Kenya imekuwa nchi ya Kwanza Afrika Mashariki kuzindua 5G

Kenya imekuwa nchi ya Kwanza Afrika Mashariki kuzindua 5G

Watu wengine wana mawazo mafupi kweli, analogy ya sufuria, really?!! thats pedestrian. Hivi vitu ni vya kuangalia kwa mapana yake na yapo kimkakati zaidi. The possibilities are limitless!!
lakini wewe ambae mwisho wako wa matumizi ya internet ni social media na kuangalia series. Kana kwamba Dunia ndo inaishia hapo! mijadala kama hii tuachie sisi ambao sometime tunalazimika kufanya kazi remotely ndo watu kama nyie muingie Instagram.
View attachment 1737179
telecom engineers wataelewa ni kiasi gani cha data unahitaji ku-pull ili kuweza ku-optimize hii kitu, imagine kuifanya ndani ya sekunde chache.
Hydrogen sikujua wewe ni telecom engineer. Tueleze zaidi kuhusu hio system na kazi yake ni gani?


Cc Geza Ulole
 
Back
Top Bottom