Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Haka kaboti katapigiwa kelele. Masikini akipata matako hulia mbwata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kumpuni tanzania enye inajenga boats. Kule Mwanza ni wachina tupu ndio wamejaa na kuwajengea boats.hao si wakenya ni experts wa nje sikiliza wanachosema! halafu isitoshe what is 20m boat? tanzania ina kampuni inajenga bigger boats than that!
Here they are, they are soon getting shipped to Dar.Haka kaboti katapigiwa kelele. Masikini akipata matako hulia mbwata.
Mzee nishasema maskini akipata matako Julia mbwata.
Kenya ni nchi ya kibiashara. Haya mengine maneno ya tunaowalipa mishahara kwa kodi zetu sio msimamo halisi kwa ground.Ukishajua namna ya kula na hawa hautajali viburi vyao, unanyatia nyatia tu kwa kwenda mbele, wanatukana, wanakejeli ila wewe umo humo humo unakomalia tu.
Kama mna uwezo wa kujenga pilot boats mbona hamkujenga? Usiwe unaangalia size pekee. Angalia mpaka na complexity ya project yenyewe na timelines. Sisi tunapatia customer guarantee kwamba in one year's time, boats zote tatu zitakuwa tayari. Tuna fast turnaround time, yaani miradi tunazichapa haraka. Hatujui TPA walizingatia nini kwa kupatia Kenya mradi huu badala ya kupatia kampuni za Kitanzania.hao si wakenya ni experts wa nje sikiliza wanachosema! halafu isitoshe what is 20m boat? tanzania ina kampuni inajenga bigger boats than that!
In fact huko Mwanza wanajenga Meli. Mambo ya boat na other smaller vessels naona wanaprefer kuja Kenya sana. Pengine expertise yao kwenye ujenzi wa boat upo chini mno.Hakuna kumpuni tanzania enye inajenga boats. Kule Mwanza ni wachina tupu ndio wamejaa na kuwajengea boats.
Hahaha. Asante. Umefikiria kama watu hamsini.Hamna shida mkipata Kenya,imepata Afrika,sasa hv Kenya wanatengeneza Bunduki,hii tekinolojia ipo Afrika mashariki sasa,hata bongo wakiitaka,ni Swala la kutumia intelligensia vzr tu.
Iran ilinunua tekinolojia ya Nyuklia kutoka Pakistan,Pakistan waliipata kutoka India,India walipewa na USA,
Mi nataka Kenya,tengenezeni hata vifaru,submarine,magari ya kijapan,tekinolojia ikifika Kenya,ni bora kwetu kuriko ikiwa bado ipo Urusi,UK,USA,
Kwani vile venye viko pale likoni no gunia? Usilete kisirani hapa just because we are making most of your boats.Mzee nishasema maskini akipata matako Julia mbwata.
Sasa mmeshindwa kutengeneza kivuko cha mombasa mnashobokea Tanzania
Ni wachina ndio wanajenga meli huko, sio watanzania.In fact huko Mwanza wanajenga Meli. Mambo ya boat na other smaller vessels naona wanaprefer kuja Kenya sana. Pengine expertise yao kwenye ujenzi wa boat upo chini mno.
peleka upumbavu! hamna cha maana cha hizo boats! Hili lilishakuwa-discussed!Kama mna uwezo wa kujenga pilot boats mbona hamkujenga? Usiwe unaangalia size pekee. Angalia mpaka na complexity ya project yenyewe na timelines. Sisi tunapatia customer guarantee kwamba in one year's time, boats zote tatu zitakuwa tayari. Tuna fast turnaround time, yaani miradi tunazichapa haraka. Hatujui TPA walizingatia nini kwa kupatia Kenya mradi huu badala ya kupatia kampuni za Kitanzania.
Kenya ni nchi ya kibiashara. Haya mengine maneno ya tunaowalipa mishahara kwa kodi zetu sio msimamo halisi kwa ground.
Ukija huku mtaani tunategemeana sana. Na inatakiwa iwe hivyo sio kupigana biti na kina Shigela kufungiana mipaka.
Bidhaa ikiwepo bongo wateja Kenya bidhaa Kenya wateja Bongo mnapigana tafu namna hiyo siyo kuchokoana chokoana mnaenda agiza vitu huko Mexico sijui China upuuzi mtupu wa wanasiasa
BS. Kama huna hoja kaa mbali. Kwani TPA ni wazimu kutupatia sisi kazi? Mbona hawakupatia kampuni ya Kitanzania kama ni kweli mna uwezo? Au ni kwa sababu nyinyi ni lazy mtachukua miaka kumi kujenga wakaamua kuleta huku kwa wachapa kazi?peleka upumbavu! hamna cha maana cha hizo boats! Hili lilishakuwa-discussed!
Kiswahili kigumu kidogo huko kwenu naona kama sisi ilivyo kinge kigumuHii ndio sababu kuu kwanini Tanzania bado mpo maskini miaka yote hii, mnaendesha biashara zenu kindugu ndugu badala ya mahesabu ya kibiashara. Ukiwa na bidhaa nafuu, hakuna mwanabiashara atakwenda mbali, siku zote unanunua chochote kwa kufanya mipango na mahesabu, kama kipo karibu ya mipaka yako na kama bei yake ni nafuu na kama kitakua chenye ubora, hayo ya undugu hayahusu chochote kwenye corporate world.
Songoro marine anajenga kama hizo! Na ana tender nyingi kuliko kampuni yeyote EA! Hata meli za Kenya kajenga!BS. Kama huna hoja kaa mbali. Kwani TPA ni wazimu kutupatia sisi kazi? Mbona hawakupatia kampuni ya Kitanzania kama ni kweli mna uwezo? Au ni kwa sababu nyinyi ni lazy mtachukua miaka kumi kujenga wakaamua kuleta huku kwa wachapa kazi?