Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Songoro ni Kampuni ya Watanzania 100% hivyo vya Kenya ni mali ya mabeberu wakenya ni watumwa tu hapo.Hiyo songoro ata kama unaiita uchwara ila ni kampuni inajitahidi sana kwenye kuunda vyombo vya usafiri majini. Kwa kanda ya ziwa wamejitahidi sana. Hivyo usiwabeze kabisa. Ata kama hawajawafikia wakenya Ila ni jambo la muda tu watakua sawa.
Kuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
View attachment 1763109View attachment 1763110
Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.