa 100% mpaka siku natakayokufa.
Kwa kuwabana chahademaz kweli hawakulala, walipambana day and night kujua mishe na ratiba zote za mwenyekitiAsee ni vile mko mbali na systeam...hivo amuwez jua lolote...
Hakuna watu wanaopambana usiku na mchana kama Tz Intell!genc!!!!!(Tiss"""Mi"")
Just saying I am wrong without proving how, sio nzuri mkuu?..You are WRONG.
Wapinzani hawana hoja zenye mashiko wanachojua wao ni ulonzi tuJust saying I am wrong without proving how, sio nzuri mkuu?
Chadema ni wahuni tu kama wahuni wengine wa panya roadKwa kuwabana chahademaz kweli hawakulala, walipambana day and night kujua mishe na ratiba zote za mwenyekiti
Mke wa mtu huyo, wee shauri yako.Naruhusiwa,,,,,
MhhhNiliolewa na kuachika mwaka jana
Unalipenda neno "military intelligence"?tunaona matokeo yao kwenye ulinzi na usalama tu na pengine kwa juhudi za millitary intelligency, viwanda vyote vilihamia kenya, ni wakati wa Mzee Magufuli tu tuliweza kufua dafu kidogo na sasa tunaona mama anaturudisha nyuma
Nakuona kada wa chama cha kijaniNaruhusiwa,,,,,
Cha mtu huliwa na mtuMke wa mtu huyo, wee shauri yako.