Kenya imetajwa rasmi kimataifa kama 'failed state'

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Kutokana na umaskini uliotopea ambao umepelekea Kenya kuwa na matatizo sugu miaka nenda miaka rudi kama njaa, uhaba mkubwa wa maji, slums, ukosefu wa ajira, gharama ghali za maisha, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa usalama na utulivu, mauaji ya mara kwa mara hasa wakati wa uchaguzi, ugaidi, ujangili

Hatimae Kenya imeorodheshwa kama failed state, ambapo wapo level 1 na mashindikanaa mengine ukanda huu na abroad kama Sudan, Somalia, Chad, Iraq same whatsapp group

🤣🤣🤣🤣 Poleni wakenya, the official poverty-stricken failed state

2585546_Screenshot_20201010-1655592.png
2585552_Screenshot_20201010-170200.png
 
Kutokana na umaskini uliotopea ambao umepelekea Kenya kuwa na matatizo sugu miaka nenda miaka rudi kama njaa, uhaba mkubwa wa maji, slums, ukosefu wa ajira, gharama ghali za maisha, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa usalama na utulivu, mauaji ya mara kwa mara hasa wakati wa uchaguzi, ugaidi, ujangili

Hatimae Kenya imeorodheshwa kama failed state, ambapo wapo level 1 na mashindikanaa mengine ukanda huu na abroad kama Sudan, Somalia, Chad, Iraq same whatsapp group

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Poleni wakenya, the official poverty-stricken failed state

View attachment 1596111View attachment 1596112
Hahaaa!!june 2010[emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta za 2000 pia ulete manake uko obsessed sana na kenya
 
Kwani mlishawahi kunasuka lini kwenye tope la failed state Tokea muingie rasmi? 😂😂😂
 
Ripoti za miaka mia moja zilizopita....khaah, we bibiye mmmbea kweli, nikafikiri ni ripoti ya leo....kalb hayawan.
 
Halafu wanajifanya kumuomba Mungu awanusuru na janga la corona huku wamevaa barakoa, duh. Hawa nyang'au wana utani wa utopolo.
 
Kutokana na umaskini uliotopea ambao umepelekea Kenya kuwa na matatizo sugu miaka nenda miaka rudi kama njaa, uhaba mkubwa wa maji, slums, ukosefu wa ajira, gharama ghali za maisha, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa usalama na utulivu, mauaji ya mara kwa mara hasa wakati wa uchaguzi, ugaidi, ujangili

Hatimae Kenya imeorodheshwa kama failed state, ambapo wapo level 1 na mashindikanaa mengine ukanda huu na abroad kama Sudan, Somalia, Chad, Iraq same whatsapp group

🤣🤣🤣🤣 Poleni wakenya, the official poverty-stricken failed state

View attachment 1596111View attachment 1596112
not yet till they reach there on top, everything on top
 
Km vile mnavyoshindwa kujinasua katika dimbwi la umaskini km nchi[emoji23][emoji23]
🇹🇿 LOL 🇹🇿 middle 🇹🇿 income 🇹🇿 country 🇹🇿 baby 🇹🇿
 
[emoji1241] LOL [emoji1241] middle [emoji1241] income [emoji1241] country [emoji1241] baby [emoji1241]
Umeamua kuleta bendera[emoji23][emoji23]
Jinasueni katika umaskini km nchi kwanza ndio mje tuongee..
Au na wewe lete na turkana uonekane una hoja
 
Kama uchumi unaendelea kupaa na gap unaendelea kupanuka tukiwa failed state ni sawa,
Acha tuwe failed state till 2100.
Am proud of it
Hakuna uchumi unaopaa Kenya kuzidi kasi ya madeni mkunyaa 😁😁
EiJBohWWsAEjDP1.jpg
 
Kutokana na umaskini uliotopea ambao umepelekea Kenya kuwa na matatizo sugu miaka nenda miaka rudi kama njaa, uhaba mkubwa wa maji, slums, ukosefu wa ajira, gharama ghali za maisha, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa usalama na utulivu, mauaji ya mara kwa mara hasa wakati wa uchaguzi, ugaidi, ujangili

Hatimae Kenya imeorodheshwa kama failed state, ambapo wapo level 1 na mashindikanaa mengine ukanda huu na abroad kama Sudan, Somalia, Chad, Iraq same whatsapp group

🤣🤣🤣🤣 Poleni wakenya, the official poverty-stricken failed state

View attachment 1596111View attachment 1596112
Africa is for how many country's..??
Naton Jr Africa ni ya mataifa magapi.?
 
Back
Top Bottom