joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Waswahili husema mwenye maneno mengi, hana nguvu za kupigana. Kenya wamezidi maneno kila wanapizidiwa lazina watafute kisingizio.
Ukweli ni kwamba Kenya wanazo maabara 2 tu zenye uwezo wa kupima Corona zote zipo Nairobi, na vitanda 160 vya ICU nchi nzima, kati ya hivyo vingine havifanyi kazi.
Wakenya punguzenni mdomo na kujisifia sana, Corona inaendelea kuenea kwa kasi, hii tabia yenu ya kupima na kutangaza matokeo bila kuchukua hatua za kupunguza maambukizi, itawaweka pabaya sana.
Huu ugonjwa hakuna nchi inaweza kuficha kwasababu ukificha watu wanakufa kama wadudu, au wagonjwa watajazana katika Hospitali.
Sent using Jamii Forums mobile app