Sinister
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 1,531
- 1,577
Wakati Dar watu wanaomba msaada kutokana na mafuriko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo ambalo tz hatuna Ni kukurupuka.mtaingilia bifu bila kufanya research,mwisho wa siku Ni hatar.Tunatumia muda kufanya maamuzi,ila tukilianzisha haturudi nyumaNa kama vipi KDF watie kambi huko, ndio majukumu ya ukubwa au kama ba mkubwa kwenye jamii, hawa magaidi wafuatwe wakiwa bado wanachipuka, isisubiriwe hadi wamekua jeshi kamili maana watazingua, halafu hawa nawaona wana kautofauti fulani ukilinganisha na Mashababi, hawa wanachoma vijiji, jameni hawaeleweki issue yao nini.
Mashababi huwa hawavamii vijiji vyenye wakaazi wake asilimia kubwa waislamu, lakini hawa wanatia kiberiti kila chochote chenye uhai.....wapigwe sana.
Jambo ambalo tz hatuna Ni kukurupuka.mtaingilia bifu bila kufanya research,mwisho wa siku Ni hatar.Tunatumia muda kufanya maamuzi,ila tukilianzisha haturudi nyuma
Jambo ambalo tz hatuna Ni kukurupuka.mtaingilia bifu bila kufanya research,mwisho wa siku Ni hatar.Tunatumia muda kufanya maamuzi,ila tukilianzisha haturudi nyuma
Ebu ntumie hiyo video.sio uoga mihemko hatuna ,habar nyingine sio za ukweli.thus why tuna ignore tu .Na tukipata uhakika tunalishughulikia . JWTZ wapo kusini huko na hamna kwele.na kijiografia kila mkoa tuna kambi zaidi ya moja za kijeshiHuo uwoga na uzembe wenu ndio vinaponza wanavijiji wenu, niliona video wanavyoteswa nikahuzunika sana.
Ebu ntumie hiyo video.sio uoga mihemko hatuna ,habar nyingine sio za ukweli.thus why tuna ignore tu .Na tukipata uhakika tunalishughulikia . JWTZ wapo kusini huko na hamna kwele.na kijiografia kila mkoa tuna kambi zaidi ya moja za kijeshi