joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #61
Nipo hapa ninasubiri matangazo ya new infections, leo wanatangaza saa ngapi?. Wazee wa "mass testing"[emoji23][emoji23][emoji23]Hii video ni ya zamani. Wewe tatizo lako ni gani? Mbona joto la jiwe na Geza Ulole mpo obsessed na Kenya kiasi hiki? Hakuna Mkenya aliye obsessed na TZ hivi. Mimi huwa siwazi Tanzania kabisa. Hapa JF mie huja kusoma Kenyan news tu. Sina haja ya kufahamu nini kinaendelea Tanzania. Sasa sielewi mbona watanzania wanatuwaza sisi Wakenya usiku na mchana. Sielewi wanaona nini kizuri kwetu? Mimi binafsi sioni kama Kenya ina umuhimu wowote wa kufanya Watz kukosa usingizi kiasi hiki na kushinda wakipost mambo ya Kenya humu. Kwa siku moja tu Geza anaweza post habari ishirini tofauti kuhusu Kenya. Hakika Watz wanapost mambo ya Kenya sana hata kushinda Wakenya wenyewe. Mimi mwenyewe ni nadra sana kupost habari yoyote ya TZ. So wacheni kuwa stalkers bana. Sasa Kenya ina stalkers from TZ? Kwani Kenya ni mrembo kiasi gani? Get a life guyz.
Sent using Jamii Forums mobile app