Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kenya Rushwa ipo mpaka jeshini (Ajira, vyeo, manunuzi ya silaha). Usitegemee kesho lenye nidhamu.Kina MK254 nao wapo kimya ujue kuna ka ukweli 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya Rushwa ipo mpaka jeshini (Ajira, vyeo, manunuzi ya silaha). Usitegemee kesho lenye nidhamu.Kina MK254 nao wapo kimya ujue kuna ka ukweli 😁😁
Ni jeshi gani duniani uliwahi ona lina vikosi vinafuatana namba. Kwamba kikosi 1,2,3,4?Tz hana mazoea ya ku-publish taarifa zake online. Mambo mengi sana yanakuwa reserved.
Ushawahi kujiuliza kwanini vikosi vya jeshi vina namba mchanganyiko? Yaani 91KJ, 832K...n.k
Wewe una akili sana tena haupingani na emotions na blind patriotism. Tofauti na wengine humu.Kwahiyo unaamini mahindi ya Tanzania yataifanya Kenya ishindwe vita na Uganda. Na aliyekwambia Tanzania itashirikiana na Uganda nani au wametangaza military alliance.
Kwani EAC ilivyovunjika miaka ya Nyerere mipaka ya Tanzania na Kenya ikafungwa walikufa njaa kisa hatuwauzii chakula.
Basi wewe usiyetumia ushabiki, toa sababu za Uganda kuishinda Kenya vitani
-kdf ndiyo jeshi la kisasa, lenye vifaa, mitambo,silaha za kutosha ndani ya east and central africaHuwezi kufananisha jeshi la kenya na uganda, weka vigezo vyote labla hilo la logistics tuu kwamba kenya kuna bandari, nani anatumia bandari tena kwenye emergencies?mtakufa njaa
Kenya KDF ni upuuzi tuu al shabaab wenyewe wanweza kuwafanya wanachotaka na msiwafanye chochote kile
-kenya nchi tajiri wanawaza kukuza Uchumi sio vitaWaijaribu Tz , tuwazalishe
You're a very smart fellow. Ungekuwa hapa nairobi tungekunywa Heineken kadhaa.1. Hizo ndege za kubeba vifaru airlifters Uganda wanazo? Hawana ndege ya kubeba hata tani 40 hao. Na sijasema kwa lengo la kijeshi, kiuchumi Kenya ikizima huduma za bandari kwa mizigo ya Uganda 80% ya mizigo yake itakosa la kupita. Bandari sio kama television channels kwamba watahamia Dar es Salaam siku hiyo hiyo, kwanini wasitumie Dar sasa watumie Nairobi mizigo yote hiyo. Kama unadhani Uganda imekuwa Israel kufanya airlifting ya bidhaa za kiraia kwenye vita basi sawa, wabebe petroli, madawa, magari, vyakula na matumizi mengine kwa cargo jets alafu mseme uchumi hautoathirika. Mpaka bandari ya Dar ije kusawazisha mambo washapigwa inflation ya hali ya juu.
2. Sasa kama hujui kitu kinacholikuza jeshi la Kenya ni Al Shabaab. Yani unaamini katika dunia hii al Qaeda na Taliban zilidhoofisha jeshi la Marekani? Unaamini ISIS ilidhoofisha jeshi la Urusi? Ushawahi ona Pentagon wakitaka hela za miradi na kununua silaha huwa wanatumia visingizio gani, ushaona Kenya ikinunua silaha kisingizio ni nini, unajua kisingizio walichotumia Kenya kumshawishi Trump aruhusu Marekani iwauzie helicopters wakati Obama alikataa ni nini. Hawakuwa na silaha walipoanza missions wakanunua kama hizo armmoured vehicles na helicopters.
Uganda ikishirikiana na Al Shabaab (jambo ambalo sio rahisi) si Kenya inawavutia Lord's Resistance Army kina Joseph Kony (rahisi zaidi).
3. Uganda haina intelligence ya kufanya hivyo, hakuna nchi unaivamia mwenyewe ukitarajia support ya local community wakati raia wanakubaliana na serikali yao. Ukabila hata Uganda upo, hapo unazungumzia nchi yenye Kabaka na mwenye vijana wake ambao hubishana na serikali, na Kabaka serikali haimfanyi chochote labda ijiandae kuuana na Baganda.
4. Vita ni vita, logistics ni sehemu ya vita. Offensive, defensive, counter offensive zina timelines zake ila mwisho wa siku Uganda anapigwa.
Kwamba kisa Muhoozi karopoka basi watashinda, Amin si ariropoka dhidi ya Tz, alishinda?
uganda ndio kuzidi maafisa wengi wa juu wa jeshi ni Wanyankole,Kenya Rushwa ipo mpaka jeshini (Ajira, vyeo, manunuzi ya silaha). Usitegemee kesho lenye nidhamu.
Askari wa Kenya waliopora biskuti Westgate?uganda ndio kuzidi maafisa wengi wa juu wa jeshi ni Wanyankole,
Kikubwa jeshi la kenya nidhamu ni 0,plus ukabila,updf wanajua udhaifu wa kdf,hao kdf kwenye operesheni zao nyingi wanafeli
Tanzania hatuwez kumpiga mwanetu Uganda ni Mtoto wetu kabisa mjinga ni Kenya tu hapo..Muhoozi ni mpumbavu.
..watu wanafikiria kujenga uchumi na kuondoa umasikini yeye anawaza vita.
..Nashauri Tanzania na Kenya ziungane kumtandika Uganda ikiwa kutatokea chokochoko.
MK254
Mkuu hao jamaa zako wa bahima akili yao si ndipo ilipolala huko kwenye vita..Muhoozi ni mpumbavu.
..watu wanafikiria kujenga uchumi na kuondoa umasikini yeye anawaza vita.
..Nashauri Tanzania na Kenya ziungane kumtandika Uganda ikiwa kutatokea chokochoko.
MK254
..Muhoozi ni mpumbavu.
..watu wanafikiria kujenga uchumi na kuondoa umasikini yeye anawaza vita.
..Nashauri Tanzania na Kenya ziungane kumtandika Uganda ikiwa kutatokea chokochoko.
MK254
Tanzania ina vifaru 42 tu!?Zana za KivitaView attachment 2379208