Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 860
- 1,421
Nyie ndio aina ya watu nisiowapenda hata kidogo because mmejaa maneno ya kughushi, uwongo uliopitiliza na fitina nyingi hasa.Kinacho kupigisha kelele hata sijuwi ni nini, ni kwamba tourism industry tz imekufa au. You've baseless claim ambazo unashundwa hata kuzisukuma. Bajeti inakuja June, itakubidi uje ututhibitishie haya unayoyasema kama utali wetu imekufa kwaajili ya VAT (Mimi nitakutafuta hapa jf). Halafu unasema unafanya kwenye park.
Nyie ndio aina ya watu nisiowapenda hata kidogo because mmejaa maneno ya kughushi, uwongo uliopitiliza na fitina nyingi hasa.
Nimekuambia mimi ni mdau wa utalii na nikakuelekeza usiulize mimi ni mdau KIVIPI tangu mwanzo wa hii mada mana nilishakuona ungekuja kuandika vitu ambavyo sijasema and it is exacly what you are now doing. EXAMPLES: Hakuna mahali popote kwenye comments zangu nimesema mimi nafanya kazi Park, pia hakuna mahali POPOTE nimesema utalii umekufa Tanzania mana kwanza ingekua ni uwongo na pia nje ya mada, ila wewe nakushangaa unaandika upotofu wa hali ya juu. Huo upuuzi wa maandishi kaa nao mwenyewe. Naomba tufunge huu mjadala na wewe ili tuache na wengine wachangie.
Na hakikisha unapokuja kunitafuta June iwe ni kwa mambo ya msingi tujadili au kwa kile nilichokiandika hapa, even though one thing im still PERPLEXED with ni relationship kati ya bajeti ya nchi na idadi ya watalii..anyways we will see.
Leo your own people hawakueki huku[emoji23][emoji23][emoji23]Well, it doesn't bother me much, ukinichukia, au haya ukinifikiria nini, I don't care. Ila sitaacha kutete kile ninacho kijuwa na kukiamini hasa hasa kama kina husu nchi yangu Tanzania. Hakuna aliye katazwa kuchangia mada hapa, this is jf, everyone can chip in at any time. Lakini ukisema wewe ni mdau wa utali halafu tusikuulize KIVIPI ( some job description, men) na huku unakuja na hoja ya viingilio vya mbuga vimeathirika na VAT, there is not proof of that, beside generally watalii wameongezeka kuja Tanzania kuliko tulivyo tarajia. VAT did nothing to harm utali. If you can't buy that let's meet end of June.
Furaha kwangu, sikimbi mada hata wewe uje tuu[emoji23] [emoji23]Leo your own people hawakueki huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Noo let your own people devour you first ..then wakenya sasa tutakuja full force[emoji23][emoji23][emoji23]Furaha kwangu, sikimbi mada hata wewe uje tuu[emoji23] [emoji23]
Wakenya ni nguvu ya soda, only bubbles when you open it. [emoji23] [emoji23]Noo let your own people devour you first ..then wakenya sasa tutakuja full force[emoji23][emoji23][emoji23]
KLM si inakuja daily hadi KIA na DAR
Soma kabla huja jibu, wapi nilikuambia wewe ni mpinzani? Nilichosema, hoja kama hiyo ilibebwa na wapinzani lakini wakaibwaga kwakuwa takwimu hazikuqa upande wao. Mkuu unafanya kweli kwenye tourism industry au unababaisha. Any that is your problem, Lakini hata kugoogle kidogo tuu imeshidwa. Hebu fanya hata kazi ndogo ya kadakua mtadaoni (Tanzania 2million tourist). Magufuli aliliongelea hili swala wakati mfalme wa Morocco alivyo kuja, na hilo nalo hukulisikia?
Kinacho kupigisha kelele hata sijuwi ni nini, ni kwamba tourism industry tz imekufa au. You've baseless claim ambazo unashundwa hata kuzisukuma. Bajeti inakuja June, itakubidi uje ututhibitishie haya unayoyasema kama utali wetu imekufa kwaajili ya VAT (Mimi nitakutafuta hapa jf). Halafu unasema unafanya kwenye park.
Wow, hata wewe umekuwa brainwashed, hii hoja ya VAT wapinzani walishikilia bango lakini wakaibwaga kama jadi yao. Hivi wewe unasema unafanya kazi on tourism industry si ungejuwa hata takwimu moja au mbili. Usitudanganye mkuu, mwaka 2015 Tanzania tulipata watalii 2million. VAT has shown little sign of number declining. Kwanza ndio kwanza watalii wameongezeka, huku wewe unasema wamepunguwa ....proof wapi!!!! Kilimajanro imeongezeka sana, deep dive watalii wameongezeka, watalii wanaokuja kufanya utafiti mafia wameongezeka, (hawa wanaokuja na meli zao za utafiti wanakaa hapo miezi mitatu, sita, wengine hadi mwaka) usikubali ya kuambiwa fanya utafiti. Unataka kusema mtali anaetoka South Africa na gari yake, anakuja kuingia mbugani na gari yake amesha panga kutumia $5,000- 7,000 atashidwa kulipa VAT 18%? Au hata mtalii aliyrtoka marekani au ulaya. Wanaotunyonya na kupiga kelele ni makampuni ya utali ambayo yanatupa mahesabu ya uwongo wakati wao wanalipwa hela yao nje.
Tanzania: Tourist Arrivals Increased By 10 Per Cent in 2016
Well, it doesn't bother me much, ukinichukia, au hata ukinifikiria nini, I don't care. Ila sitaacha kutete kile ninacho kijuwa na kukiamini hasa hasa kama kina husu nchi yangu Tanzania. Hakuna aliye katazwa kuchangia mada hapa, this is jf, everyone can chip in at any time. Lakini ukisema wewe ni mdau wa utali halafu tusikuulize KIVIPI ( some job description, men) na huku unakuja na hoja ya viingilio vya mbuga vimeathirika na VAT, there is not proof of that, beside generally watalii wameongezeka kuja Tanzania kuliko tulivyo tarajia. VAT did nothing to harm utali. If you can't buy that let's meet end of June.
What is wrong with you, mwenzako kapinduwa maneno baada ya kuona maji mazito. kaandika vingine, halafu akakimbilia kuedit and change what he said before. If you want to have any sort of debate with me And I Mean Any just bring it on sunshine.Wewe, jamaa amechukia kumlisha maneno ambayo hajasema.
Stick kwenye Mada please.....
Hakuna Mtu yeyote aliyesema kuwa Utalii umekufa.....Please toa proof
Mjadala hujaufuatililia, either wewe ni Kilaz.a au umepata uvivu kusoma hoja za watu
Mwanzi1, unatetea jambo fulani lakini bahati mbaya huna data, una bwabwaja tu na uongo mwingi....
What is wrong with you, mwenzako kapinduwa maneno baada ya kuona maji mazito. kaandika vingine, halafu akakimbilia kuedit and change what he said before. If you want to have any sort of debate with me And I Mean Any just bring it on sunshine.