Kenya Ina Kipi Cha Kujivunia Toka Ipeleke Majeshi Somalia Takribani Miaka Nane Iliyopita?

Kenya Ina Kipi Cha Kujivunia Toka Ipeleke Majeshi Somalia Takribani Miaka Nane Iliyopita?

Al shabab are civilians.
They hide in homes, wear normal clothes have no formal training.

If Al shabab was a conventional army, we would have crashed them in one afternoon.
You mean to justify the killing and bombing of civilian villages since you think they are Al Shabaab?
 
Wewe ni mwongo sana na hujui lolote zaidi ya kupiga domo, Alshabab ni jeshi rasmi, wanatumia silaha kubwa na magari, kumbuka wanatumia magari ya kijeshi na silaha zingine kubwa walizozikamata waliposhambulia kambi za jeshi la Burundi, Uganda na Kenya, kumbuka huwa wanakamata silaha nyingi sana, kama wanajichanganya na watu, je hayo magari ya kijeshi pia wanaingia Mayo ndani ya Nyumba za raia?

Alshabab kwa miaka mingi sana walikua wanashikilia miji mikubwa kama Mogadishu na Kismayu, baada ya kuolewa huko, sasa hivi wanashikilia South west part ya Somamalia, KDF South East, Uganda na Burundi ni Central na Mogadishu, Northern ni Djibouti. Utakumbuka ndege ya Kivita F-5 ilipodunguliwa mwaka 2014 ilianguka ndani ya eneo linaloshikiliwa na Alshabab hivyo kushindwa kwenda kupata maiti ya rubani na hata kupata mabaki ya ndege yenyewe.

Kwa taarifa yako Alshabab ni jeshi kamili, linashikilia eneo kubwa tu la Somalia, ila mbinu ya vita wanayotumia ni Gorrila war, wanashambulia kwa kuvizia, na huko wanakoshikilia wanajificha, lakini kuna wakati drones za USA zinagundua maficho na kuwashambulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Museveni alishaliona hili mapema kabisa na ndio maana aliibrand KDF kuwa nia "career army". They can not fight Al Shabaab.
 
Why are you spreading lies jiwe LA joto? Can you prove that 100k Kenyans have been killed during terror attacks?
Moderator futa huu uchafu
Come on, huo sasa ni uzalendo uchwara. Kwamba watu wasiongee wanayoyaona Kenya au kwasababu tunasema sisi wa Tz ndio inawauma.

Unataka thread ifutwe kwasababu gani. Kwanini usipinge hiyo idadi kwa kuweka idadi ambayo iko sawa, ambayo haijakuwa rigged.
 
So where were you to tell the truth if the gvt failed to do so? Were you among the attackers? Why don't you people MYOFB??
Just a bunch ofvociferous ignominious maniacs trying to sound relevant by criticizing others. Why don't you go and fight this battle if you believe in your invincibility? It's not easy!!! Just that!!
We are not talking about invicibility here my lady. I am repeating this; we are not here to brag about military prowess.
 
Eee ifutwe kabisa!! Nyinyi ni mbwa mwitu waliovalia ngozi ya kondoo!! Kazi yenu kucheka wengine wakiwa na matatizo. Mmefungua nyuzi nyingi sana.Mbona mnafurahia vifo vya wakenya mpaka mnaua walio hai kwa kuongeza idadi ya wafu?
Hamna kitu kama hicho, una catch feelings tu na hata ukisoma original post utapata content ina nia gani. Ila kutokana na mabishano yenyu ndio na kukataa hali halisi ndio inafanya mpaka ifikie kuona kuwa sisi ni 'mbwa mwitu'.

You should be glad that we are even bothering about you. We care, nyie ni ndugu zetu, nina wadogo zangu wanasoma huko, ndio maana sitaki niwapoteze pamoja na nyie wa huko na ndio maana nikaandika huu uzi.

Ukifutwa haisaidii kitu ni watu tu hawatajua ukweli.
 
This thread should be closed, this idiots jus want to force deaths on kenyans to be happy, zombies

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo wewe. Siubishe kwa hoja asa uzi ukifutwa ndio itasaidia nini? Ukweli unauma sio? Ndio kawaida ya watu weusi, hatupendi kuambiwa ukweli. Mtu akikuambia ukweli mchungu unamuona msaliti.
 
Kuna kupuliza ili moto uwake na Luna kupuliza I moto uzime. Kenya wanapuliza ili iwake
 
The problem with you people is that you think that you are the first ones to come up with critisim about kdf role in somalia .....The government has its own strategy which is informed by expert analysis all this things you are saying here are not new .
 
Before kdf entered somalia Amisom was irrevant .Alshabaab was gaining more ground each day they controlled major towns ports airports and were on the verge of controlling one of the busiest waterway in Africa yet Uganda and Ethiopia were in somalia for almost 6 yrs and had not managed to contain them......most arguments here are uninformed and petty.
 
Hahahaha wewe ni pimbi kweli, hadi Leo serikali yenu imekataa kutoa idadi kamili ya KDF waliouliwa El- ede camp, bado unasema unlike Tanzania, kwa taarifa yako, more than 600 KDF solders died.

Kuhusu terrorists attacks, Mombasa, Lamu, Carissa, karibu kila siku watu wanavamiwa, vituo vya POLISI na magari ya polisi yanalipuliwa na land mines, watu wengi wanapoteza maisha kutokana na hizi attacks kuliko hizo big attacks.

Sent using Jamii Forums mobile app

Giving numbers for soldiers and civilians are two different matters.
Announcing numbers for soldier deaths in Somalia will only end up strengthening the militia.

Alafu hii yako ya karibu kila siku, the last time there was an attack on soldiers or police in Kenya was August last year.
Najua furaha yako ni uskie kila siku, lakini lo.
It happens once every few months and the casualties are very few.
 
You a fighting a losing battle. As long as KDF remains in Somalia, Kenya will always be shaken with terror. Al Shabaab have cemented themselves inside Kenya it's hard to thwart them with ease.

The thousands of dead Alshabab beg to differ.

Even with the mungiki threat we had like 15 years ago, (and it was more deadly than Al shabab), government returned fire with fire.
Right now, Mungiki does not exist.
Not to say that the government killed all Mungiki members, but when the organization is weakened enough, remaining followers will think twice and drop their arms.
 
Museveni alishaliona hili mapema kabisa na ndio maana aliibrand KDF kuwa nia "career army". They can not fight Al Shabaab.
Uganda for all those years had been operating in a six to seven block radius around Mogadishu where alshabaab were not very active. They never dared to operate in the real bush to face the gorillas .Its during this time that alshabaab were gaining strength and even started hijacking ships in the Indian ocean .They controlled almost all trade in somalia .Kdf entry was the ultimate game changer on the whole somalia issue.
 
The thousands of dead Alshabab beg to differ.

Even with the mungiki threat we had like 15 years ago, (and it was more deadly than Al shabab), government returned fire with fire.
Right now, Mungiki does not exist.
Not to say that the government killed all Mungiki members, but when the organization is weakened enough, remaining followers will think twice and drop their arms.
Lets all hope for the best boss. You seemed to misconceived the intent of this thread thus overreacting and leading everyone OP.

Mkaanza kusema kuwa sisi tunatamani casualities ziwe/zingekuwa kubwa baada ya sisi kuwambia kuwa hizo namba ziko chini. (misconception of facts).
 
Uganda for all those years had been operating in a six to seven block radius around Mogadishu where alshabaab were not very active. They never dared to operate in the real bush to face the gorillas .Its during this time that alshabaab were gaining strength and even started hijacking ships in the Indian ocean .They controlled almost all trade in somalia .Kdf entry was the ultimate game changer on the whole somalia issue.
At least M7 knew he wouldn't be able to engage Al Shabaab and neither do you.

Ila tuwaachie wenyewe kama hamtaki kutizama hii situation kwa jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom