Ndugu yako na tena jirani yako akikutuma mtumikie. Hizo fursa ndizo zinazojenga ujirani mwema, waswahili wanasema ndugu wakigombana shika jembe ukalime na wakipatana chukua kapu ukavune. We are all brothers and sisters ndugu, don't be deceived by the boundaries made by white people.Kuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
View attachment 1763109View attachment 1763110
Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.
Nyerere aliwahi kusema inabidi kutumia rasirimali zetu kwa kadri inavyowezrkana, akasisitiza kinachopatikana Afrika mashariki au Afrika kitumie kutosheleza mahitaji ya ndani. Iwe ni ujuzi, vifaa, au chochote kile.
Lakini inashangaza siku hizi tunachomeana vifaranga, tunazuia mazao kuingia nchi moja kwenda nyingine, kwa ufupi hatunufaiki ipasavyo na huu ushitika wetu.
Hongereni majirani kwa kupiga hatua kwenye hilo eneo.
Japo pia lazima tujiulize mbona baadhi ya hivi vitu ukiagiza kutokea Uchina vina unafuu kwenye bei kuliko humu Afrika, hizi reli tunajenga huniuma sana pale unakuta vitu vingi vinatoka mbali, mataluma na vifaa ujenzi vingi tu, Afrika sijui wapi tulikosea wapi na mbona inachukua muda mwingi kurekebisha.
Asilimia ya viongozi 99% ya viongozi woote ni mapopoma, watumwa(wabinafsi) wa matumbo yao, unategemea nini chief. Wakipata nafasi hawafikirii taifa litapata nini kwanza, wanatizama kwanza wao watafaidika vipiJapo pia lazima tujiulize mbona baadhi ya hivi vitu ukiagiza kutokea Uchina vina unafuu kwenye bei kuliko humu Afrika, hizi reli tunajenga huniuma sana pale unakuta vitu vingi vinatoka mbali, mataluma na vifaa ujenzi vingi tu, Afrika sijui wapi tulikosea wapi na mbona inachukua muda mwingi kurekebisha.
Natuendelee kutolea majirani wetu msaada wa manufactured products.Kuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
View attachment 1763109View attachment 1763110
Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.
I see "Kenyans" giving word of thanks!Kuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
View attachment 1763109View attachment 1763110
Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.
Watakwambia Mwanza ina marine vessel manufacturing industry kubwa EAC wakati ni ushuzi tuu na kakampuni kao uchwara ka Songoro.
Ku appreciate alietangulia ni vizuri kwa ajili ya kujifunza
Of course tunawashukuru kwa kutupatia contract ya kujenga 3 pilot boats baada ya kutupatia contract ya kuwajengea 2 large barges. Mumekuwa customers wazuri sana kwetu na lazima tuwashukuru. Hapa mumefanya vizuri na mumekuwa majirani wema. Muendelee vivyo hivyo.I see "Kenyans" giving word of thanks!
hao si wakenya ni experts wa nje sikiliza wanachosema! halafu isitoshe what is 20 m boat? Tanzania ina kampuni inajenga bigger boats than that!Kwa hivyo Mo Dewji pia ni "Tanzanian?" Mbona unaweka neno Kenyan in quotes ama unadhani huyo Muhindi sio Mkenya? Huyo Muhindi ni Mkenya kama vile Mo ni Mtanzania.