K Mwita
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 356
- 314
Samia Mungu azidi kukulinda Rais wetu.Usimfananishe Rais Samia na watu wa hovyo hovyo aisee. Huyu mama ni mchapakazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia Mungu azidi kukulinda Rais wetu.Usimfananishe Rais Samia na watu wa hovyo hovyo aisee. Huyu mama ni mchapakazi.
Rais Samia amekomesha rushwa na ufisadi. Hakika huyu mama ni shujaa wa Tanzania.Samia Mungu azidi kukulinda Rais wetu.
Mwambie Rais Samia akaze hapo hapo na usigeuke nyuma kwa maana watanzania wengi hawajui wanataka nini.Rais Samia amekomesha rushwa na ufisadi. Hakika huyu mama ni shujaa wa Tanzania.
Kufikia October Rais Samia na JPM walifikia 98% ya ushindi wao hata kabla ya upigaji wa kura kuanza.Mwambie Rais Samia akaze hapo hapo na usigeuke nyuma kwa maana watanzania wengi hawajui wanataka nini.
Viongozi wa bara la Ulaya na Asia kama vile Waziri mkuu wa India Narendra anamkubali sana Rais Samia.Kufikia October Rais Samia na JPM walifikia 98% ya ushindi wao hata kabla ya upigaji wa kura kuanza.
Mbona chadema kama vile wanapanic? Ina maana hawapendi maendeleo anayoleta Rais Samia?Viongozi wa bara la Ulaya na Asia kama vile Waziri mkuu wa India Narendra anamkubali sana Rais Samia.
Nyamambara wewe ni mjita au mhaya?Mbona chadema kama vile wanapanic? Ina maana hawapendi maendeleo anayoleta Rais Samia?
Sawa babaViongozi wa bara la Ulaya na Asia kama vile Waziri mkuu wa India Narendra anamkubali sana Rais Samia.
Kwanini mkuu?Issue ya viwanda kufa Tz na kufufukia kenya ni issue ya ujamaa na ubepari tu
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Aliyekuwa akikwamisha biashara hayupo sasa ni miaka miwili sasa, Kuna kiwanda kipya kipi kimejengwa?Swadakta kabisa mkuu, kinachoigharimu Tz yetu ni mifumo ya hovyo na ujanja² wa kiswahili. Mtoa mada + MATAGA wanahangaika sana kulinda legacy ya Jiwe, hawataki kusema ukweli kwamba uchumi wa Tz kudorora ni matokeo ya;
Hamna cha ujasusi wala nini.
- Sheria kandamizi
- siasa chafu
- ulimbukeni wa viongozi
- visasi
- wivu wa kitoto kwa wenzetu n.k n.k
Kipi kifanyike ndugu mtaalamuIssue ya viwanda kufa Tz na kufufukia kenya ni issue ya ujamaa na ubepari tu
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Huwezi kuitenganisha TISS na uchumi wa nchi yoyote duniani...nadhani tunakosea sana kuwakweza TISS na kukabidhi maisha yetu mikononi mwao.
..suala la viwanda kufa au kustawi linategemeana na mazingira ya kibiashara yaliyoko Tz.
kauli ya kijinga sana hii.Asee ni vile mko mbali na systeam...hivo amuwez jua lolote...
Hakuna watu wanaopambana usiku na mchana kama Tz Intell!genc!!!!!(Tiss"""Mi"")
Hata hivyo Tanzania haiwezi kushindana na Kenya in any caseTanzania inaweza kushindana na Kenya Ila watanzania hawawezi kushindana na wakenya
[emoji867][emoji867][emoji867]Muhimu ni ushindani. Na kwenye dunia kama hii huwezi kukwepa ushindani kwasababu ndicho kichocheo cha ubora.
Mfano kwenye tenders, watanzania wangapi wanapata?
Ukiwapa wabongo, ndio hao kama kina Lugumi.
Tender nyingi hasa za ujenzi wachina wanachukua, sasa kuna tofauti yeyote hata wakipata wakenya?
Mfano: Kwenye banking sector, nini kinafanya banks kubwa na kongwe kama NMB, NBCna CRDB kushindwa kufungua matawi hata Kenya huko?
Huduma mbovu balaa.
Tanzania hapa kuna mabenki ya Kenya kibao: KCB, Equity,
Sisi tumebaki kulalamika tu. Ukimwajiri mbongo yaani Jumatatu anaumwa, Jumanne, kafiwa na bibi yake, Jumatano baba yake wa babu yake ana birthday, Alhamisi amepata dhatula mke wake anaumwa, Ijumaa akijitahidi atakuja kazini lakini ataomba ruhusa saa 4 asubuhi.
Wakati huo atakuwa analalamika sana mshahara hautoshi.
Wabongo tubadilike, hatuwezi kuishi hivi siku zote.
Tumekuwa kama Wazulu wa South Africa.
Unabagua kazi za kufanya, akizifanya mtu mwingine unaona wivu na chuki.
Inasemekana asilimia kubwa ya watu wa muwambao wa bahari ya Hindi ni wavivu[emoji867][emoji867][emoji867]
Pale Zenji tatizo hili limeota na mizizi kabisa yaani mpaka huwa najiuliza Tanzania tutaendelea kwa staili hii kweli??
Kwanini mama mkwe?Hata hivyo Tanzania haiwezi kushindana na Kenya in any case
How is this even possible? Can you please elaborate more?Tanzania inaweza kushindana na Kenya Ila watanzania hawawezi kushindana na wakenya
Personality mtanzania vs mkenya = TZ 0How is this even possible? Can you please elaborate more?