Kenya imenunua vichwa vya treni vya mtumba toka Spain kwa ajili ya "Nairobi light train"

Vichwa 2nd hand, engine mpya. Asante mkuu kwa habari hii njema...ukitaka kupanda commuter train karibu NAIROBI.
 
Ni aibu kwa serikali kununua vitu vya mtumba. Ila nahisi safari hii hamtochezewa, tayari mnauzoefu wa kutosha wa kununua train za mtumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ya manunuzi Tanzania hairuhusu serikali kununua vitu chakavu, hata kama ni kijiko cha kukorogea chai, Kenya hata vifaa vya kijeshi, tena vyenye kuruka angani huwa wananunua chakavu, katika hivi vichwa 11, ni vichwa vinne tu ndio vinavyofanya kazi, vingine vyote vinahitaji kukarabatiwa, hivi kwanini wasinunue vipya hata kutoka China?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sheria mpya ya manunuzi haikuruhusu kununua mtumba kweli?
Sheria ya manunuzi Tanzania hairuhusu serikali kununua vitu chakavu, hata kama ni kijiko cha kukorogea chai, Kenya hata vifaa vya kijeshi, tena vyenye kuruka angani huwa wananunua chakavu, katika hivi vichwa 11, ni vichwa vinne tu ndio vinavyofanya kazi, vingine vyote vinahitaji kukarabatiwa, hivi kwanini wasinunue vipya hata kutoka China?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PPA ya mwaka gani unaongelea? Nauliza act mpya haikuruhusu?

Ishu sio bei, ila kuwe na technical team ya kuchunguza huo mtumba una kiwango?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, unafanya kosa kubwa kuruhusu technical team kupanga bei, technical team inafaa katika mambo ya kiufundi, kukushauri uimara na ubora wa matumizi wa hicho kifaa, kwenye bei ni kukadiria tu, wakiahidiwa 10%, lazima watakupiga tu.

Vipo vitu kama majengo yanaweza kufanyiwa evaluation kitaalamu na bei ikajulikana kwa uhakika zaidi, sio rahisi katika movable items. Lakini kwanini Kenya wanapenda sana kununua vitu chakavu wakati wanajisifia kuwa na pesa?, ninahisi rushwa ndio sababu kubwa.

Naona unachenga Swali, hayo ya Kenya siyajui. Technical team ni kwa ajili ya ukaguzi kabla ya kukamilisha malipo.

Angalia mabadiliko yaliyofanywa katika sheria mpya ya manunuzi ya mwaka 2011. Kuhusu manunuzi ya vitu kama ndege, meli, vichwa vya treni na mabehewa n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sheria ya Manunuzi ya Kenya inaruhusu kununua mali chakavu??
 
Dreamliner 7871-8 ATCL ni mtumba na umefichwa baada ya kuharibika ilhali umeruka mara tatu tena sio nje ya TANZAGIZA... 😀😀😀😀
 
I OK everything about this project except am not sure if they are paying or overpaying. 25yrs of age for a typical ptrain is still a young age! Trains can live up to 100 yrs.
 
Joto la jiwe i told you to stop relying on fake news,the article you attached was copy pasted from yesterday sunday nation paper,they too(sunday nation) relied on rumours,they always have an anonymous source providing dirty details of underhand dealings,wow,very 'invetigative',to be begin with,the nairobi commuter rail is being funded by the world bank,a very sensitive and beuaraucratic institution,they don't just release funds just because you have plans to execute,they walk with you on every step of the way,from feasibility studies to procurement,but seriously, do you expect them to sit pretty as government procures junk DMUs,see,this people have very high ethical standards,they fund projects in the interest of the public,FYI world bank was to fund the nairobi double decker road from jkia all the way to westlands way back in 2012 but the contractor(straberg) choosen by GoK was shady,world bank threatened to pull out and we had to look for another contractor,thats how serious they are,you see,this bretton wood institutes are not like the chinese,you can't bribe them,spain is a western european country and a member of the EU,they too have high ethical standards,to see some of their commuter trains in use around the world,just google costa rica commuter trains and see for yourself,i say hold your horses and wait,then talk later when you see the real trains,not imaginery old DMUs.
 
Kunta kinte, wasiwasi wangu kwako ni kwamba, unakuwa na Maelezo mengi ambayo hayaambatani na ushahidi, sanasana unasema nenda kaangalie kule au huku, kama unataka kutuaminisha kwamba sources tunazotumia sio za kweli, unapaswa kuweka source ambazo unadhani ndio more reliable, sio maneno matupu, hatutokuamini.

Mfano mzuri ni lile kampuni la Italia ambalo lilipewa pesa na GoK, wewe uliendelea kupinga bila kuleta evidence, if you don't have evidences, is very difficult to convince someone, please try to reduce number of words and add some few links as evidences.

Nimekuwekea clip ya CItizen TV news, ikimuonyesha Musalia Mudavad akithibitisha kwamba hiyo ni pesa ya serikali na hilo kampuni limekwisha lipwa hiyo pesa, ninakuomba tumia evidence kuonyesha kwamba hayo unayosema Mudavad ni urongo mtupu, acha kutumia maneno matupu bila evidence. Katika hii mada, Tafadhali kanusha kwa kutumia evidence, acha kukashifu sources ninazotumia badala yake lete evidence kuzipinga hizi sources.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joto la jiwe am having problems uploading links,something is wrong with my attache files button,as i work on it,you can just google the deal costa rica had with spain to deliver second hand DMUs for san jose commuter rail,that will give you a rough idea of what they will deliver to us,it won't bite to google,i suggest you take a look.
 
Back
Top Bottom