Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

Tz hana mazoea ya ku-publish taarifa zake online. Mambo mengi sana yanakuwa reserved.
Ushawahi kujiuliza kwanini vikosi vya jeshi vina namba mchanganyiko? Yaani 91KJ, 832K...n.k
Ni jeshi gani duniani uliwahi ona lina vikosi vinafuatana namba. Kwamba kikosi 1,2,3,4?

Huo utaratibu wa JW ndio utaratibu wa majeshi duniani
 
For Uganda to successfully capture Nairobi their have to establish an air bridge to Nairobi and maintain air superiority 24/7 . Otherwise a ground campaign of more than 300km inside Kenya Will be a disaster.
 
Kwahiyo unaamini mahindi ya Tanzania yataifanya Kenya ishindwe vita na Uganda. Na aliyekwambia Tanzania itashirikiana na Uganda nani au wametangaza military alliance.

Kwani EAC ilivyovunjika miaka ya Nyerere mipaka ya Tanzania na Kenya ikafungwa walikufa njaa kisa hatuwauzii chakula.

Basi wewe usiyetumia ushabiki, toa sababu za Uganda kuishinda Kenya vitani
Wewe una akili sana tena haupingani na emotions na blind patriotism. Tofauti na wengine humu.
 
Huwezi kufananisha jeshi la kenya na uganda, weka vigezo vyote labla hilo la logistics tuu kwamba kenya kuna bandari, nani anatumia bandari tena kwenye emergencies?mtakufa njaa

Kenya KDF ni upuuzi tuu al shabaab wenyewe wanweza kuwafanya wanachotaka na msiwafanye chochote kile
-kdf ndiyo jeshi la kisasa, lenye vifaa, mitambo,silaha za kutosha ndani ya east and central africa
-Kuhusu alshabab hao hata US Wamewasumbua kule somalia
-mwenye Uchumi mkubwa ndio mwenye jeshi kubwa
 
1. Hizo ndege za kubeba vifaru airlifters Uganda wanazo? Hawana ndege ya kubeba hata tani 40 hao. Na sijasema kwa lengo la kijeshi, kiuchumi Kenya ikizima huduma za bandari kwa mizigo ya Uganda 80% ya mizigo yake itakosa la kupita. Bandari sio kama television channels kwamba watahamia Dar es Salaam siku hiyo hiyo, kwanini wasitumie Dar sasa watumie Nairobi mizigo yote hiyo. Kama unadhani Uganda imekuwa Israel kufanya airlifting ya bidhaa za kiraia kwenye vita basi sawa, wabebe petroli, madawa, magari, vyakula na matumizi mengine kwa cargo jets alafu mseme uchumi hautoathirika. Mpaka bandari ya Dar ije kusawazisha mambo washapigwa inflation ya hali ya juu.

2. Sasa kama hujui kitu kinacholikuza jeshi la Kenya ni Al Shabaab. Yani unaamini katika dunia hii al Qaeda na Taliban zilidhoofisha jeshi la Marekani? Unaamini ISIS ilidhoofisha jeshi la Urusi? Ushawahi ona Pentagon wakitaka hela za miradi na kununua silaha huwa wanatumia visingizio gani, ushaona Kenya ikinunua silaha kisingizio ni nini, unajua kisingizio walichotumia Kenya kumshawishi Trump aruhusu Marekani iwauzie helicopters wakati Obama alikataa ni nini. Hawakuwa na silaha walipoanza missions wakanunua kama hizo armmoured vehicles na helicopters.

Uganda ikishirikiana na Al Shabaab (jambo ambalo sio rahisi) si Kenya inawavutia Lord's Resistance Army kina Joseph Kony (rahisi zaidi).

3. Uganda haina intelligence ya kufanya hivyo, hakuna nchi unaivamia mwenyewe ukitarajia support ya local community wakati raia wanakubaliana na serikali yao. Ukabila hata Uganda upo, hapo unazungumzia nchi yenye Kabaka na mwenye vijana wake ambao hubishana na serikali, na Kabaka serikali haimfanyi chochote labda ijiandae kuuana na Baganda.

4. Vita ni vita, logistics ni sehemu ya vita. Offensive, defensive, counter offensive zina timelines zake ila mwisho wa siku Uganda anapigwa.
Kwamba kisa Muhoozi karopoka basi watashinda, Amin si ariropoka dhidi ya Tz, alishinda?
You're a very smart fellow. Ungekuwa hapa nairobi tungekunywa Heineken kadhaa.
 
Kikubwa jeshi la kenya nidhamu ni 0,plus ukabila,updf wanajua udhaifu wa kdf,hao kdf kwenye operesheni zao nyingi wanafeli

..Muhoozi ni mpumbavu.

..watu wanafikiria kujenga uchumi na kuondoa umasikini yeye anawaza vita.

..Nashauri Tanzania na Kenya ziungane kumtandika Uganda ikiwa kutatokea chokochoko.

MK254
 
..Muhoozi ni mpumbavu.

..watu wanafikiria kujenga uchumi na kuondoa umasikini yeye anawaza vita.

..Nashauri Tanzania na Kenya ziungane kumtandika Uganda ikiwa kutatokea chokochoko.

MK254
Tanzania hatuwez kumpiga mwanetu Uganda ni Mtoto wetu kabisa mjinga ni Kenya tu hapo
 
..Muhoozi ni mpumbavu.

..watu wanafikiria kujenga uchumi na kuondoa umasikini yeye anawaza vita.

..Nashauri Tanzania na Kenya ziungane kumtandika Uganda ikiwa kutatokea chokochoko.

MK254
Mkuu hao jamaa zako wa bahima akili yao si ndipo ilipolala huko kwenye vita
 
..Muhoozi ni mpumbavu.

..watu wanafikiria kujenga uchumi na kuondoa umasikini yeye anawaza vita.

..Nashauri Tanzania na Kenya ziungane kumtandika Uganda ikiwa kutatokea chokochoko.

MK254

Vita haviwezi kutokea kati ya Uganda na Kenya, tunategemeana sana kiuchumi....
 
Back
Top Bottom