double R
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,399
- 2,541
Ukweli, Kenya walikuwa na uwezo kupima Corona kabla ya TZ.
Uwepo wa maabara ni moja lakini ili upime inabidi uwe na vipimo na wataalamu wanaojua kupima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwepo wa maabara ni moja lakini ili upime inabidi uwe na vipimo na wataalamu wanaojua kupima.
Kenya ndio ilikuwa ya kwanza kuweza kufanya confirmatory test?
Unamaanisha Maabara kuu ya Tz zimekuwa installed lini? Na kwani Tz ilileta sampuli kenya kuconfirm? Majivuno wakati mwingine yanakufanya uonekane choko kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app