Kenya ina uwezo kuitetemesha Tanzania na ikatetemeka?

Halafu kikubwa unakuta Kenya asilimia chache tuna habari ya haya mambo huku nchi yote ya Tanzania ikilialia na kulalamika na kubweka kuhusu Kenya........huchekesha sana hawa jamaa.
Sisi tumewapiga risasi wananchi wenu,mbona nyinyi hamjafanya retaliation? Tunawajua nyinyi ni waoga,na hata baada ya hapo,tumewahamisha wananchi wetu kwenda Handeni. Mbona mlilialia? Na bado mnalialia? Sisi hatuna mda na huo ujinga.
 
Wakenya hawapigani kwa kifua ,wanapigana vismart ...wanajua kuchezea mchezo....Ona venye EACOP ilivyo fanywa,sasa ona venye story za maasai sai wamefanya hadi UN wakaingilia hili jambo..Mulijaribu kuficha lakini hao wakafichua...
 
Wakenya huendesha mambo yao kwa kukwiba pesa huku na huko kisha kuwatumia nyanya zao kwaajili ya mirungi & chang'aa
 
Sisi tumewapiga risasi wananchi wenu,mbona nyinyi hamjafanya retaliation? Tunawajua nyinyi ni waoga,na hata baada ya hapo,tumewahamisha wananchi wetu kwenda Handeni. Mbona mlilialia? Na bado mnalialia? Sisi hatuna mda na huo ujinga.
ngoja tuone kama masai wa kikenya nao watahamia handeni. Tanzania akili kubwa sana aisee,,kumbe dawa ilikuwa ni hiyo tu. kwisha habari yake.
 
Hahaha,kweli chungu,tulichoma vifaranga vyao,wakalilia bila kufanya lolote,tukakamata ng'ombe wao,wakalilia bila kufanya lolote,tumepiga raia wao risasi(hii haivumiliki) lakini wameishia kulialia 🀣🀣 alafu hakuna retaliation! ,Yaani hawa jamaa Hadi. Tunawashangaa walivyo waoga🀣🀣dah! Hata uchaguzi unakumbuka tuliwatikisa kilio juu🀣🀣🀣😌😌 hovyo Sana.
 
Wakenya hawapigani kwa kifua ,wanapigana vismart ...wanajua kuchezea mchezo....Ona venye EACOP ilivyo fanywa,sasa ona venye story za maasai sai wamefanya hadi UN wakaingilia hili jambo..Mulijaribu kuficha lakini hao wakafichua...
Chukueni raia wenu tutawamaliza kwa risasi, wamasai wa Tanzania hawa hapa wameondoka

Note; Kwenye Kiswahili hakuna neno "venue", wacha kutuharibia lugha yetu, tumia neno "vile" au "jinsi ambavyo"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
we jamaa unaugua akili sio bure,bungeni
wabunge wamesema nchi jirani wanaleta chokochoko tanzania hawakusema km ni kenya,uganda au rwanda.Kwahiyo acha upopoma kusema TZ tunaingiliwa na Kenya unatakiwa kusema tunachokozwa sio kuingiliwa
 
ninyi mnachekesha sana,kwa ukubwa gani hiyo Kenya ilokua nayo ilhali ni nchi inayoshindwa ht kujilisha yenyewe inapewa misaada ya chakula na WFP. Hata hayo makampuni walokuja kuwekeza kwetu si ya thamani kubwa km usemavyo na pia mengi sio wakenya halisia,jiulize ww uwnde ukaekeze Kenya utawekeza nini ilhali ht hzo ardhi za uwekezaji hakuna wameshilikia kina uhuruto
Acha kufananisha Kenya na vitu vya kijinga , Mama Dagama alienda kule , takwimu zinasema kuna kampuni Zaid ya 500 kutoka Kenya zimewekeza tz , Ila watz only 50 company , jamaa wapo 200 miles ahead
 
Anyway...tuachane na hzo bla blah ulizosema , unaweza tueleza tuu Jambo moja ambalo tz inaizidi Kenya katika suala la uchumi.
 
Anyway...tuachane na hzo bla blah ulizosema , unaweza tueleza tuu Jambo moja ambalo tz inaizidi Kenya katika suala la uchumi.
hata ukitaka maendeleo kiujumla tutajadili,kiuchumi tulipowazidi Kenya ni ktk utalii kwa mwaka tunaingiza pesa nyingi za utalii kuliko wao,kama nimekosea mtanirekebisha,pili katika sekta ya usafirishaji hususan usafirishaji wa majini,wa nchi kavu na wa reli,fuatilia TRC vizuri.Na electric SGR ikikamilika usafirishaji watu na mizigo kuelekea pembe za nchi na maeneo mengine ya Afrika mashariki km Uganda na Rwanda yataongezeka licha ya kuwa Uganda kwasasa route ya TRC metregauge imefufuliwa na tunawabebea mizigo.Ukija ktk maendeleo ya kijamii usihadaike na hayo maghorofaa yanaomilikiwa na mabepari,nitarudi.
 
Anyway...tuachane na hzo bla blah ulizosema , unaweza tueleza tuu Jambo moja ambalo tz inaizidi Kenya katika suala la uchumi.
1)Tanzania inajitoshekeza kwa chakula na ziada inauzia nchi za jirani ikiwemo Kenya.

2)Watanzania wengi wanapata maji safi na salama

3)Watanzania wengi wanaishi kwenye Nyumba Bora(hakuna slums)

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sisi tumewapiga risasi wananchi wenu,mbona nyinyi hamjafanya retaliation? Tunawajua nyinyi ni waoga,na hata baada ya hapo,tumewahamisha wananchi wetu kwenda Handeni. Mbona mlilialia? Na bado mnalialia? Sisi hatuna mda na huo ujinga.

Tufanye retaliation kisa mnaua watu kwenu, umeskia wapi tukilia au yeyote akijadili mnachokifanya huko, wengi tunasoma tu kwenye online jinsi mwarabu amenunua ardhi huko hivyo imebidi muondoshe hao wamaasai na kuwapeleka pwani.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Huyo senator wa Narok aliokuwa analilia ni media? Au NGO uchwara ni media online? Vp kuhusu Masai fake wa Nairobi waliokuwa wanalialia? Njooni tena,risasi inawahusu mpumbav na hamfanyi lolote.
 
Seneta yupi alikua analia, hebu weka hata clip, maana ni mpaka sasa ni nyie mnalialia na kujaribu kuhusisha Kenya kwenye kasoro zenu huko, naona unatafuta namna ya kuburuza Wakenya kwenye ligi kwa hili lakini umepuuzwa kwa ulivyo mpumbavu.
 
Ni kwamba Kenya ana shobo dundo wakati Tanzania anaendelea na mambo yake, na safari hii kitaeleweka kila sehemu tupo utalii,gesi,madini and so on.
 
Reactions: Oii
Halafu kikubwa unakuta Kenya asilimia chache tuna habari ya haya mambo huku nchi yote ya Tanzania ikilialia na kulalamika na kubweka kuhusu Kenya........huchekesha sana hawa jamaa.
Jombaa, wanabweka bweka kisa Kenya, hadi sauti zao zimeanza kupotea. πŸ˜„ Alafu nikiwaeleza kwamba wakenya wapo busy na masuala yao. Kwamba hawana huo muda wa kuifatilia Tanzania, wanaishia kutupia tweets humu za kujiliwaza.
Jamaa wanadhani eti shughuli zote zingine zimesahaulika Kenya, kama kwao, kisa hivi vibwanga vya Ngorongoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…