Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoa ni moyo sio utajiri. Marekani wanatoa msaada kwa watu wa nchi duniani lakini wako na maskini fukara wanao ishi kwa barabara mitaani yani homeless people.Hivi huko Kenya sheria za "blood donation" zikoje, yaani hata mgonjwa mwenye kusubiri kuwekewa damu anaruhusiwa kuchangia damu " in case of Emergency?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sio kweli kaka, marekani wanacho cha ziada ndio sababu wanatoa, hao homeless wengi ni kutokana na mgawanyo mbaya wa rasilimali na matatizo ya kijamii kama vile madawa ya kulevya, magonjwa ya akili na matatizo ya madeniKutoa ni moyo sio utajiri. Marekani wanatoa msaada kwa watu wa nchi duniani lakini wako na maskini fukara wanao ishi kwa barabara mitaani yani homeless people.
Ilichukua miezi 6 tangu Iddi Amin alipovamia Tanzania na kuikalia ardhi yetu. Kabla risasi ya kwanza toka Tanzania kusikika kama ishara ya kuanza vita rasmiNa kama vipi KDF watie kambi huko, ndio majukumu ya ukubwa au kama ba mkubwa kwenye jamii, hawa magaidi wafuatwe wakiwa bado wanachipuka, isisubiriwe hadi wamekua jeshi kamili maana watazingua, halafu hawa nawaona wana kautofauti fulani ukilinganisha na Mashababi, hawa wanachoma vijiji, jameni hawaeleweki issue yao nini.
Mashababi huwa hawavamii vijiji vyenye wakaazi wake asilimia kubwa waislamu, lakini hawa wanatia kiberiti kila chochote chenye uhai.....wapigwe sana.
Jiwe hawezi akapeleka misaada kule Mozambique, hadi pale ambapo wenyeji wote wa Cabo Delgado watakubali kupigia kura wagombea ubunge wa CCM. [emoji1][emoji1][emoji1]
Kenya imetoa msaada wa vyakula na madawa kwa zaidi ya watu 300,000 Mozambique waliofurushwa kutokana na vita vya kigaidi vya kundi la Ansar al-Sunna.
Anyway kila mtu akichangia watapata usaidizi kwenye janga hili
Sio kweli kaka, marekani wanacho cha ziada ndio sababu wanatoa, hao homeless wengi ni kutokana na mgawanyo mbaya wa rasilimali na matatizo ya kijamii kama vile madawa ya kulevya, magonjwa ya akili na matatizo ya madeni
Ila uchumi wa Marekani unatosha kabisa kuhakikisha kila raia anaishi vizuri kama hayo matatizo yangerekebishwa, ulishasikia hata siku moja Marekani wanapewa msaada toka nchi yoyote kama sio siku za majanga kama kimbunga?.
Kenya uchumi umekufa kabisa, kila kitu ni mpaka kuomba misaada au mikopo, hata Chakula pia lazima wanaomba misaada, hivi hizo nchi zinazojiandaa kuwapa Kenya misaada ya chakula watajisikiaje wakisikia Kenya imetoa misaada ya chakula kwa Msumbiji?.
Kenya hawatumii akili kabisa, wangetoa vitu vingine ambavyo Kenya inazalisha kwa wingi, kama nguo, magodoro, blanckets, dawa na hata vifaa vya kilimo, Chakula wangeacha Tanzania ipeleke.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sisi tulipeleka nchi 3Heri wao wametoa he wewe umepeleka Nini Kama sio kukodolea mimacho wenzako na kuwazodoa
For sure, no doubtInaimarisha usiano kati ya Kenya na Msumbiji