Kenya inaunda pilot boats tatu na nchi iliyoagiza ni Tanzania

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
download.jpeg
images.jpeg

Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.

Sio mara ya kwanza nyinyi kuagiza tuwajengee hizi water vessels . Pia mliwahi kuagiza tuwajengee barge mbili zinazoitwa "hapa kazi tu."

Quote Reply
Report

Hapa Kazi Tu 01​

TPA Barge
The first of the two cargo barges ordered by the Tanzania Ports Authority (TPA) has been launched at our shipyard in Mombasa.
Hapa Kazi Tu 01, classed by Bureau Veritas, is 77.98 m long with a 11.83 m beam and will operate from the port of Tanga in Tanzania.

Kuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
View attachment 1763109View attachment 1763110

Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.

Ndugu yako na tena jirani yako akikutuma mtumikie. Hizo fursa ndizo zinazojenga ujirani mwema, waswahili wanasema ndugu wakigombana shika jembe ukalime na wakipatana chukua kapu ukavune. We are all brothers and sisters ndugu, don't be deceived by the boundaries made by white people.
 
Nyerere aliwahi kusema inabidi kutumia rasirimali zetu kwa kadri inavyowezrkana, akasisitiza kinachopatikana Afrika mashariki au Afrika kitumie kutosheleza mahitaji ya ndani. Iwe ni ujuzi, vifaa, au chochote kile.

Lakini inashangaza siku hizi tunachomeana vifaranga, tunazuia mazao kuingia nchi moja kwenda nyingine, kwa ufupi hatunufaiki ipasavyo na huu ushitika wetu.

Hongereni majirani kwa kupiga hatua kwenye hilo eneo.
 
Japo pia lazima tujiulize mbona baadhi ya hivi vitu ukiagiza kutokea Uchina vina unafuu kwenye bei kuliko humu Afrika, hizi reli tunajenga huniuma sana pale unakuta vitu vingi vinatoka mbali, mataluma na vifaa ujenzi vingi tu, Afrika sijui wapi tulikosea wapi na mbona inachukua muda mwingi kurekebisha.
 
We acha tu mkuu. Chuki, husda na roho mbaya. Lakini kubwa zaidi ni kukosa viongozi wenye maono ya mbali na wasio wabinafsi. Uongozi na usimamizi mbovu wa rasirimali.
 
Japo pia lazima tujiulize mbona baadhi ya hivi vitu ukiagiza kutokea Uchina vina unafuu kwenye bei kuliko humu Afrika, hizi reli tunajenga huniuma sana pale unakuta vitu vingi vinatoka mbali, mataluma na vifaa ujenzi vingi tu, Afrika sijui wapi tulikosea wapi na mbona inachukua muda mwingi kurekebisha.
Asilimia ya viongozi 99% ya viongozi woote ni mapopoma, watumwa(wabinafsi) wa matumbo yao, unategemea nini chief. Wakipata nafasi hawafikirii taifa litapata nini kwanza, wanatizama kwanza wao watafaidika vipi

Na hii ni sumu iliyojikita katika mishipa ya damu hasa, vizazi kwa vizazi sumu hii haitatoka.. Ni 1 katika viongozi 100 kama sio 1000 kabisa mwenye uzalendo wa kweli..
 
Kuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
View attachment 1763109View attachment 1763110

Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.

Natuendelee kutolea majirani wetu msaada wa manufactured products.
 
Kuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
View attachment 1763109View attachment 1763110

Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.

I see "Kenyans" giving word of thanks!
 
Watakwambia Mwanza ina marine vessel manufacturing industry kubwa EAC wakati ni ushuzi tuu na kakampuni kao uchwara ka Songoro.

Ku appreciate alietangulia ni vizuri kwa ajili ya kujifunza

Hiyo songoro ata kama unaiita uchwara ila ni kampuni inajitahidi sana kwenye kuunda vyombo vya usafiri majini. Kwa kanda ya ziwa wamejitahidi sana. Hivyo usiwabeze kabisa. Ata kama hawajawafikia wakenya Ila ni jambo la muda tu watakua sawa.
 
I see "Kenyans" giving word of thanks!
Of course tunawashukuru kwa kutupatia contract ya kujenga 3 pilot boats baada ya kutupatia contract ya kuwajengea 2 large barges. Mumekuwa customers wazuri sana kwetu na lazima tuwashukuru. Hapa mumefanya vizuri na mumekuwa majirani wema. Muendelee vivyo hivyo.
 
Kwa hivyo Mo Dewji pia ni "Tanzanian?" Mbona unaweka neno Kenyan in quotes ama unadhani huyo Muhindi sio Mkenya? Huyo Muhindi ni Mkenya kama vile Mo ni Mtanzania.
hao si wakenya ni experts wa nje sikiliza wanachosema! halafu isitoshe what is 20 m boat? Tanzania ina kampuni inajenga bigger boats than that!

BTW chelezo ya ujenzi na ukarabati wa meli Zanzibar inarudishwa jeshini!

Back
Top Bottom