Kumbe wakati uko chekechea ulikuwa unatumia google!? Ndio maana unapenda ligi za kitoto.
Lengo langu ilikuwa ni kutahadharisha sio kuhabarisha. Tutawacheka majirani leo halafu na sisi kesho au kesho kutwa tunaweza kurudia hayo hayo.
Kwanza Mimi sio mwandishi mzuri, pili sio mjuvi sana wa kutumia mitandao kama hivyo ku upload link, Doc n.k..na pia Ningekuwa mtaalam wa kufukua makaburi ningeweza kukuwekea nyuzi hapa jinsi wabunge walivyopinga hiyo sheria ila ikapitishwa mwisho wa siku.
Sasa ni Wewe tu kuamua kuendelea kushikilia msimamo wako, au kuamua kutafuta hizo sheria na kujiongezea maarifa na kuwa up to date na sheria za nchi.
Sent using
Jamii Forums mobile app