Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati majirani zetu bado wanalala usingizi wa pono, Kenya imekuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na kati kuzindua mtandao wa 5G. Safaricom imezindua mtandao wa 5G leo.
Kama walivyofatia kufufua mashirika yao ya ndege huku waliyemfuata ni making loss kila mwakaHaina neno wengine watafuatia. Hii ni natural mwanangu.
Wivu weka kando.Kwa sasa kwa kiwango cha teknologia iliyopo kwenye nchi zinazoendelea kuingia kwenye 5G ni sawa na mtu mwenye uwezo wa kupika kilo moja ya mchele ikamtosha na familia yake, lakini akaamua kununua sufuria kubwa linaloweza kupika kilo kumi za mchele.
Matokeo yake atapika kilo moja ya mchele kwenye sufuria kubwa!! Halafu anajiona mjanja Sana!!
Mpaka sasa asilimia kubwa ya watu hawajaweza kutumia 4G kikamilifu!
Siwezi kumwonea wivu mtu aliyenunnua sufuria kubwa Sana lakini ana kilo moja tu ya mchele ya kupikia humo!Wivu weka kando.
Povu linazidi kutiririka kwa kasi ya 5G. [emoji41]Povu limefika ama bado?
Watu wengine wana mawazo mafupi kweli, analogy ya sufuria, really?!! thats pedestrian. Hivi vitu ni vya kuangalia kwa mapana yake na yapo kimkakati zaidi. The possibilities are limitless!!Kwa sasa kwa kiwango cha teknologia iliyopo kwenye nchi zinazoendelea kuingia kwenye 5G ni sawa na mtu mwenye uwezo wa kupika kilo moja ya mchele ikamtosha na familia yake, lakini akaamua kununua sufuria kubwa linaloweza kupika kilo kumi za mchele.
Matokeo yake atapika kilo moja ya mchele kwenye sufuria kubwa!! Halafu anajiona mjanja Sana!!
Mpaka sasa asilimia kubwa ya watu hawajaweza kutumia 4G kikamilifu!
Kenya 5g mtaitumia kwenye nini? Sioni kama mna teknolojia kubwa ya kuhitaji 5g kwa sasa.