Wewe ni mwongo sana na hujui lolote zaidi ya kupiga domo, Alshabab ni jeshi rasmi, wanatumia silaha kubwa na magari, kumbuka wanatumia magari ya kijeshi na silaha zingine kubwa walizozikamata waliposhambulia kambi za jeshi la Burundi, Uganda na Kenya, kumbuka huwa wanakamata silaha nyingi sana, kama wanajichanganya na watu, je hayo magari ya kijeshi pia wanaingia Mayo ndani ya Nyumba za raia?
Alshabab kwa miaka mingi sana walikua wanashikilia miji mikubwa kama Mogadishu na Kismayu, baada ya kuolewa huko, sasa hivi wanashikilia South west part ya Somamalia, KDF South East, Uganda na Burundi ni Central na Mogadishu, Northern ni Djibouti. Utakumbuka ndege ya Kivita F-5 ilipodunguliwa mwaka 2014 ilianguka ndani ya eneo linaloshikiliwa na Alshabab hivyo kushindwa kwenda kupata maiti ya rubani na hata kupata mabaki ya ndege yenyewe.
Kwa taarifa yako Alshabab ni jeshi kamili, linashikilia eneo kubwa tu la Somalia, ila mbinu ya vita wanayotumia ni Gorrila war, wanashambulia kwa kuvizia, na huko wanakoshikilia wanajificha, lakini kuna wakati drones za USA zinagundua maficho na kuwashambulia.
Sent using
Jamii Forums mobile app