joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Huna akili, huna unalojua, chizi[emoji23][emoji23][emoji23]Elimu
Elimu
Elimu
Aisee Comrade narudia tena kaa mbali na wajukuu/watoto wako usijekuwarithisha huu ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili, huna unalojua, chizi[emoji23][emoji23][emoji23]Elimu
Elimu
Elimu
Aisee Comrade narudia tena kaa mbali na wajukuu/watoto wako usijekuwarithisha huu ujinga.
eti katiba inazuiya baa la njaa 🤣 🤣 🤣Huna akili, huna unalojua, chizi[emoji23][emoji23][emoji23]
ohh masikini!
Chief unatakiwa urudie kusoma kuanzia darasa la 2 ili ujifunze kuwa baa la njaa haliwezi kuzuiwa na katiba.
eti katiba inazuiya baa la njaa 🤣 🤣 🤣
Chizi hilo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe pimbi, baa la njaa siyo act of God kama wengine wanavyodhani. Ni ufupi wa akili.
Sasa kama kichwa hiki kitahusika kutengeneza katiba basi twafaa. Wewe kichwa chako hiki kitupu kinafaa huko bavicha tu.
View attachment 1936168
Chizi hilo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Leo naona umemwaga kizungu kizito hapa eti force majoure. Dah! naona wewe kuhusiana na Wakenya huku JF kumekufungua akili sana. Zamani kizungu chako kilikuwa ni cha zezeze sasa naona kimepanda daraja kidogo 😀😀.🤣🤣🤣
Baa la njaa is no longer force majoure. Even drought in relation to farming is something that can be tamed.
Wenyewe hutawaona hapa, wanajua uzembe waliufanya wapi. Waulize ile project ya galana kalalu ingesaidiaje hupunguza hayo maafa.
Rudi baby class ukaongeze ufahamu.
CC: joto la jiwe
Sasa unajisifia nini hapa, Kubarikiwa na rasilmali ya ardhi?Huna akili wewe, ukame dawa yake ni nini Kama sio sera nzuri na Sheria zenye kuwajali wanyonge?.
Hivi unajua kwamba pamoja na Tanzania kutosumbuliwa na ukame Kama Kenya, lakini Tanzania tumewekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji mara 3 zaidi ya Kenya?.
Eneo lenye miuondombinu ya umwagiliaji Tanzania ni zaidi ya hekta laki 8 wakati Kenya ni hekta laki 2 pekee?.
Hivi hujui kwamba katika ya Tanzania inasema kwamba haruhusiwi mtu yeyote kujimilikisha ardhi pekee na kuwaacha wananchi wanaishi bila ardhi ya kulima?.
Hata kabla ufike hapo kwa irrigation, Unajua ni kiasi gani cha mashamba ambapo kunaweza kufanywa argiculture (Arable Land) bila kutumia technolojia yoyote ya teraforming/conversion?Arable Land - capable of producing crops; suitable for farming; suited to the plow and for tillage:
hebu nielezi vipi Galana kalulu ingepunguza baa la njaa🤣🤣🤣
Baa la njaa is no longer force majoure. Even drought in relation to farming is something that can be tamed.
Wenyewe hutawaona hapa, wanajua uzembe waliufanya wapi. Waulize ile project ya galana kalalu ingesaidiaje hupunguza hayo maafa.
Rudi baby class ukaongeze ufahamu.
CC: joto la jiwe
Irrigation schemes ni mara 3 ya huko Kenya, ninyi wenye ukame ndio mngepaswa kuwa na miradi mingi na mikubwa ya umwagiliaji kuliko sisi Tanzania, badala yake hata miradi ya irrigations ambayo ni "man made" pia tumewazidi.Sasa unajisifia nini hapa, Kubarikiwa na rasilmali ya ardhi?
Kenya imeshinda Tz kwa vitu vingi sana, kwahivyo ikija kwa jambo hili la kiangazi usijifanye eti mna akili au bidii kutushinda, Trust me, Kama Tz mngekua hali ile Kenya iko, mngeangamia wengi sana.... Shida za ukame tuachie sisi ambao hukumbwa na hili janga....
Hata kabla ufike hapo kwa irrigation, Unajua ni kiasi gani cha mashamba ambapo kunaweza kufanywa argiculture (Arable Land) bila kutumia technolojia yoyote ya teraforming/conversion?
View attachment 1936237
View attachment 1936238
Tanzania iko na arable hactares 13.5m ya arable land, Wakati Kenya iko na 5.8 Million.
Sasa unajua Kenya iko na maji masafi kiasi gani ukilinganisha na TZ?
View attachment 1936252
Maji safi tunayoyatumia Kenya ni mengi kuliko maji safi yanayopatikana Kenya, Hii inaonyesha jinsi vile Kenya hakuna maji in the first place!
View attachment 1936255
Sasa unakuja hapa kujisifu na vitu ambavyo vinapatikana naturally Tanzania eti huo ndo werevu wa mtanzania, nkt wewe mwenyewe unafaa ujiulize inakuwaje Tz nchi yenye amani zaidi, maji zaidi, chakula zaidi, mbuga zaidi, madini zaidi, ukubwa wa ardhi zaidi, ma milioni ya watu wengi zaidi, geographical location nzuri zaidi (Kwa ku connect nchi tofauti duniani) ... na mengine mengi zaidi lakini licha ya hizo advantages zote bado mnashindwa na Kenya ukanda huu, Kenya ambayo sifa yake kuu ni watu wenyewe! Kama si uzembe wa hali ya juu huu tutauita nini?
Hili ni swali au ni jibu?. Waulize viongozi wako ambao walianzisha huo mradi wa Galana Kulalu.hebu nielezi vipi Galana kalulu ingepunguza baa la njaa
hebu nielezi vipi Galana kalulu ingepunguza baa la njaa
😆😄Leo naona umemwaga kizungu kizito hapa eti force majoure. Dah! naona wewe kuhusiana na Wakenya huku JF kumekufungua akili sana. Zamani kizungu chako kilikuwa ni cha zezeze sasa naona kimepanda daraja kidogo 😀😀.
Egypt ndo the biggest importer wa chakula Africa kama ulikua hujui....... Tofauti na Kenya ni kwamba wao wako na Oil na uwezzo mwengine wa kiuchumi, Ukulima unategemewa na watu wachache sana.... Kwahivyo rudi ujipange vizuri manake hauna hoja hapaIrrigation schemes ni mara 3 ya huko Kenya, ninyi wenye ukame ndio mngepaswa kuwa na miradi mingi na mikubwa ya umwagiliaji kuliko sisi Tanzania, badala yake hata miradi ya irrigations ambayo ni "man made" pia tumewazidi.
Katika nchi zenye ukame mkubwa ni Egypt, lakini Egypt ndiyo inayoongoza kwa miradi ya umwagiliaji hapa Africa, ninyi ni wazembe, rushwa na sera mbovu za kumiliki na matumizi ya ardhi.
Kenya is truly a failed state.
Nchi za uarabuni zipi hizo, Hizo ambazo zinanunua chakula kupitia hela za oil??Hili liko waazi, kukiwa na ukame kilimo cha umwagiliaji ndiyo jawabu. Huoni nchi za uarabuni zinawapa msaada wa chakula, unafikiri ni mana kutoka MBINGUNI?
Usiongee kwa ushabiki just focus on facts, hii ndio shida ya sisi watanzania kutetea vitu vya ovyo,na ni ujinga kwa msomi kama wewe,nationalism for nothing ni ujinga wa phdIrrigation schemes ni mara 3 ya huko Kenya, ninyi wenye ukame ndio mngepaswa kuwa na miradi mingi na mikubwa ya umwagiliaji kuliko sisi Tanzania, badala yake hata miradi ya irrigations ambayo ni "man made" pia tumewazidi.
Katika nchi zenye ukame mkubwa ni Egypt, lakini Egypt ndiyo inayoongoza kwa miradi ya umwagiliaji hapa Africa, ninyi ni wazembe, rushwa na sera mbovu za kumiliki na matumizi ya ardhi.
Kenya is truly a failed state.
Ni vile hauelewi swala unaloongelea ndo maana haujui kama ni swali au ni jibu...Hili ni swali au ni jibu?. Waulize viongozi wako ambao walianzisha huo mradi wa Galana Kulalu.
Ni vile hauelewi swala unaloongelea ndo maana haujui kama ni swali au ni jibu...Hili ni swali au ni jibu?. Waulize viongozi wako ambao walianzisha huo mradi wa Galana Kulalu.