Kenya imeondoa VAT kwenye Magari ya Utalii

Kenya imeondoa VAT kwenye Magari ya Utalii

Kinacho kupigisha kelele hata sijuwi ni nini, ni kwamba tourism industry tz imekufa au. You've baseless claim ambazo unashundwa hata kuzisukuma. Bajeti inakuja June, itakubidi uje ututhibitishie haya unayoyasema kama utali wetu imekufa kwaajili ya VAT (Mimi nitakutafuta hapa jf). Halafu unasema unafanya kwenye park.
Nyie ndio aina ya watu nisiowapenda hata kidogo because mmejaa maneno ya kughushi, uwongo uliopitiliza na fitina nyingi hasa.

Nimekuambia mimi ni mdau wa utalii na nikakuelekeza usiulize mimi ni mdau KIVIPI tangu mwanzo wa hii mada mana nilishakuona ungekuja kuandika vitu ambavyo sijasema and it is exacly what you are now doing. EXAMPLES: Hakuna mahali popote kwenye comments zangu nimesema mimi nafanya kazi Park, pia hakuna mahali POPOTE nimesema utalii umekufa Tanzania mana kwanza ingekua ni uwongo na pia nje ya mada, ila wewe nakushangaa unaandika upotofu wa hali ya juu. Huo upuuzi wa maandishi kaa nao mwenyewe. Naomba tufunge huu mjadala na wewe ili tuache na wengine wachangie.

Na hakikisha unapokuja kunitafuta June iwe ni kwa mambo ya msingi tujadili au kwa kile nilichokiandika hapa, even though one thing im still PERPLEXED with ni relationship kati ya bajeti ya nchi na idadi ya watalii..anyways we will see.
 
Well, it doesn't bother me much, ukinichukia, au hata ukinifikiria nini, I don't care. Ila sitaacha kutete kile ninacho kijuwa na kukiamini hasa hasa kama kina husu nchi yangu Tanzania. Hakuna aliye katazwa kuchangia mada hapa, this is jf, everyone can chip in at any time. Lakini ukisema wewe ni mdau wa utali halafu tusikuulize KIVIPI ( some job description, men) na huku unakuja na hoja ya viingilio vya mbuga vimeathirika na VAT, there is not proof of that, beside generally watalii wameongezeka kuja Tanzania kuliko tulivyo tarajia. VAT did nothing to harm utali. If you can't buy that let's meet end of June.
 
Well, it doesn't bother me much, ukinichukia, au haya ukinifikiria nini, I don't care. Ila sitaacha kutete kile ninacho kijuwa na kukiamini hasa hasa kama kina husu nchi yangu Tanzania. Hakuna aliye katazwa kuchangia mada hapa, this is jf, everyone can chip in at any time. Lakini ukisema wewe ni mdau wa utali halafu tusikuulize KIVIPI ( some job description, men) na huku unakuja na hoja ya viingilio vya mbuga vimeathirika na VAT, there is not proof of that, beside generally watalii wameongezeka kuja Tanzania kuliko tulivyo tarajia. VAT did nothing to harm utali. If you can't buy that let's meet end of June.
Leo your own people hawakueki huku[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Furaha kwangu, sikimbi mada hata wewe uje tuu[emoji23] [emoji23]
Noo let your own people devour you first ..then wakenya sasa tutakuja full force[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Noo let your own people devour you first ..then wakenya sasa tutakuja full force[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya ni nguvu ya soda, only bubbles when you open it. [emoji23] [emoji23]
 
KLM si inakuja daily hadi KIA na DAR

Ni Kweli, KLM inakuja kila siku KIA Na DAR

Ethiopian Airlines kila siku inatua KIA na DAR

Je Unafahamu kuwa kuna idadi kubwa ya Watalii wanashuka KENYA, wanapanda Bus Shuttle kuingia Tanzania?

Wengine wanatua kenya na kuunganisha na ndege zingine?

Why this should happen? (Flight tickets to Kenya Nairobi is much cheaper)

Je, Ukitaka Kwenda South Africa, ni lazima utue Zimbabwe ndo uingie South Africa kwa bus?

Au kwa nini Wazungu wasitue Tanzania kwanza ndio waende kenya kwa basi?
 
Soma kabla huja jibu, wapi nilikuambia wewe ni mpinzani? Nilichosema, hoja kama hiyo ilibebwa na wapinzani lakini wakaibwaga kwakuwa takwimu hazikuqa upande wao. Mkuu unafanya kweli kwenye tourism industry au unababaisha. Any that is your problem, Lakini hata kugoogle kidogo tuu imeshidwa. Hebu fanya hata kazi ndogo ya kadakua mtadaoni (Tanzania 2million tourist). Magufuli aliliongelea hili swala wakati mfalme wa Morocco alivyo kuja, na hilo nalo hukulisikia?

Mwambie huyo,,, Anacomment bila data....
 
Kinacho kupigisha kelele hata sijuwi ni nini, ni kwamba tourism industry tz imekufa au. You've baseless claim ambazo unashundwa hata kuzisukuma. Bajeti inakuja June, itakubidi uje ututhibitishie haya unayoyasema kama utali wetu imekufa kwaajili ya VAT (Mimi nitakutafuta hapa jf). Halafu unasema unafanya kwenye park.

Kama huelewi hii Tourism Business keep Quiet or Nenda shule Kwanza

Ni Kwamba Tanzania tourist numbers should be far more than Kenya....Kenya hawana Kilimanjaro wala Ngorongoro Crater

Masai Mara is not bigger or beauty like Serengeti

Sasa kwa nini Tanzania ilingane na kenya kwa namba za watalii? Zingatoia kuwa bado tumejumlisha na Watalii wa Zanzibar

Tanzania tourist number should around 4 million or far more

Kenya wana 1.2 m na Tz tuna 1.3 m ----Sasa hapo ni nini

Ukubwa wa Eneo ni sawa na Kenya?

Tanzania tuna vivutio vingi sana na vizuri mara dufu ya Kenya

----Hata unae mtetea atakushangaa kwa hoja dhaifu namna hii (Go and learn about Tourism)
 
Wow, hata wewe umekuwa brainwashed, hii hoja ya VAT wapinzani walishikilia bango lakini wakaibwaga kama jadi yao. Hivi wewe unasema unafanya kazi on tourism industry si ungejuwa hata takwimu moja au mbili. Usitudanganye mkuu, mwaka 2015 Tanzania tulipata watalii 2million. VAT has shown little sign of number declining. Kwanza ndio kwanza watalii wameongezeka, huku wewe unasema wamepunguwa ....proof wapi!!!! Kilimajanro imeongezeka sana, deep dive watalii wameongezeka, watalii wanaokuja kufanya utafiti mafia wameongezeka, (hawa wanaokuja na meli zao za utafiti wanakaa hapo miezi mitatu, sita, wengine hadi mwaka) usikubali ya kuambiwa fanya utafiti. Unataka kusema mtali anaetoka South Africa na gari yake, anakuja kuingia mbugani na gari yake amesha panga kutumia $5,000- 7,000 atashidwa kulipa VAT 18%? Au hata mtalii aliyrtoka marekani au ulaya. Wanaotunyonya na kupiga kelele ni makampuni ya utali ambayo yanatupa mahesabu ya uwongo wakati wao wanalipwa hela yao nje.

Tanzania: Tourist Arrivals Increased By 10 Per Cent in 2016

Wewe ni Mwongo....Unasema watalii Tanznaia imefika millioni 2?

Halafu umeweka link ambayo inasema watalii ni Millioni Moja tu?

Hujasoma hiyo information uliyo post au unafikiri watu ni wajinga?

Toursim sector has recorded good performance in the period of 10 months from January to October, 2016 with the arrival of a total 1,020,816 tourists in the country.

The sector has recorded an increase of 96,374 tourists, which is 10.42 percent increase compared to the same period in 2015 when a total of 924,442 tourists visited the country from January to October
 
Well, it doesn't bother me much, ukinichukia, au hata ukinifikiria nini, I don't care. Ila sitaacha kutete kile ninacho kijuwa na kukiamini hasa hasa kama kina husu nchi yangu Tanzania. Hakuna aliye katazwa kuchangia mada hapa, this is jf, everyone can chip in at any time. Lakini ukisema wewe ni mdau wa utali halafu tusikuulize KIVIPI ( some job description, men) na huku unakuja na hoja ya viingilio vya mbuga vimeathirika na VAT, there is not proof of that, beside generally watalii wameongezeka kuja Tanzania kuliko tulivyo tarajia. VAT did nothing to harm utali. If you can't buy that let's meet end of June.

Wewe, jamaa amechukia kumlisha maneno ambayo hajasema.

Stick kwenye Mada please.....

Hakuna Mtu yeyote aliyesema kuwa Utalii umekufa.....Please toa proof

Mjadala hujaufuatililia, either wewe ni Kilaz.a au umepata uvivu kusoma hoja za watu

Mwanzi1, unatetea jambo fulani lakini bahati mbaya huna data, una bwabwaja tu na uongo mwingi....
 
What is wrong with you, mwenzako kapinduwa maneno baada ya kuona maji mazito. kaandika vingine, halafu akakimbilia kuedit and change what he said before. If you want to have any sort of debate with me And I Mean Any just bring it on sunshine.
 
Toa DATA ndugu Mtanzania, acha propaganda

Sema wewe sasa, watalii wameongezeka kutoka millioni ngapi?
 
Back
Top Bottom