Kenya inaelekea pabaya...

Kenya inaelekea pabaya...

Abitchaz, I will not hesitate @ the moment to hold and restrict my thoughts on ICC. Again I am not against the process but the problem is I have not seen any key prosecutors arrest any "Bigfish". When I see any Key Bigfish impounded irrespective of continent of origin, then I will applaude the process as workable. And as I said earlier I am not for leaders who use their offices to inflict systemic extermination on innocent pple.

Let us use the word superiority instead of political clout and there seems to be external pressure from ICC with its affiliated legal pressure groups worldwide to try to seek past cases from the Kenyan justice system understandably! The Kenyan justice system soverignty and freedom are being put to the test here and I do not see anything wrong with it.

When an arrest warrant was issued on Bashir while on tour in Kenya's constitutional promulgation, the ICC had all the mandate to capture him and why was all the responsibility given to kenya to arrest him given the nature of what had happened in 2007/08. Bashir has been to many contries since then, & why weren't others given the mandate to try to arrest him. That is why I said They seem to be a toothless dog like someone has just clearly stated this may be mordern slavery on the baby steps of a nation.

Mzalendo452,

mkuu when addressing this issue Im interested to know if you are looking at the ICC from the
context of Kenya or in totality? Hili swala la 'they have not arrested any bigfish' sikuelewi. We know
the 'guests' who have an abode over there. Some of them have even died there like kina Milosovich.
So enlighten me where you are coming from with that notion so that I dont get you wrong.

In regards to this notion.... there seems to be external pressure from ICC... where is the data to
support this claim? When you use such words like "it seems" in a sentence, then those become your
opinions and they are normally taken with a grain of salt. Remember we are separating the chaff from
wheat.

In the last paragraph you bring up the issue of bashir which is crucial when looking at this issue in its
totality. Kenya is a signatory of the Rome Statute that established the ICC so the onus fell on the
KE govt to arrest Bashir and hand him over to the ICC...but guess what?Kibaki thumbed his nose at the
international community and Kenyans at large by inviting an international fugitive as a guest of the
State. So why you wanna frag the fellows at the Hague into this yet its the member states who are
signatories of the Statute, who should arrest these fugitives. ICC has no standing army nor police to
be running around the world arresting people. They rely on governments and things like the interpol.
So what Kibaki is showing us ni kwamba he will use his impunity to achieve his selfish ends even if it
means a daliance with 'wanted fugitives'....na mta do?

A couple days ago there was a discussion on BBC titled: ICC: Is Africa on Trial....staged in Kenya with
most contributors being from KE. Very interesting discussion from the folks in attendance!.. Ukipata
nafasi you can listen in the following links:

BBC - Media Centre - BBC Africa Debate

BBCSwahili.com (Swahili)

This is an interesting set of facts I want you to digest:

Ivory Coast was not a signatory of the ICC but in 2003 Gbagbo (as President)accepted the jurisdiction
of the courts over Ivory Coast. Then in 2010 while still Preso he confirmed his country's
commitmment to working with the court. Then what happened next? Outtara comes into power
and ships him straight to the Hague...talk about impaling yourself with your own sword!

Ab-Titchaz.
 
would jf last a week bila getting negative towards Kenya? Its true we got issues some grave but i have never seen Kenyans getting bothered with Tanzanian politics like what is shown here. ICC is not the best route but its happening, infact Kenyans need them to ensure politicians dont loose their minds again. Having said that can we get to wealth creation or meaningful discussion. Double edged sword it is, it ensures peace and security but with also the modern slavery face. Baby steps of a nation.

Siyo kweli mkuu, kwani sisi Watanzania tuna shida gani na nyiyi - sisi kitu ambacho hatutaki ni jeuri zenu za kujiona nyinyi zaidi - mnaishi kwenye "DREAM LAND" tu, unaweza kueleza Watanzania ni Wakenya wangapi wa kawaida wanaishi maisha mazuri? Arable Land yote inamilikiwa na kikundi kidogo tu, Raisi wenu wa kwanza alipotoka kifungoni Kapengulia kawasahau wapigania uhuru wenzake (Mau Mau) waliopigana physically na wazungu kwani yeye aliwahi kushika bunduki? kaishia ku-grab Arable land na kuwa mfano mbaya kwa viongozi wanzake nao wakamhiga wakafanya mambo hayo hayo ( MAN EAT MAN syndrome), hawakujali kuwagawia raia aridhi, wemeshindwa na Robert Mugabe - Wakenya mnapata wapi ubavu wakutupa somo sisi Watanzania?

Kuhusu Watanzania kuwa-concern na rulings za ICC-you bet lazima tuwe-concern, machafuko yaliyo tokea huko kwenu yangeweza
kabisa kutuletea majanga huku kwetu (wakimbizi). Hebu twabie kama si busara za Raisi wetu mpendwa J.M.Kikwete sasa hizi kenya ingekuwa hali gani si mgekuwa mmemalizana - sasa ujuwaji wenu mbona ulishindwa kumaliza tofauti zenu, don't under rate umuhimu wa Tanzania kwenu.

Nakuhakikishia majority ya Wakenya wana-wallow in abject poverty, in a land of the so called PRENTY-my foot! Nenda ka angalie Mathale valley, mtu uwezi kuamini kwamba nchi hiyo inawajali raia wake kwa dhati, Tanzania pamoja na umaskini wetu hakuna mwananchi anaye ishi kwenye CARDBOARD BOX na kuweka kibao kilicho andikwa "MTU KALI" ili kuwatisha wezi wasimdhulu. I don't evy Kenyans one bit, nisichotaka ni attitude zao za kijinga.

Kazi yenu ni fitina tu na kushikiza nchi nyingine za Africa Mashariki zikubali a fast track to federation, lakini hidden agenda yenu nikutaka kuchukuwa aridhi TANZANIA mnafikili sisi hatujuhi mbinu zenu. Sio hilo tu mlifikia point ya kushinikiza International Community wachome moto Pembe zetu za ndovu zilizo kamatwa Vietnam mali ya Tanzania, kwa nini amukuachia Tanzania ika-decide jinsi ya ku-deal na issue hiyo- kama ni kuzihuza au kuzihunguza! Juzi juzi hapa mmefanya campaign ya hali ya juu eti tusijenge barabara ya lami kwenye hifadhi ya Ngorongoro, mnayesema hayo huku kwenu kwenye mbuga ya Masai Mara kuna barabara za lami-akili zunu vipi?-WIVU TU! Mimi ningeiomba Serikali yetu tukufu ifanye kama Kambarage alivyo wahi kufanya, tufunge mipaka ya kwenda na kurudi kutoka Kenya hili wajuwe umuhimu wa Tanzania kwao, wakijitia ujuwaji zaidi tu-target wakati wanyama wote wako Tanzania tuweke fence wasiende Kenya alafu tuone kama kutakuwepo the so-called MASAI MARA. Msitumie ukalimu wetu na kuwa wapole mkafikili Watanzania ni wajinga - you will be sorry! Labda nikupe mfano wa umahili wa Watanzaia ku-deal summarily na watu wanaojitia ujuwaji, kuna wakati fulani baadhi ya Wakenya wajitia kutuletea mambo ya kimungiki nchini, wakaanza kuvamia mabenki yetu na kuwajeruhi watu wasiyokuwa na hatia wakatamba wakafikili jeshi letu na intelligency Agency yetu imelala usingizi - nini kilicho kuja kutokea baadae, jeshi letu likafanya upelezi wa hali ya juu, wakawawekea mtego mungiki hawa wakaingia kichwa kichwa-group nzima ikafyekelewa mbali, nadhani kutokana na hilo Wakenya watakuwa wamejifunza KITU.

Haya mambo ya kusema hapiti wiki eti bila wana JF kuzungumza mambo -ve kuhusu Kenya, why pick on Kenyans - one may ask? Jibu ni simple, mbadilishe attitude zenu kuhusu Tanzania hakuna binadamu anaye penda kudhalauliwa/kudhalilishwa na muachane na kampeini zenu za kueneza uongo kuhusu Tanzania na watu wake; tufanya ushindani wa kibihashara unaokubalika lakini siyo kufanyiana hujuma na kuaribiana sifa. Mbona atuzumgumzii nchi nyingine za Africa mashariki, mtu ungetegemea nchi kama Uganda labda ndiyo ingekuwa inaisema vibaya TANZANIA kwa kuwa tuliwahi kuigia nao vitani, Waganda wako shwari kabisa hawana labsha na Watanzania, Africa mashariki nzima baadhi ya Wakenye ni kero sana. Behave yourselves no one will say a thing againist YOU,

Baada ya kusema haya nadhani ni Wakenya wachache watanikaribisa kwenye siku kuu ya EASTER. Regards.
 
Mr Bukyanagandi,
your thread is full of emotions, i have mentioned Kenya doesnt mind what Tanzanians do, politically or otherwise...btw props for knowing so much about Kenya, my point is....you are bothering too much on a nation that really doesnt mind whats happening south. Not one time youl see a kenyan sayn Tz is heading to the dogs....''feel me?''. When you discover resources rare an event youl see a Kenyan saying badmouthing and so forth. If Kenya makes the same discovery, it goes bila sayn our brothers south will start sayn all sorts of negatives, poison EAC and mob stuff coz personal dissatisfactions. Anyway, pacify your anger then post..am so cool with whatever you discuss as long as it represents no legal opinion. follow your commander Ab Tichaz character of posting with a reason and not emotions. Have a good day.
 
Kwanza nimevutiwa na post yako maana kuna points controversial hapa. Kwanza hata ukiweka ua kwenye Masaai mara, utakuwa unua ecosystem wenyewe. Wakati wanadamu walipoanza kujenga makao yao Afrika, walikuta a thriving wildlife ecosystem. Sasa mwanadamu ana akili bandia ya kufanya vitu "kichwa kichwa" bila kuzingatia athari za baadaye. Ni sawa na mjinga kukata miti huku akitarajia mvua inyeshe. Sasa niseme ninyi mutafananishwa na buffalo soldiers wale wa Marekani karne ya 17th waliuwa ecosystem kuendeleza makao zao. Kuanza tanzania ilikuwa ina bluprints za kujenga a Higway not a road. conservationists watkuambia madhara yake pamoja na kuongezeka kwa watu na mijengo huku ikididimiza wildlife ecosystem.

Hatuwezi kama wanadamu kudidmiza au kuaribu wildlife migratory patterns kwa kutimiza fikra za kibinafsi. Hapo Maasai mara kuna road not a highway na iko mbali sana na kiwanja cha mara. Kando ya hiyo barabara hamna makao za watu, hivi kupunguza wildife-human conflict. Kuhusu attitude of kenyans, nimechoshwa na hii kulalama, aitha u mchanga kimawazo, I expect muwe mume rise above such kulalama. Tanzania ina mengi ya kuonyesha iwe ni katika sekta technologia, bongo la kiufundi na biashara.

kuhusu Ufukara kenya. Kuna msemo wa kiafrika unaosema ni vigumu kuuficha umaskini. Sasa kama waafrika tukianza kunyosheana vidole juu ya umaskini, inaonyesha kuna mengi hamjifunzi na either your media outlets are skewed or your education sytem is junk. Vitongoji duni ni vingi hata hapo Tanzani mfano kama manzese. Nyumba iwe imetengenezwa kwa udongo au kijicarton bado ni umaskini. Hivyo, a kettle cannot call the pot black.

Wakenya wanakuwa admired kote ulimwenguni sana sana katika safu za sporti na ninaelewa usemi wako kuwa wakenya ni kero kote ni kwa sababu tanzania bado iko katika giza, si ya umaskini, bali kimataifa katika sekta nyingi. Lazima murize above Kilimanjaro and other "Guiness book" identities. post yako hii inajaribu kuisolate wakenya kwa njia ya kipuzi. Waganda si tunao hapa kenya tunaisha nao au tungalikuwa wabaya si wangalitafuta pahali pengine?! Tuwache propaganda!!!
 
Mafikira duni.hayo maoni ni yako binafsi wala sisi watz twaipenda kenya milele.
 
Mkuu I am not being emotional nakueleza ukweli, kwani ni kitu gani nimeleza humu ambacho hakina ukweli? mimi siyo copy cat kumuhiga Ab Tichaz kila mtu kaumbwa kivyake. Narudia kusema kwamba behaviour zenu ni kero sana - kwa kusoma between the lines haya unayo jibu humu mtu unapata jibu kamili kwamba ni mtu wa majivuno, you don't need to be a rocket scientist kujuwa jinsi mnavyo wachukulia Watanzania; hapa unajifanya kuzungumza kidi-plomasia hili watu wafikili huko very composed lakini tukifungua under the HOOD tunaona mambo mengine tofauti kabisa. Kwa mfano hapa anasema eti "Not one time youl see a kenyan sayn Tz is heading to the dogs" haya ndiyo mnayafanya kwa vitendo kila siku badala kutumia maneno; actions speaks VOLUMES na atually ulicho andika hapo ni opposite kabisa unacho kusudia ni kutwambia nchi yetu is heading to the dogs - haya ni mambo ya saikolojia ndugu yangu you can't fool anybody.

Kuna mambo mengine nilikuwa sitaki kuyazungumza humu lakini ngoja nikueleze - kuna wakati fulani niliwahi kusafiri kwa ndege kwenda Kenya tuliwasilia kwenye saa nne hivi asubuhi Kenyatta Airport, kwa kuwa tulikuwa na tiketi za British Airways walifanya mpango wa kutokodishia vyumba Hoteli ya Serena Nairobi ilitupumzike mpaka saa tano kasoro usiku tuwahi ndege ya British Airways aliyokuwa inatoka South Africa usiku kwenda Ulaya. Sasa nini kilitokea baada ya kufika hotelini-pale tu kwenye reception waka anza kututolea maneno ya kejeli eti mnasemaje nyinyi watu wa "MAN EAT NOTHING!!" kabla atujakaa vizuri kapita afisa fulani na kunihojI eti "vipi natoka KIGAMBONI" nilishangaa kimoyo moyo kuhusu swali hilo, nikajiuliza hapa Nairobi mambo ya Kigamboni wapi na wapi, nadhani huyo afisa aliona body language yangu akung'amua kwamba sikumuelewa, alicheka kidogo na kusema "kwani Kigamboni si dio kuna Chuo cha kufundisha mambo ya siasa za ki-ujamaa!" alipo sema hivyo nikapashwa kufikilia fasta, niakona niko nchi za watu nikijibizana na watu hawa mtu huwezi kujuwa wanaweza kukubambikizia kitu gani; nikahamua kukaa kimya-which means walikuwa wanatufatilia kutoka Airport hili watudhalilishe walikuwa highly organised, wakanisubili tena wakati natoka Hotelini wakaniuliza hivi huko chumbani kwenye friji umekunywa nini, nikawambia sijanywa chochote, wakasema hata kama umekunywa maji unalipia maanake yale maji ni mineral water siyo ya bure kama ya huko kwenu Tanzania, nikwambia nani kwambia nimekunywa mineral water. Siyo kwamba walikuwa wanasema mambo haya kwa bahati mbaya ilikuwa a well calcuted mbinu za kutaka kutudhalilisha and for what reason? God knows!

Funga kazi ilikuwa pale Airport wakati tunawapa watu wa immigration passport zetu, wenzangu walipigiwa mihuri fasta lakini ya kwangu afisa akaig'ang'ania bila ya kusema kitu! nikamjia juu kwa sauti kubwa nikilalamika kwa nini anag'ang'ania passport yangu; unajua alicho nijibu? Kasema kwani mimi Mtanzania mbona nafanana Wasomali nikamwabia asiniletee upuuzi mbona Bunge lenu kuna Wazungu,Wasomali,Wahindi na Waarabu kwani hao si Wakenya-wewe unaona ajabu gani mimi kuwa Mtanzania?

Nina mambo mengine mengi ya kueleza kuhusu baadhi ya attitude mbaya za jirani zetu hawa, nataka nieleweke kwamba si wote wenye tabia hizi na wala sina nia mbaya ya kuwasema ninacho taka mimi wajaribu kubadirisha TABIA na kuwaheshimu majirani zao kwamba wana akili titamu ya kujiamulia mambo yao na siyo kuwabeza kwa kejeri, nimewahi kusoma humu Mkenya anasema eti "tuwaite Wakenya waendeshe TAZARA!"
 
Mkuu haya mambo nya kusema kuweka fence kuwazuia wanyama nilikuwa nawashtuwa tu usifikili sijuhi mambo ya wildlife ecosystem. Kusema ukweli hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza ku-advocate kitu kama hicho, nilichokuwa namaanisha ni kwamba nchi hizi zinategemeana hakuna ambayo hiko juu ya nyingine. Alafu nimesema majority ya watu wa Kenya hawana tatizo na Watanzania, tatizo liko confined kwenye kikundi kidogo tu, mimi sina haja ya kuleta propaganda hapa ninacho fanya ni kutetea nchi yangu, kufatia mambo yanayo fanywa na jirani zetu ambayo hayapendezi kusema ukweli.

Bila ya kuheshimiana hakuna kitakacho tuhunganisha, nimeyasema haya kufatia mambo ambayo nimewahi kushudia kwa macho yangu na wala siyo kuadithiwa.

Kitu kingine muache kuhadaa watu kwamba Dunia ina-admire kila kitu Kenyan, katika sports kweli lakini si mambo mengine, nitatoa mfano: Niliwahi kusoma na Wakenya huko Ulaya nilishuhudia kwa macho yangu Wakareijin hawapatani na Wakikuyu walikuwa hawasalimiani kabisa na kila mmoja alikuwa anafikili mwezake anampeleleza, kidogo niliona Wajaruo wanashirikiana na Wakareinjini (sijuhi kama nimepatia spelling), sasa kama amuwezi kuonyesha mfano mzuri katika nchi za watu je huko kwenu mkoje, je majirani zenu mnawachukuliaje - haya ni mambo ya kisaikolojia.

Halafu mimi sijasema huku kwetu hakuna umaskini-hupo sana lakini siyo wa kukithili na katika hilo siwacheki Wakenya, vile vile mtu huwezi kulinganisha umaskini wa Mathale Valley na MANZASE, tofauti yake ni kama mbingu na Dunia na inavyo onyesha mwezangu umewahi kuja DSM kwa hiyo ninacho zungumza humu si kigeni kwako.

Labda nisema kwamba hapa JF tunachofanya nikuwekana sawa na kubadirishana mawazo kwa ajili ya usitawi wa nchi zetu hizi za Africa Mashariki, tusipo hacha mambo ya nchi nyingine kutaka kuwazidi kete nchi nyingine, hakuna litakalo fanyika mambo ya federation tutakuwa tunayasikia kwenye RADIO TU-in otherwords hakuna kitakacho fanyika; mipango yote itabaki kwenye makaratasi TU, hakuna nchi ambayo inataka kuwa-bulldozed to federation and what have you, heshima kwanza vingine vitajipa TU.

Mwisho labda niseme namshukuru Mr.Mzalendo kidogo huyu anaonekan given a chance anaweza kuifanyia nchi yake mambo mengi kwa ku-put across mawazo yake kwa kuheshimu binadamu wenzake, now take a look at Mr. LIVEFIRE-what a stark contrast na mwezake! Type ya wakina LIVEFIRE ndiyo nawazungumzia humu.
 
mkuu nimejaribu sana kutochangia mada inayohusu taifa langu, haswa kwa hoja zako potofu, kwa maneno takriban mia tano umeeleza jinsi mkuu wa usalama nchini alikuhujumu kwa dharau. Kila nchi ina wazimu wake na basi Tz si tofauti.
Am not tryn to be diplomatic, i hold no interests in JF or tanzania as a representative of my country. However your undoings dont deserve to be avenged on the Kenyan citizenry. If one of the many Kenyans in here made a mockery of TAZARA it must have been in an exchange of words. I hold your school of thought to be flimsy, and that doesnt mean am superior in any way. When you say Kenyans thrive in condescending discussions have your tried to evaluate the source of this hate? For instance look at this title,look at the previous content; Kenya discovers oil,Coal confirmed in Kenya. A single inciting post, 'in this case here' several have been leveled against my motherland. Have you asked yourself were it not for Tz badmouthing on Kenya no exchange whatsover to the negative would have thrived in the above discussion. When i was a novice in this forum i tried my level best to be non partisan but the level of hate by you guys prompted a negative energy. Am not in the mood for a fight over whose bigger and stuff but its evident. I dont need to speak volumes here, not a worthy topic.
 
Mkuu mbona unielewi, nimesema hakuna Mtanzania yeyote anaye wachukia Wakenya; kinacho chukiza ni baadhi yao kuwachukulia Watanzania for a ride that is the crux of MATTER, usitake kupindisha mambo hapa, msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi ni mtu wa kwanza ambaye napenda sana kushirikiana na Wakenya wa kawaida katika mambo mengi majawapo yakiwa ni haya mambo ya ICT ambao katika Africa wako mahili sana katika fani hii.

Sijuhi kama nimekuelewa vizuri unaposema eti "ku-INCITE" una maana gani? hivi unajua Tanzania ilivumbua Natural Gas kwenye mwishoni mwa miaka ya sabini, Mkaa wa mawe kwenye miaka ya themanini, tumegunduwa Uranium, titanium, dhahabu, almasi, hata mafuta siyo kwamba hayapo-wanacho taka kujua ni je yapo yanayoweza kuwa exploited commercially basi, atuendi tukitangazia dunia kwamba tumevumbuwa mafuta wakati hatuna hakika na wingi wa mafuta yenyewe - sasa kama TANZANIA ina such vast natural resources kweli inaingia akilini wewe unaposema kwamba sijuhi tunaionea sijuhi Kenya gere, nani anaweza kuzichukulia seriously allegations zako!

Wewe sasa hivi ndiyo unanifungua macho na wana JF kwamba kumbe yule mtu aliyekuwa ananifuata fuata na kunihuliza maswali ya kejeri na kudhihaki Nchi yangu TANZANIA kumbe alikuwa ni mkuu wa USALAMA, wewe unajuwaje kwamba alikuwa mkuu wa usalama kama wewe you are not part of the SYSTEM na actually majibu jibu yako yanadhihilisha hilo wewe hujui tu, majibu jibu yako - yako tofauti kabisa na Wakenya wenzako - Labda nikuhulize swali huyo mkuu wa usalama mimi mtu mdogo tu alikuwa ananifuatia fuatia nini?

Majibu jibu yako katika forum hii nilishajua wewe huko kwenye kundi gani, eti "is non partisan" anayasema hayo wakati anaonyesha wazi kisaikolojia kwamba is a PARTISAN to CORE hatudanganyiki ndugu yangu.
 
mkuu, hukufunzwa kufupisha ujumbe? Maneno mengi na hoja ni mbili tu. Kwanza ww ni mcha Mungu pili i am partisan. Btw i dont deny the latter to bits. if i have ever posted anything to the contrary about Tz here is your chance else i rest my case. Be brief!
 
dude by your silence i presume you are writting a novel, i have nothing against Tz n let it sink to you. i loved Kalabash's quote. Twas sth like 'You are very witty and difficult to corner'. I cover my tracks pretty well. whenever a good discovery in Tanzanian is made i congratulate them, if i am on the offensive like many other Kenyans in here its because someone chooses to derail a positive thread on Kenya...'didnt know so many Tz read my posts'...pls dont give me undue popularity now. Nairobbery told you unafikira duni, mzalendo decided to get to your case but seems you cleverly circumvented him. am waiting for the posts....sijui umetumwa nini?
 
mkuu, hukufunzwa kufupisha ujumbe? Maneno mengi na hoja ni mbili tu. Kwanza ww ni mcha Mungu pili i am partisan. Btw i dont deny the latter to bits. if i have ever posted anything to the contrary about Tz here is your chance else i rest my case. Be brief!

If you think you are MEGASMART UPSTAIRS (which I doubt) husingeshindwa kusuluhisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe- bila Busara za Raisi wetu mpendwa Mh. J.M.Kikwete dunia ingeshuhudia a second Holocaust nchini mwenu; too arrogant, you have a nerve of calling people Dudeheads-forgeting that actually your unfortunate comments are a spitting image of your goodself -dude! Watu wenye akili zao wanazungumzia ustawi wa East Africa kwa kuondoa our differences kwa kuheshimiana - wewe huko busy na taarabu za Shakespeare.
 
Mkuu haya mambo nya kusema kuweka fence kuwazuia wanyama nilikuwa nawashtuwa tu usifikili sijuhi mambo ya wildlife ecosystem. Kusema ukweli hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza ku-advocate kitu kama hicho, nilichokuwa namaanisha ni kwamba nchi hizi zinategemeana hakuna ambayo hiko juu ya nyingine. Alafu nimesema majority ya watu wa Kenya hawana tatizo na Watanzania, tatizo liko confined kwenye kikundi kidogo tu, mimi sina haja ya kuleta propaganda hapa ninacho fanya ni kutetea nchi yangu, kufatia mambo yanayo fanywa na jirani zetu ambayo hayapendezi kusema ukweli.

Bila ya kuheshimiana hakuna kitakacho tuhunganisha, nimeyasema haya kufatia mambo ambayo nimewahi kushudia kwa macho yangu na wala siyo kuadithiwa.

Kitu kingine muache kuhadaa watu kwamba Dunia ina-admire kila kitu Kenyan, katika sports kweli lakini si mambo mengine, nitatoa mfano: Niliwahi kusoma na Wakenya huko Ulaya nilishuhudia kwa macho yangu Wakareijin hawapatani na Wakikuyu walikuwa hawasalimiani kabisa na kila mmoja alikuwa anafikili mwezake anampeleleza, kidogo niliona Wajaruo wanashirikiana na Wakareinjini (sijuhi kama nimepatia spelling), sasa kama amuwezi kuonyesha mfano mzuri katika nchi za watu je huko kwenu mkoje, je majirani zenu mnawachukuliaje - haya ni mambo ya kisaikolojia.

Halafu mimi sijasema huku kwetu hakuna umaskini-hupo sana lakini siyo wa kukithili na katika hilo siwacheki Wakenya, vile vile mtu huwezi kulinganisha umaskini wa Mathale Valley na MANZASE, tofauti yake ni kama mbingu na Dunia na inavyo onyesha mwezangu umewahi kuja DSM kwa hiyo ninacho zungumza humu si kigeni kwako.

Labda nisema kwamba hapa JF tunachofanya nikuwekana sawa na kubadirishana mawazo kwa ajili ya usitawi wa nchi zetu hizi za Africa Mashariki, tusipo hacha mambo ya nchi nyingine kutaka kuwazidi kete nchi nyingine, hakuna litakalo fanyika mambo ya federation tutakuwa tunayasikia kwenye RADIO TU-in otherwords hakuna kitakacho fanyika; mipango yote itabaki kwenye makaratasi TU, hakuna nchi ambayo inataka kuwa-bulldozed to federation and what have you, heshima kwanza vingine vitajipa TU.

Mwisho labda niseme namshukuru Mr.Mzalendo kidogo huyu anaonekan given a chance anaweza kuifanyia nchi yake mambo mengi kwa ku-put across mawazo yake kwa kuheshimu binadamu wenzake, now take a look at Mr. LIVEFIRE-what a stark contrast na mwezake! Type ya wakina LIVEFIRE ndiyo nawazungumzia humu.

Ndio @Bukyanagandi,

nikushukuru kwa hoja uliyoitoa kuhusu mawazo yangu na kama tujuavyo kila moja wetu ana haki ya kuwa na wazo lake huru. Sasa wengi hapa wakenya tunapozungumza hapa, hatuna nia ya kutoheshimu wana JF, ila tu pengine tunaeza kuwa na mawazo tofauti na wanaJF, hivi kuibua mapingano makali ambayo ni vizuri kwa maana tusipotofautiana kimawazo, haitaleta fikra kamili. Hizi tofauti ndio wakati mwingine huchangia kwa mbwembwe na mvutano. Mtu atakuwa na mawazo yake based on their perception and their disposition in life. Sawa kama Livefire namfahamu na post zake nyingi ziko moderated sio kama wana JF ambao nimebahatika kukumbana nao hapa.

Huku kenya tuko na amani na tunaishi vizuri na majirani isipokuwa makundi mengine zilizobuniwa na wanasiasa wanaoleta kero na bugudha. Pia, hatuwezi kama wakenya kulazimisha mawazo yetu kwenu (that one is guaranteed) kwasababu kila mmoja ana mipango yake maalum kuhusu ustawi wa nchi. Kwa hivyo, I admire a Healthy and contrasting debates. Kwa kweli kenya ina sifaa chungu nzima, na hatudanganyi, na sijui nianzie wapi, nitapata nafasi nikusimulie.

Sijawahi kuzuru DSM lakini kuna picha nimeona hapa jamvini za vitongoji duni hapa JF. Sasa, ndugu hatuwezi anza kuweka classes katika umaskini wacha tuseme mwenyezi mungu ametupa kila mmoja wetu nguvu tofauti. Sasa hata kibera, mathari valley na dandora, yote ni kumbukumbu kwetu kutukumbusha tulikotoka.
 
If you think you are MEGASMART UPSTAIRS (which I doubt) husingeshindwa kusuluhisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe- bila Busara za Raisi wetu mpendwa Mh. J.M.Kikwete dunia ingeshuhudia a second Holocaust nchini mwenu; too arrogant, you have a nerve of calling people Dudeheads-forgeting that actually you are unfortunate comment are a spitting image of your goodself -dude! Watu wenye akili zao wanazungumzia ustawi wa East Africa kwa kuondoa our differences kwa kuheshimiana - wewe huko busy na taarabu za Shakespeare.

funny dude you are and melodramatic in as many few words. I advocate for EAC, check my postings. if you got nothing to accuse me hush up. Btw your president did Kenya a favour, not a debt...ok? I am glad he came and as many in here i want EAC to flourish. You can use swahili if English is an issue. Mkuu respect is both ways, dont command it, earn it n as far as am concerned theres a great gap in your comprehension anyway. You know youve been lamenting all while while am trying my level best to ignore u but everytime u keep pulling me in. Shame!!!
 
Ndio @Bukyanagandi,

nikushukuru kwa hoja uliyoitoa kuhusu mawazo yangu na kama tujuavyo kila moja wetu ana haki ya kuwa na wazo lake huru. Sasa wengi hapa wakenya tunapozungumza hapa, hatuna nia ya kutoheshimu wana JF, ila tu pengine tunaeza kuwa na mawazo tofauti na wanaJF, hivi kuibua mapingano makali ambayo ni vizuri kwa maana tusipotofautiana kimawazo, haitaleta fikra kamili. Hizi tofauti ndio wakati mwingine huchangia kwa mbwembwe na mvutano. Mtu atakuwa na mawazo yake based on their perception and their disposition in life. Sawa kama Livefire namfahamu na post zake nyingi ziko moderated sio kama wana JF ambao nimebahatika kukumbana nao hapa.

Huku kenya tuko na amani na tunaishi vizuri na majirani isipokuwa makundi mengine zilizobuniwa na wanasiasa wanaoleta kero na bugudha. Pia, hatuwezi kama wakenya kulazimisha mawazo yetu kwenu (that one is guaranteed) kwasababu kila mmoja ana mipango yake maalum kuhusu ustawi wa nchi. Kwa hivyo, I admire a Healthy and contrasting debates. Kwa kweli kenya ina sifaa chungu nzima, na hatudanganyi, na sijui nianzie wapi, nitapata nafasi nikusimulie.

Sijawahi kuzuru DSM lakini kuna picha nimeona hapa jamvini za vitongoji duni hapa JF. Sasa, ndugu hatuwezi anza kuweka classes katika umaskini wacha tuseme mwenyezi mungu ametupa kila mmoja wetu nguvu tofauti. Sasa hata kibera, mathari valley na dandora, yote ni kumbukumbu kwetu kutukumbusha tulikotoka.

thanx mzalendo, well said.
 
Kile kitamfanya Raila Odinga awe rais wa Kenya,,baada ya uchanguzi
ujao,,niyeye mwenyewe,,niyapi ambayo amewafanyia wakenya
tangu awe PM wa Kenya, almost five years ago.

Only the people of Kenya to decide who will be the next president
of this country,,all of them,,not one tribe,,not Ocampo nor the
British,,but the people of the republic of Kenya.

Hakuna popote kubaya Kenya inapo elekea,,Kule Kenya imetoka
ni kubaya zaidi na mafunzo mengi watu wakajifunza.

Kujaribu kulinganisha wakati wa 2007 na hivi sasa,,
nikujaribu kuona karibu na sikuenda hadi katika kiini
cha ambacho kilichosababisha PEV ya 2007.

Adui wakati huo,,kwa wana siasa wengi wa opposition,,
alikua Mwai Kibaki ambaye hata simama tena na
kupigania urais wa Kenya.

Sasa mambo yamebadilika na adui ya wanasiasa
wengi nchini Kenya ni Raila Odinga,mwenyew.

Makabila ambao walikua hasa wakipigana,,
wa Kikuyu na wa Kalenjin,,wakati baadaa
ya uchanguzi wa 2007,,wako pamoja sasa
kisiasa.

Kenya iko na katiba ambayo ni the main driver
na hata hivi juzi ambapo PM Raila alipojaribu
kukosoa korti,,alijikuta matatani na kulaumu
kiswahili chake.

So the lack of rule of law is what caused
the chaos of 2007.
 
Back
Top Bottom