Kenya Ina Kipi Cha Kujivunia Toka Ipeleke Majeshi Somalia Takribani Miaka Nane Iliyopita?

Kenya Ina Kipi Cha Kujivunia Toka Ipeleke Majeshi Somalia Takribani Miaka Nane Iliyopita?

The thousands of dead Alshabab beg to differ.

Even with the mungiki threat we had like 15 years ago, (and it was more deadly than Al shabab), government returned fire with fire.
Right now, Mungiki does not exist.
Not to say that the government killed all Mungiki members, but when the organization is weakened enough, remaining followers will think twice and drop their arms.
The point is Kenyans are killed left and right, whether civilians or in uniforms all are Kenyans, many Kenyans lives are lost compared to Alshabab lives, that is the fact because Kenya has easy and soft targets(civilians).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda for all those years had been operating in a six to seven block radius around Mogadishu where alshabaab were not very active. They never dared to operate in the real bush to face the gorillas .Its during this time that alshabaab were gaining strength and even started hijacking ships in the Indian ocean .They controlled almost all trade in somalia .Kdf entry was the ultimate game changer on the whole somalia issue.
Acha uongo na tabia ya kujisifia, Uganda, Burundi, Ethiopia na Djibouti forces zilikomboa karibu nchi yote ya Somalia, Alshabab wakabaki na Kismayo na Southern part, KDF ilikamata Kismayu na South East, Alshabab wamebaki na South West na part of Central Somalia.

Katika majeshi yote yanayoshiriki vita huko Somalia, KDF is the weakest and inexperienced army, stop your bragging.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu kama hicho, una catch feelings tu na hata ukisoma original post utapata content ina nia gani. Ila kutokana na mabishano yenyu ndio na kukataa hali halisi ndio inafanya mpaka ifikie kuona kuwa sisi ni 'mbwa mwitu'.

You should be glad that we are even bothering about you. We care, nyie ni ndugu zetu, nina wadogo zangu wanasoma huko, ndio maana sitaki niwapoteze pamoja na nyie wa huko na ndio maana nikaandika huu uzi.

Ukifutwa haisaidii kitu ni watu tu hawatajua ukweli.
Hahahahaha😂 maudhui ya unafiki yanadhihirika wazi kwa hii komenti aya ll
It's not easy to discern hypocrisy lakini hii yenu watz ,ni rahisi kujua mlivyo
 
Ikumbukwe kuwa tarehe 16 Oktoba 2011 ndiyo siku KDF walipovuka mipaka na kuingia nchini Somalia. Sababu kubwa ikiwa ni kundi la Al Shabaab kutishia usalama wa nchi ya Kenya.

Miezi michache kabla ya tarehe hiyo Al Shabaab walitekeleza mashambulizi kadhaa nchini Kenya yaliyoacha wengi wakiwa majeruhi na baadi wakifa.

Lengo kamili la KDF kuingia Somalia ilikua ni kuilinda Kenya dhidi ya mashambulizi ya Al Shabaab na kuwasaidia Wasomali kujenga serikali yao imara ili waweze kupambana wao wenyewe dhidi ya kikundi hicho cha kigaidi.

Ripoti kadhaa zimejaribu kueleza sababu zilizoisukuma serikali ya Kenya kuingiza majeshi nchini Somalia ili kupambana na Al Shabaab, baadhi ya hizo sababu ni:

1. KDF kutaka kuonyesha kuwa wanaweza kupambana na adui yeyote, kitu ambacho hata raisi wa Ugand bwana Y. K. Museveni alikejeli (katika mazungumzo yaliyovuja akiongea na mwanadiplomasia wa Marekani) kuwa jeshi la Kenya ni "career army" lilalojitutumua kupambana na haliwezi kupigana na Al Shabaab wanaotumia mbinu za vita vya misituni (guerrillas).

2. Jambo jingine ni kuwa hadhi ya Jeshi la Uganda wakati huo ilionekana kupanda kutokana na mission waliyokuwa nayo Somalia (chini ya AU) hivyo kupelekea KDF kuona kuwa inachafua their "self proclaimed" reputation kama the "superior military power" in East Africa. Hivyo ilikua ni lazima kuvuka border ili kulinda hiyo status na kurudisha imani ya wananchi waliokuwa wamechoshwa pia kwa skendo za rushwa katika jeshi hilo.

3. Report mbalimbali zinasema kuwa viongozi wakubwa nchini Kenya (wakati huo) walitarajia KDF kuwa integrated katika mission ya AU ya kulinda amani Somalia ambapo kwa wakati huo iliundwa na vikosi kutoka Burundi, Uganda na Djibouti. Kuunganishwa ka Kenya kwenye mission hiyo kungemaanisha kuwa gharama ambazo zingetumika zingetolewa na wahisani wa kimataifa na sio bajeti ya serikali ya Kenya.

4. The Somali Connection

Pamoja na kuwa mwanzoni raisi Mwai Kibaki alisita kukubali kupeleka jeshi nchini Somalia. Ripoti zanasema kuwa alishawishiwa na viongozi wa juu wakiwemo Minister of Internal Security (George Saitoti), Minister of Defense (Yusuf Haji), Mkuu wa Majeshi (Julius Karangi) na Chief of Intelligence (Michael Gichangi).

Yusuf Haji (Waziri wa Ulinzi), mwenye asili ya Somalia, inasemekana ndiye aliyekuwa na ushawishi mkubwa kwa raisi Kibaki. Ikumbukwe kuwa huyu Haji alikuwa anaunga mkono juhudi za kuundwa kwa Jubaland (independent state) ndani ya Somalia karibu na mipaka ya Kenya. Jubaland inajulikana kwa kuwa na wingi wa gas and oil deposits.

Huyu Haji ikumbukwe pia kuwa alikua na matamanio ya kuunganisha ukoo wake wa Ogadeni ambao umesambaa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, Ethiopia na Somalia.

Davidi Throup ambaye ni mchambuzi wa siasa za Kenya aliwahi kunukuliwa akisema.....

"Maslahi binafsi ya kiuchumi na kisiasa ya viongozi wa ngazi za juu na wanajeshi kutoka Kaskazini Mashariki mwa Kenya (Ogadeni Somali Community) vilichangia kwa kiasi kikubwa katika maamuzi ya kupeleka KDF Somalia."

5. Sababu nyingine ni nia ya serikali kuendelea kupata misaada kutoka mataifa ya Magharibi (USA to be precise). Baada ya balozi ya US kulipuliwa mwaka 1998 nchini Kenya, USA wali consider Kenya kama strategic ally katika kupambana na ugaidi.

Hivyo basi Kenya walihitaji kulinda reputation yao kwa kuunga mkono juhudi za USA katika kupambana na ugaidi, hakukuwa na njia zaidi ya kuingia Somalia kupambana na adui.



MATOKEO

Miaka takribani nane sasa tokea Kenya kuingia Somalia bado majeshi ya KDF yapo Somalia na bado Al Shabaab wanaendelea kuwa tishio kwa serikali ya Kenya.

Tunaweza kukumbuka matukio kadhaa ya kigaidi nchini Kenya yaliyoanza kutekelezwa na Al Shabaab wiki kadhaa tu baada ya KDF kuingia Somalia. Kati ya hayo ni mashambulizi ya Mwaura's, Machakos Bus Terminal, E. A. Pentecostal Church na mengine countless ambayo ni small scale.

Matukio notable ni kama mashambulizi ya Westgate, Garrisa na hivi karibuni DusitD2 Hotel.

Kama sababu ya KDF kuingia Somalia ilikua ni kuifanya Kenya iwe salama dhidi ya Al Shabaab ili iweze kuvutia wawekezaji basi kwa asilimia kubwa mission ime-fail. Ingawa kuna foreign investors lakini kitendo cha kuendelea kuwepo Al Shabaab ndani ya Kenya na kuendelea kufanya mashambulizi kila watakapo ni ishara kuwa KDF imeshindwa.

Wanajeshi wanauwawa kila uchwao na wengine kuchukuliwa mateka na Al Shabaab. Raia wanauwawa kila Al Shabaab watakapotaka kuua. Somalia mpaka sasa hawajaweza kuwa na stable government. Hizo zote ni dalili za kushindwa. Nashauri serikali ya Kenya iondoe KDF Somalia kwa sasa ili mfanye evaluation kuona mmekosea wapi na nini way forward.


Natoa Credit kwa: The Conversation, CSIS, Crisisgroup, Wikileaks, Daily Nation.
Kenya inawawizia alshabab ili iwamalize. Kenya ina lengo zuri kwasababu inasaidiana na majeshi ya Somali ili wareheshe Amani. Somalia hakuna amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be positive msistee
Pvbs 26:24-..
A hypocrite hides hatred behind flattering words. They may sound fine but don't believe him because his heart is filled to the brim with hate. He may disguise his hatred but everyone will see the evil things he does!!!
 
Acha uongo na tabia ya kujisifia, Uganda, Burundi, Ethiopia na Djibouti forces zilikomboa karibu nchi yote ya Somalia, Alshabab wakabaki na Kismayo na Southern part, KDF ilikamata Kismayu na South East, Alshabab wamebaki na South West na part of Central Somalia.

Katika majeshi yote yanayoshiriki vita huko Somalia, KDF is the weakest and inexperienced army, stop your bragging.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tell me the battles they fought and the towns they liberated from alshabaab. Mogadishu has always been semi autonomous due to its proximity to Somaliland which is relatively stable .
 
Acha uongo na tabia ya kujisifia, Uganda, Burundi, Ethiopia na Djibouti forces zilikomboa karibu nchi yote ya Somalia, Alshabab wakabaki na Kismayo na Southern part, KDF ilikamata Kismayu na South East, Alshabab wamebaki na South West na part of Central Somalia.

Katika majeshi yote yanayoshiriki vita huko Somalia, KDF is the weakest and inexperienced army, stop your bragging.

Sent using Jamii Forums mobile app
If you study the geopolitics of somalia you will understand that The nothern and some parts of central somalia have always been stable and no major presence of alshabaab .Somaliland has its own government and even carryout elections since the area is relatively peaceful.They have always wanted to secession from somalia.
 
Ukiona tunaumia na kuwa concerned na matatizo yenu ujue tunawapenda,kenya na Tanzania ni ndugu,mi nna ndugu kibao huko hivyo siwezi kufurahia nyie mkipata majanga.ndio maana tunawashauri mtoke somalia badala yake muelekeze nguvu kwenye kulinda mipaka yenu na ku eradicate sleeper cells za hao maharamia zilizopo humohumo ndani kwenyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini watoke somalia hali unajua wakishinda somalia next itakuwa kenya na itakuwa vita ngumu kwani kuna co -conspirators wengi wako ndani ya kenya especially coast na eastleigh.Pili kumbuka hawa watu al shabaab have plegde allegiance to al -qaeda which make them have more strategies .shida moja ninayoiona ni wasomali kujihisi wasomali zaidi kuliko wakenya
 
The point is Kenyans are killed left and right, whether civilians or in uniforms all are Kenyans, many Kenyans lives are lost compared to Alshabab lives, that is the fact because Kenya has easy and soft targets(civilians).

Sent using Jamii Forums mobile app

Kenyan deaths (civilian or not): 500 - 600
Al shabab deaths: >50,000

Go argue with your relatives.
 
Kenyan deaths (civilian or not): 500 - 600
Al shabab deaths: >50,000

Go argue with your relatives.
Wewe ni mjinga sana, according to CIA, Alshabab jumla walikua kati ya 7,000 hadi 9,000 sasa hivi wamebaki kama 2500.

Wakenya waliouliwa ni zaidi ya elfu 2000, huu ndio ukweli, na bado kila wiki kuna wakenya wanauliwa huko Garisa, Lamu au Mombasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My fellow Kenyans, you should know people! A genocide happened in 1994, leading to the deaths of 800,000 innocent people just accross the borders of our neighbour and the boys at JWTZ were just idling in their barracks high fiving each other.
 
Back
Top Bottom