Kenya imeshindwa kuwakinga Watu 400,000 na njaa Kenya

ohh masikini!

Chief unatakiwa urudie kusoma kuanzia darasa la 2 ili ujifunze kuwa baa la njaa haliwezi kuzuiwa na katiba.

🀣🀣🀣
Baa la njaa is no longer force majoure. Even drought in relation to farming is something that can be tamed.
Wenyewe hutawaona hapa, wanajua uzembe waliufanya wapi. Waulize ile project ya galana kalalu ingesaidiaje hupunguza hayo maafa.
Rudi baby class ukaongeze ufahamu.

CC: joto la jiwe
 
Leo naona umemwaga kizungu kizito hapa eti force majoure. Dah! naona wewe kuhusiana na Wakenya huku JF kumekufungua akili sana. Zamani kizungu chako kilikuwa ni cha zezeze sasa naona kimepanda daraja kidogo πŸ˜€πŸ˜€.
 
Sasa unajisifia nini hapa, Kubarikiwa na rasilmali ya ardhi?

Kenya imeshinda Tz kwa vitu vingi sana, kwahivyo ikija kwa jambo hili la kiangazi usijifanye eti mna akili au bidii kutushinda, Trust me, Kama Tz mngekua hali ile Kenya iko, mngeangamia wengi sana.... Shida za ukame tuachie sisi ambao hukumbwa na hili janga....

Arable Land - capable of producing crops; suitable for farming; suited to the plow and for tillage:
Hata kabla ufike hapo kwa irrigation, Unajua ni kiasi gani cha mashamba ambapo kunaweza kufanywa argiculture (Arable Land) bila kutumia technolojia yoyote ya teraforming/conversion?

Tanzania iko na arable hactares 13.5m ya arable land, Wakati Kenya iko na 5.8 Million.

Sasa unajua Kenya iko na maji masafi kiasi gani ukilinganisha na TZ?

Maji safi tunayoyatumia Kenya ni mengi kuliko maji safi yanayopatikana Kenya, Hii inaonyesha jinsi vile Kenya hakuna maji in the first place!

Sasa unakuja hapa kujisifu na vitu ambavyo vinapatikana naturally Tanzania eti huo ndo werevu wa mtanzania, nkt wewe mwenyewe unafaa ujiulize inakuwaje Tz nchi yenye amani zaidi, maji zaidi, chakula zaidi, mbuga zaidi, madini zaidi, ukubwa wa ardhi zaidi, ma milioni ya watu wengi zaidi, geographical location nzuri zaidi (Kwa ku connect nchi tofauti duniani) ... na mengine mengi zaidi lakini licha ya hizo advantages zote bado mnashindwa na Kenya ukanda huu, Kenya ambayo sifa yake kuu ni watu wenyewe! Kama si uzembe wa hali ya juu huu tutauita nini?
 
hebu nielezi vipi Galana kalulu ingepunguza baa la njaa
 
Irrigation schemes ni mara 3 ya huko Kenya, ninyi wenye ukame ndio mngepaswa kuwa na miradi mingi na mikubwa ya umwagiliaji kuliko sisi Tanzania, badala yake hata miradi ya irrigations ambayo ni "man made" pia tumewazidi.

Katika nchi zenye ukame mkubwa ni Egypt, lakini Egypt ndiyo inayoongoza kwa miradi ya umwagiliaji hapa Africa, ninyi ni wazembe, rushwa na sera mbovu za kumiliki na matumizi ya ardhi.

Kenya is truly a failed state.
 
hebu nielezi vipi Galana kalulu ingepunguza baa la njaa

Hili liko waazi, kukiwa na ukame kilimo cha umwagiliaji ndiyo jawabu. Huoni nchi za uarabuni zinawapa msaada wa chakula, unafikiri ni mana kutoka MBINGUNI?
 
Leo naona umemwaga kizungu kizito hapa eti force majoure. Dah! naona wewe kuhusiana na Wakenya huku JF kumekufungua akili sana. Zamani kizungu chako kilikuwa ni cha zezeze sasa naona kimepanda daraja kidogo πŸ˜€πŸ˜€.
πŸ˜†πŸ˜„
Bwana mdogo, yaani hako kaneno ka kilatini kamekuacha hooi. Sikiliza kijana mimi ni composite expert. Law naijua vizuri, though I'm not a lawyer.
🀣🀣🀣
 
Egypt ndo the biggest importer wa chakula Africa kama ulikua hujui....... Tofauti na Kenya ni kwamba wao wako na Oil na uwezzo mwengine wa kiuchumi, Ukulima unategemewa na watu wachache sana.... Kwahivyo rudi ujipange vizuri manake hauna hoja hapa
 
Usiongee kwa ushabiki just focus on facts, hii ndio shida ya sisi watanzania kutetea vitu vya ovyo,na ni ujinga kwa msomi kama wewe,nationalism for nothing ni ujinga wa phd
 
Hili ni swali au ni jibu?. Waulize viongozi wako ambao walianzisha huo mradi wa Galana Kulalu.
Ni vile hauelewi swala unaloongelea ndo maana haujui kama ni swali au ni jibu...
Relatively speaking, Tanzania na Kenya zina maskini wengi ambao hawana uwezo wa kununua bidhaa za madukani... Wanategemea biashara za kugeuzana vitu, yani nikupe cabeji unipe maziwa, au nikupe maharagwe unipe mahindi.. hapo ndo kipato kinapatikana..... Tofauti ya maskini wa Turkana na maskini wa Tz ni kwamba maskini wa TZ anaweza kutegemea kilimo kujilisha hata kama hana hela ya kutajika, lakini maskini wa Turkana anakaa miaka mitatu hajawahi kuona mvua, tena hakuna hata ziwa na maji karibu angalau anyunyizie maji mimea..

Kwa kifupi Galana kalulu haiwezi kumsaidia maskini wa aina hii manake hata akaletewa hayo mahindi mpaka kwa mlango wake, hana uwezo wa kununua......

Jua kutofautisha, Kenya sahii hakuna uhaba wa chakula (Manake tumenunua ambavyo hatuna kutoka nje) uhaba ulioko ni wa mazao kwasababu ya kiangazi.... Hii haimaniishi eti duka la pale Turkana linakosa tomato,kitunguu, Unga uliopelekwa na wanabishara, la! inamaanisha wale ambao wanakumbwa na njaa hawana uwezo wa kununua chakula cha dukani manake wao hutegemea ukulima kwa licshe lao...
 
Hili ni swali au ni jibu?. Waulize viongozi wako ambao walianzisha huo mradi wa Galana Kulalu.
Ni vile hauelewi swala unaloongelea ndo maana haujui kama ni swali au ni jibu...
Relatively speaking, Tanzania na Kenya zina maskini wengi ambao hawana uwezo wa kununua bidhaa za madukani... Wanategemea biashara za kugeuzana vitu, yani nikupe cabeji unipe maziwa, au nikupe maharagwe unipe mahindi.. hapo ndo kipato kinapatikana..... Tofauti ya maskini wa Turkana na maskini wa Tz ni kwamba maskini wa TZ anaweza kutegemea kilimo kujilisha hata kama hana hela ya kutajika, lakini maskini wa Turkana anakaa miaka mitatu hajawahi kuona mvua, tena hakuna hata ziwa na maji karibu angalau anyunyizie maji mimea..

Kwa kifupi Galana kalulu haiwezi kumsaidia maskini wa aina hii manake hata akaletewa hayo mahindi mpaka kwa mlango wake, hana uwezo wa kununua......

Jua kutofautisha, Kenya sahii hakuna uhaba wa chakula (Manake tumenunua ambavyo hatuna kutoka nje) uhaba ulioko ni wa mazao kwasababu ya kiangazi.... Hii haimaniishi eti duka la pale Turkana linakosa tomato,kitunguu, Unga uliopelekwa na wanabishara, la! inamaanisha wale ambao wanakumbwa na njaa hawana uwezo wa kununua chakula cha dukani manake wao hutegemea ukulima kwa lishe lao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…