1.vita ya dunia ya leo haitegemei sana Bandari bali Airport,siku hizi kuna ndege zinabeba mpaka vifaru
2.umewaongelea Alshabab,hawa ni wazi walelidhoofisha jeshi la Kenya,vita ni timing tu,huku UG akipiga kule Alshabab wakapiga fasta Kenya anawezachapwa
3.Mikenya haipendani ina ukabira, UG inaweza kuchochea vurugu za ukabila before attacking,
4.vita ni vita tu,fuatilia vita ya kagera,Nyerere alipata kazi ku mobilize jeshi kuja front,hata sasa muda huu saa 10:49 usiku Tz ivamiwe tutachapwa haraka mpk kesho tujipange sababu hatukawa tayari na vita, na kulingana na sheria za JWTZ wakuu wa vikosi hawatumi askari sehemu mpaka CDF atowe order ambayo pia anapewa na Rais, so vita ni timing tu japo sipingi sana hoja zako lakini unapaswa ufikirie pia UG anaweza tumia timing
Toto la Museven haliwezi kuropoka tu,wao sio wajinga waseme vile kwa nchi wanayojua ina uwezo kuwazidi wa jeshi maana kule ni kutangaza vita,