Kenya Ina Kipi Cha Kujivunia Toka Ipeleke Majeshi Somalia Takribani Miaka Nane Iliyopita?

Ngoja wakuue na ww ndo utajua km idadi ndogo......mavi ya kenge ww
Man you are just assuming. There are countless small scale Al Shabab attacks that dont attract international attention.

They happen week in week out leaving several dead and others injured. You are being delusional kusema eti ndani ya hii miaka nane Al Shabaab wameua hiyo idadi ndogo kiasi hicho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikumbukwe kuwa tarehe 16 Oktoba 2011 ndiyo siku KDF walipovuka mipaka na kuingia nchini Somalia. Sababu kubwa ikiwa ni kundi la Al Shabaab kutishia usalama wa nchi ya Kenya.

Miezi michache kabla ya tarehe hiyo Al Shabaab walitekeleza mashambulizi kadhaa nchini Kenya yaliyoacha wengi wakiwa majeruhi na baadi wakifa.

Lengo kamili la KDF kuingia Somalia ilikua ni kuilinda Kenya dhidi ya mashambulizi ya Al Shabaab na kuwasaidia Wasomali kujenga serikali yao imara ili waweze kupambana wao wenyewe dhidi ya kikundi hicho cha kigaidi.

Ripoti kadhaa zimejaribu kueleza sababu zilizoisukuma serikali ya Kenya kuingiza majeshi nchini Somalia ili kupambana na Al Shabaab, baadhi ya hizo sababu ni:

1. KDF kutaka kuonyesha kuwa wanaweza kupambana na adui yeyote, kitu ambacho hata raisi wa Ugand bwana Y. K. Museveni alikejeli (katika mazungumzo yaliyovuja akiongea na mwanadiplomasia wa Marekani) kuwa jeshi la Kenya ni "career army" lilalojitutumua kupambana na haliwezi kupigana na Al Shabaab wanaotumia mbinu za vita vya misituni (guerrillas).

2. Jambo jingine ni kuwa hadhi ya Jeshi la Uganda wakati huo ilionekana kupanda kutokana na mission waliyokuwa nayo Somalia (chini ya AU) hivyo kupelekea KDF kuona kuwa inachafua their "self proclaimed" reputation kama the "superior military power" in East Africa. Hivyo ilikua ni lazima kuvuka border ili kulinda hiyo status na kurudisha imani ya wananchi waliokuwa wamechoshwa pia kwa skendo za rushwa katika jeshi hilo.

3. Report mbalimbali zinasema kuwa viongozi wakubwa nchini Kenya (wakati huo) walitarajia KDF kuwa integrated katika mission ya AU ya kulinda amani Somalia ambapo kwa wakati huo iliundwa na vikosi kutoka Burundi, Uganda na Djibouti. Kuunganishwa ka Kenya kwenye mission hiyo kungemaanisha kuwa gharama ambazo zingetumika zingetolewa na wahisani wa kimataifa na sio bajeti ya serikali ya Kenya.

4. The Somali Connection

Pamoja na kuwa mwanzoni raisi Mwai Kibaki alisita kukubali kupeleka jeshi nchini Somalia. Ripoti zanasema kuwa alishawishiwa na viongozi wa juu wakiwemo Minister of Internal Security (George Saitoti), Minister of Defense (Yusuf Haji), Mkuu wa Majeshi (Julius Karangi) na Chief of Intelligence (Michael Gichangi).

Yusuf Haji (Waziri wa Ulinzi), mwenye asili ya Somalia, inasemekana ndiye aliyekuwa na ushawishi mkubwa kwa raisi Kibaki. Ikumbukwe kuwa huyu Haji alikuwa anaunga mkono juhudi za kuundwa kwa Jubaland (independent state) ndani ya Somalia karibu na mipaka ya Kenya. Jubaland inajulikana kwa kuwa na wingi wa gas and oil deposits.

Huyu Haji ikumbukwe pia kuwa alikua na matamanio ya kuunganisha ukoo wake wa Ogadeni ambao umesambaa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, Ethiopia na Somalia.

Davidi Throup ambaye ni mchambuzi wa siasa za Kenya aliwahi kunukuliwa akisema.....

"Maslahi binafsi ya kiuchumi na kisiasa ya viongozi wa ngazi za juu na wanajeshi kutoka Kaskazini Mashariki mwa Kenya (Ogadeni Somali Community) vilichangia kwa kiasi kikubwa katika maamuzi ya kupeleka KDF Somalia."

5. Sababu nyingine ni nia ya serikali kuendelea kupata misaada kutoka mataifa ya Magharibi (USA to be precise). Baada ya balozi ya US kulipuliwa mwaka 1998 nchini Kenya, USA wali consider Kenya kama strategic ally katika kupambana na ugaidi.

Hivyo basi Kenya walihitaji kulinda reputation yao kwa kuunga mkono juhudi za USA katika kupambana na ugaidi, hakukuwa na njia zaidi ya kuingia Somalia kupambana na adui.

MATOKEO

Miaka takribani nane sasa tokea Kenya kuingia Somalia bado majeshi ya KDF yapo Somalia na bado Al Shabaab wanaendelea kuwa tishio kwa serikali ya Kenya.

Tunaweza kukumbuka matukio kadhaa ya kigaidi nchini Kenya yaliyoanza kutekelezwa na Al Shabaab wiki kadhaa tu baada ya KDF kuingia Somalia. Kati ya hayo ni mashambulizi ya Mwaura's, Machakos Bus Terminal, E. A. Pentecostal Church na mengine countless ambayo ni small scale.

Matukio notable ni kama mashambulizi ya Westgate, Garrisa na hivi karibuni DusitD2 Hotel.

Kama sababu ya KDF kuingia Somalia ilikua ni kuifanya Kenya iwe salama dhidi ya Al Shabaab ili iweze kuvutia wawekezaji basi kwa asilimia kubwa mission ime-fail. Ingawa kuna foreign investors lakini kitendo cha kuendelea kuwepo Al Shabaab ndani ya Kenya na kuendelea kufanya mashambulizi kila watakapo ni ishara kuwa KDF imeshindwa.

Wanajeshi wanauwawa kila uchwao na wengine kuchukuliwa mateka na Al Shabaab. Raia wanauwawa kila Al Shabaab watakapotaka kuua. Somalia mpaka sasa hawajaweza kuwa na stable government. Hizo zote ni dalili za kushindwa. Nashauri serikali ya Kenya iondoe KDF Somalia kwa sasa ili mfanye evaluation kuona mmekosea wapi na nini way forward.

Natoa Credit kwa: The Conversation, CSIS, Crisisgroup, Wikileaks, Daily Nation.
Mkuu umenena vyema atayepinga apinge tuu haitabadilisha chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kdf wameshindwa kabisa huko somali land warudi nyuma kabisa na pia kuwa na muunganiko na wasomali katika serikali yao na katika jeshi lao "ASILI HAIWEZ KUACHA ASILI" na pia wana poor milltary intellgncy
guarill war ni ngumu sana si rahisi kama wao wanavyo dhani warudi nyuma tu then wapige ambush moja wakiwa na 100% milltary intellgncy
Mkuu umenena vyema kabisa serikali ya kenya Ina wasomali wengi Sana police,jeshini idara ya usalama ,bunge nk pia kaskazi mwa kenya Mandela count galisa yote wasomali wamejaa . Hivyo mabadiliko ya kimfumo ni muhimu katika nyanja muhimu hasa zile za kiusalama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia kuwasha moto ambao unakushinda kuzima ndio hii,Kenya sio kama hawawezi kutoka Somalia,wanachohofia hapa ni kuwa wakitoka bado itaonekana wameshindwa, na Alshabab hawatawaacha kwani watajua hawa jamaa ni wachovu,kwahiyo wanaona bora waendelee kukaa Somalia ili waonekanae kuwa bado wanauweza mchezo...
Siyo kweli hao wakenya wanaionea haya marekani hivyo wamekubali kufa na tai shingoni ili waendelee kujipendekeza Kwa USA serikali ya Kenya isha dumbukia kwenye trap!!! ya USA awawezi kutoka hadi wamuombe na kumnyenyekea USA ili awaruhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
since u tanzanians aint in somalia ,why dont u mind your business ,whether tuko.somalia au hatuko why does it concern your ass?

Sent using Jamii Forums mobile app

Simply inform him/her that Kenyan Defense Force is in Somalia as part of African Union Troops! Put your history properly and correctly and the other African troops are from Ethiopia, Djibouti, Uganda, Burundi just to mention a few. Why should AU withdraw its troops from Somalia while the bloody thirsty Alshaabab the AlQaida & ISIS affiliates are still operating in that country? It is a pity that some individuals are so lazy in reading books, newspapers as part of education instead they end up with gossips like hadithi za Abunuwas za elfu ulela ulela(literal translation - evening stories narrated by grannies grandmothers[emoji70] [emoji70] to their grand children [emoji64])!
 
Ikumbukwe kuwa tarehe 16 Oktoba 2011 ndiyo siku KDF walipovuka mipaka na kuingia nchini Somalia. Sababu kubwa ikiwa ni kundi la Al Shabaab kutishia usalama wa nchi ya Kenya.

Miezi michache kabla ya tarehe hiyo Al Shabaab walitekeleza mashambulizi kadhaa nchini Kenya yaliyoacha wengi wakiwa majeruhi na baadi wakifa.

Lengo kamili la KDF kuingia Somalia ilikua ni kuilinda Kenya dhidi ya mashambulizi ya Al Shabaab na kuwasaidia Wasomali kujenga serikali yao imara ili waweze kupambana wao wenyewe dhidi ya kikundi hicho cha kigaidi.

Ripoti kadhaa zimejaribu kueleza sababu zilizoisukuma serikali ya Kenya kuingiza majeshi nchini Somalia ili kupambana na Al Shabaab, baadhi ya hizo sababu ni:

1. KDF kutaka kuonyesha kuwa wanaweza kupambana na adui yeyote, kitu ambacho hata raisi wa Ugand bwana Y. K. Museveni alikejeli (katika mazungumzo yaliyovuja akiongea na mwanadiplomasia wa Marekani) kuwa jeshi la Kenya ni "career army" lilalojitutumua kupambana na haliwezi kupigana na Al Shabaab wanaotumia mbinu za vita vya misituni (guerrillas).

2. Jambo jingine ni kuwa hadhi ya Jeshi la Uganda wakati huo ilionekana kupanda kutokana na mission waliyokuwa nayo Somalia (chini ya AU) hivyo kupelekea KDF kuona kuwa inachafua their "self proclaimed" reputation kama the "superior military power" in East Africa. Hivyo ilikua ni lazima kuvuka border ili kulinda hiyo status na kurudisha imani ya wananchi waliokuwa wamechoshwa pia kwa skendo za rushwa katika jeshi hilo.

3. Report mbalimbali zinasema kuwa viongozi wakubwa nchini Kenya (wakati huo) walitarajia KDF kuwa integrated katika mission ya AU ya kulinda amani Somalia ambapo kwa wakati huo iliundwa na vikosi kutoka Burundi, Uganda na Djibouti. Kuunganishwa ka Kenya kwenye mission hiyo kungemaanisha kuwa gharama ambazo zingetumika zingetolewa na wahisani wa kimataifa na sio bajeti ya serikali ya Kenya.

4. The Somali Connection

Pamoja na kuwa mwanzoni raisi Mwai Kibaki alisita kukubali kupeleka jeshi nchini Somalia. Ripoti zanasema kuwa alishawishiwa na viongozi wa juu wakiwemo Minister of Internal Security (George Saitoti), Minister of Defense (Yusuf Haji), Mkuu wa Majeshi (Julius Karangi) na Chief of Intelligence (Michael Gichangi).

Yusuf Haji (Waziri wa Ulinzi), mwenye asili ya Somalia, inasemekana ndiye aliyekuwa na ushawishi mkubwa kwa raisi Kibaki. Ikumbukwe kuwa huyu Haji alikuwa anaunga mkono juhudi za kuundwa kwa Jubaland (independent state) ndani ya Somalia karibu na mipaka ya Kenya. Jubaland inajulikana kwa kuwa na wingi wa gas and oil deposits.

Huyu Haji ikumbukwe pia kuwa alikua na matamanio ya kuunganisha ukoo wake wa Ogadeni ambao umesambaa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, Ethiopia na Somalia.

Davidi Throup ambaye ni mchambuzi wa siasa za Kenya aliwahi kunukuliwa akisema.....

"Maslahi binafsi ya kiuchumi na kisiasa ya viongozi wa ngazi za juu na wanajeshi kutoka Kaskazini Mashariki mwa Kenya (Ogadeni Somali Community) vilichangia kwa kiasi kikubwa katika maamuzi ya kupeleka KDF Somalia."

5. Sababu nyingine ni nia ya serikali kuendelea kupata misaada kutoka mataifa ya Magharibi (USA to be precise). Baada ya balozi ya US kulipuliwa mwaka 1998 nchini Kenya, USA wali consider Kenya kama strategic ally katika kupambana na ugaidi.

Hivyo basi Kenya walihitaji kulinda reputation yao kwa kuunga mkono juhudi za USA katika kupambana na ugaidi, hakukuwa na njia zaidi ya kuingia Somalia kupambana na adui.

MATOKEO

Miaka takribani nane sasa tokea Kenya kuingia Somalia bado majeshi ya KDF yapo Somalia na bado Al Shabaab wanaendelea kuwa tishio kwa serikali ya Kenya.

Tunaweza kukumbuka matukio kadhaa ya kigaidi nchini Kenya yaliyoanza kutekelezwa na Al Shabaab wiki kadhaa tu baada ya KDF kuingia Somalia. Kati ya hayo ni mashambulizi ya Mwaura's, Machakos Bus Terminal, E. A. Pentecostal Church na mengine countless ambayo ni small scale.

Matukio notable ni kama mashambulizi ya Westgate, Garrisa na hivi karibuni DusitD2 Hotel.

Kama sababu ya KDF kuingia Somalia ilikua ni kuifanya Kenya iwe salama dhidi ya Al Shabaab ili iweze kuvutia wawekezaji basi kwa asilimia kubwa mission ime-fail. Ingawa kuna foreign investors lakini kitendo cha kuendelea kuwepo Al Shabaab ndani ya Kenya na kuendelea kufanya mashambulizi kila watakapo ni ishara kuwa KDF imeshindwa.

Wanajeshi wanauwawa kila uchwao na wengine kuchukuliwa mateka na Al Shabaab. Raia wanauwawa kila Al Shabaab watakapotaka kuua. Somalia mpaka sasa hawajaweza kuwa na stable government. Hizo zote ni dalili za kushindwa. Nashauri serikali ya Kenya iondoe KDF Somalia kwa sasa ili mfanye evaluation kuona mmekosea wapi na nini way forward.

Natoa Credit kwa: The Conversation, CSIS, Crisisgroup, Wikileaks, Daily Nation.
si sisi pekee yetu hata Ethiopia iko huko,hio ni kuonyesha kenyans hakuna kitu wanaogopa ya pili inatupea experience hope uliona what happnd at dusit venye hao watu walimadwa,hauezi compare hio ni 2013 westgate ndo tulikuwa chini lakini sai mbinu ya vita tunaijua,na kenya haiezi toka huko coz hizo country zikatoka alshabaab na alkaida watafanya hio their base n believe me you hata nyinyi hamtakuwa safe,same na Africa nzima n plus btw pia ni business ina tu sell thats why kenyans wanaheshimika sana nje ya continent na ndani so kila opportunity si hufanya lazima tuwe tumeona uzuri wake,si huona mbele,tunajipenda hio kiasi,na ilibidii tuende coz hatutaki somalis in our country

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simply inform him/her that Kenyan Defense Force is in Somalia as part of African Union Troops! Put your history properly and correctly and the other African troops are from Ethiopia, Djibouti, Uganda, Burundi just to mention a few. Why should AU withdraw its troops from Somalia while the bloody thirsty Alshaabab the AlQaida & ISIS affiliates are still operating in that country? It is a pity that some individuals are so lazy in reading books, newspapers as part of education instead they end up with gossips like hadithi za Abunuwas za elfu ulela ulela(literal translation - evening stories narrated by grannies grandmothers[emoji70] [emoji70] to their grand children [emoji64])!
KDF entered Somalia on it's own with the hope of being integrated into the AU Troops.

At that time the AMISOM was formed by troops from Burundi, Uganda and Djibouti. You entered Somalia in a solo mission with 'high hopes' of getting international aid and recognition.

Kenya had troops deployed in Somalia independently before they were brought under the AMISOM umbrella.

You are turning a blind eye here.
 
Nimeanza kuwashauri siku nyingi sana Wakenya kujitoa huko lakini Kila anaewashauri wanamuona mbaya.

Waelewe tu, wanapigana na Wakenya wenzao pia na si Wasomali pekee. Shambulio la juzi mpaka mtoto wa Afisa wa Jeshi la Kenya yumo.

Kwa hali kama hiyo ambayo huna uhakika upo kwenye vita na nani utashinda vipi?

Viongozi wa Kenya wanawapa tu raia zao kwa thamani ndogo ya kununuliwa na USA na washirika wake.

The situation is, Kenyans kill Kenyans. Hii ni mbaya kuliko maumau.
 
Nimeanza kuwashauri siku nyingi sana Wakenya kujitoa huko lakini Kila anaewashauri wanamuona mbaya.

Waolewe tu, wwnapigana na Wakenya wenzao pia na si Wasomali pekee. Shambulio la juzi mpaka mtoto wa Afisa wa Jeshi la Kenya yumo.

Kwa hali kama hiyo ambayo huna uhakika upo kwenye vita na nani utashinda vipi?

Viongozi wa Kenya wanawapa tu raia zao kwa thamani ndogo ya kununuliwa na USA na washirikaa wake.

The situation is, Kenyans kill Kenyans. Hii ni mbaya kuliko maumau.
Trump mwenyewe amesema vita na ISIS hataki tena..Huku kenya inajipiga kifua eti hakuna kurudi nyuma 😂😂😂
 
Trump mwenyewe amesema vita na ISIS hataki tena..Huku kenya inajipiga kifua eti hakuna kurudi nyuma [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuongea kitu ujui,walikataa tena after consolation ww mjinga sana,US na hizo country ziko huko zikitoka dunia nzima tutaumia mara20 juu hawa wasee wote watafanya hio ka their country n their base na hivyo wata attack the world anywhere sana sana penye christians wako n if am not wrong Tz nikaa christian nation juu christians ndo most,before uongee first

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom