Kenya imeshindwa kuwakinga Watu 400,000 na njaa Kenya

Nafikiri Tundu Lissu, Lema, Maria Sarungi na Shangazi Karume watakuwa wameisoma hii taarifa. Wao nawaona wako mstari wa mbele sana kukazania vitu ambavyo sio vipau mbele vya watanzania. Watanzania walio wenfi wanahitaji huduma za binadam na sii poroja za kisiasa.

Duniani tumejifunza kuwa hakuna system ya utawala ambayo ni perfect. Kila system au mfumo una kasoro na faida zake. Mambo ya kuiga mambo ambayo yamekwisha shindikana huko nyuma ninkupoteza mda na kuchezeana akili.

Demokrasia ilianza na Acient Egypt wagiriki wakaichukua na warumi nao wakaiiga iakaja England na Europe na sasa Amerika. Amerika nao naona huu mfumo unaanza taratibu kuwashinda. Mfumo huu Amerika na baadhi ya nchi za Ulaya unawa favour matajiri ili waweze kutajirika zaidi na masikini kuwa masikini zaidi.

Huu mfumo unaturudisha kule kule tulikotoka kwenye Feudalism. Matokeo yake yatakuwa yale yale tuliyo yasoma ya watu wasio nacho ku-fight kwa maisha yao.

Sioni matunda mazuri kwa wananchi wa Kenya kwa kuwa na katiba mpya. Nacho sikia kila siku kwao ni Debate tu za kisiasa. Utendaji siusikii. Kila siku kwao ni uchaguzi tu huku wenzao wakifa na njaa.
 

Suala la ukame sio excuse,
Ni matokeo ya small minded kenyans and their leaders ambao hawajui wanataka nini kwenye maisha,
vikichangiwa na sera na siasa mbovu za kikenya zilizofanya ardhi yote kumilikiwa na wazungu na wanasiasa wanalima maua na miraa.
Ziko nchi 100% jangwa na zinatoa misaada ya vyakula kenya
 

Hamuwezi kudrill visima mkanywesha hiyo mifugo maji?
Mmeenda shule kufanya nini sasa?
 
Sasa wewe hapa umeongea nini? tena unajiona umetumia akili sana eh? Kwani UAE wanashindwa kunua chakula na uchumi wao huo wote?

Ambia UAE watupatie hio oil yao wabaki bila alafu uone kama tutashindwa na ukame

 
Hamuwezi kudrill visima mkanywesha hiyo mifugo maji?
Mmeenda shule kufanya nini sasa?
Mnanipotezea mda tu, Hapa Watz hamna hoja yoyote ya maana, mnaongelea vitu ambavyo havijawahi kuwatokea, Labda wale wamasaai wa pale karibu na mpaka wa Kenya ndo wanawaza kuwasaidia kuwaelez hali hua inaenda vipi...\


Tests on a vast aquifer found in Kenya’s drought-wracked Turkana region show the water is too salty to drink, a government official said on Friday.

The 2013 discovery of underground lakes the size of the U.S. state of Delaware, according to satellite imagery, was hailed as a chance for the arid northern region to finally feed its people.

At the time of the discovery, Kenya’s water minister said the “newly found wealth of water opens the door to a more prosperous future for the people of Turkana and the nation as a whole”.

But the first test results from Lotikipi, the largest aquifer which is close to Kenya’s border with South Sudan, have been disappointing.

The water is not fit for human consumption,” said Japheth Mutai, chief executive officer of the government-owned Rift Valley Water Services Board, which is responsible for providing water in the region.


The underground water would have to be desalinated -- an expensive and energy intensive process -- before it could be used for human consumption, livestock or irrigation, Mutai said.

The test well, drilled 350 meters underground, showed salt levels seven times higher than the safe limit allowed by the World Health Organization (WHO), he said.

“The numbers don’t look good,” Mutai told Thomson Reuters Foundation on Friday. “It is causing a lot of anxiety.”

More than a third of Kenya’s 41 million people have no access to clean water.

The country’s north is particularly poor as droughts regularly decimate livestock which traditional nomadic herders depend on for survival.


Currently one in four people in Turkana -- 135,500 people --require food assistance due to repeated poor rains and conflict, the World Food Programme’s spokeswoman Challiss McDonough said. Malnutrition rates are above the emergency level of 15 percent.

A stable water supply from the 250 billion cubic meters of water thought to be in Turkana’s underground lakes could help mitigate these recurring hunger crises.

The government is “still holding out hope” that other wells in Lotikipi will find cleaner water, Mutai said, and more drilling is underway.








Alafu kuna visima vingi sana zaidi ya 10,000 vimechimbwa haya maeneo, baada ya miezi kadhaa visima hivyo hukauka.....
 
Sasa wewe hapa umeongea nini? tena unajiona umetumia akili sana eh? Kwani UAE wanashindwa kunua chakula na uchumi wao huo wote?

Ambia UAE watupatie hio oil yao wabaki bila alafu uone kama tutashindwa na ukame

View attachment 1936352

Dont look for excuses brother,
Dunia ya Léo ni fedheha kubwa kusingizia kiangazi sababu kilimo cha mvua kimepitwa na wakati,
Yale matrilioni ya covid mmepewa na wazungu kwanini msifanye miradi ya umwagiliaji?
Yaani bila aibu you are searching for random google searches kutafuta visingizio , you can also google to confirm that UAE is practicing farming and exporting vegetables,
Besides, tuondoe huko kwenye ukame, kwani hiyo arable ardhi mliyonayo haiwatoshi kufanya kilimo ? How much acres do you need ?
 

FYI,
Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, kote huko ni kukame sana.
 
Usalama wa chakula kwa ustawi wa wananchi siyo suala la kikatiba??
Wewe unafikiri katiba ni tume ya uchaguzi, mihula miwili ya miaka 5 kila mmoja etc, yaani siasa tuuu!!!???
Ndio wanachojua nyumbu
 

Imagine in Tz we have a project on place tunaleta maji Tabora na Dodoma from lake Victoria over 800km tunatumia over $300ml
Sasa maji yamefika Tabora from the lake,
Lots of water brother,
Why don’t you do the same??
Na hapa nmeona kumbe mlipata hadi aquifers huko turkana in 2013, what did jubilee government do for it ? Mabilioni ya covid mnafanyia nini ?
Is education helping you guys ?
 
FYI,
Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, kote huko ni kukame sana.
Wapi, Ule ukame wa kufanana na pale Masai mara si ukame, 70% ya Kenya inafana hivyo...

This is Chalbi, Kenya.. Nionyeshe eneo TZ ambalo liko hivi



 
katika karne hii kuna jirani mpumbavu bado raia wake wanakufa na njaa haahahahhahahahhahahahahhahha
 
Pesa za corona wamepeleka wapi mpaka wafe njaa...

Alafu lock down siyo nzuri...
Tatizo majirani ni binadamu wabishi sana...
usiwe bwege kama mkenya, kenya unaingia na kutoka kama unavyotaka, halafu mapumbavu haya yanatarajia yawe na amani hahahhha
 
Egypt ndo the biggest importer wa chakula Africa kama ulikua hujui....... Tofauti na Kenya ni kwamba wao wako na Oil na uwezzo mwengine wa kiuchumi, Ukulima unategemewa na watu wachache sana.... Kwahivyo rudi ujipange vizuri manake hauna hoja hapa
wakenya mngeweza kuimport mngeanza kulialia na kuomba msaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…