Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Mpaka Bungeni kwetu hata hapa JF Watanzania wanalia kwamba Kenya inahusika na kuingilia mambo yao ya ndani, hilo linasema nini kuhusu nchi ya Kenya kwetu ? Tuseme labda ni kweli Kenya inaingilia mambo ya Tanzania, hii maana yake ni kwamba Kenya ni mkubwa wa Tanzania kwani Tanzania haina uwezo wa kuingilia mambo ya Kenya hata kama Tanzania ikiamua kufanya hivyo hakuna Mkenya atakosa usingizi au hata tu kujua kwamba Tanzania inawaingilia.
Lakini Tanzania mpaka wanajdili Bungeni, hivyo hilo peke yake linaonyesha kwamba Kenya ni Mkubwa kwa Tanzania na hata nyuzi za kujadili Kenya vs TZ hapa JF zifutwe kwani mshindi anajulikana tayari.
Binafsi najisikia aibu sana kudharaulishwa kiasi hiki, nilikuwa naona sisi Tanzania ni powerful lkn tunalia lia kuonewa na Kenya, imeniskitisha sana kwa kweli, sisi ni watu dhaifu mno.
Bungeni kwetu huko sasa hivi wanalia kuonewa na Kenya, go figure!