Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Kutokana na umaskini uliotopea ambao umepelekea Kenya kuwa na matatizo sugu miaka nenda miaka rudi kama njaa, uhaba mkubwa wa maji, slums, ukosefu wa ajira, gharama ghali za maisha, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa usalama na utulivu, mauaji ya mara kwa mara hasa wakati wa uchaguzi, ugaidi, ujangili
Hatimae Kenya imeorodheshwa kama failed state, ambapo wapo level 1 na mashindikanaa mengine ukanda huu na abroad kama Sudan, Somalia, Chad, Iraq same whatsapp group
🤣🤣🤣🤣 Poleni wakenya, the official poverty-stricken failed state