Kenya inaanza kutoa msaada kwa Mozambique baada ya watu 300,000 kuyahama makazi yako kufuatia mashambulio ya kigaidi

Na kama vipi KDF watie kambi huko, ndio majukumu ya ukubwa au kama ba mkubwa kwenye jamii, hawa magaidi wafuatwe wakiwa bado wanachipuka, isisubiriwe hadi wamekua jeshi kamili maana watazingua, halafu hawa nawaona wana kautofauti fulani ukilinganisha na Mashababi, hawa wanachoma vijiji, jameni hawaeleweki issue yao nini.

Mashababi huwa hawavamii vijiji vyenye wakaazi wake asilimia kubwa waislamu, lakini hawa wanatia kiberiti kila chochote chenye uhai.....wapigwe sana.
Jambo ambalo tz hatuna Ni kukurupuka.mtaingilia bifu bila kufanya research,mwisho wa siku Ni hatar.Tunatumia muda kufanya maamuzi,ila tukilianzisha haturudi nyuma
 
Huo uwoga na uzembe wenu ndio vinaponza wanavijiji wenu, niliona video wanavyoteswa nikahuzunika sana.
 
Ebu ntumie hiyo video.sio uoga mihemko hatuna ,habar nyingine sio za ukweli.thus why tuna ignore tu .Na tukipata uhakika tunalishughulikia . JWTZ wapo kusini huko na hamna kwele.na kijiografia kila mkoa tuna kambi zaidi ya moja za kijeshi
 
Mshana Jr mtumie huyu zile video na mapicha ya kuogofya, amekaa anasubiri kuziona ndio akubali umuhimu wa kuwalinda hao Watz wanaochinjwa huko Kusini.
 
Back
Top Bottom