Huyu jamaa Kijajazi inaonekana akili yake ni ndogo Sana, amesahau bunge la Kenya lilivyolia baada ya Magufuli kuchoma vifaranga na kutaifisha Ng'ombe za wamasai wa Kenya na kuzipiga mnada, kwanini asiseme kwamba Kenya inalialia na kuiogopa Tanzania?.
Aliona jinsi ambavyo Jaguar alivyobebwa juu juu na polisi wa Kenya na balozi wa Kenya nchi Tanzania alivyo hangaika kuomba msamaha kufuatia kauli ya Jaguar baada ya bunge la Tanzania kuja juu, mbona hakusema kwamba Kenya inaiogopa Tanzania?.
Sasa yeye alitaka kifanyike nini, tufunge mipaka au tupeleke jeshi?.
Kijakazi
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app