Kenya inaunda pilot boats tatu na nchi iliyoagiza ni Tanzania

Hiyo songoro ata kama unaiita uchwara ila ni kampuni inajitahidi sana kwenye kuunda vyombo vya usafiri majini. Kwa kanda ya ziwa wamejitahidi sana. Hivyo usiwabeze kabisa. Ata kama hawajawafikia wakenya Ila ni jambo la muda tu watakua sawa.
Songoro ni Kampuni ya Watanzania 100% hivyo vya Kenya ni mali ya mabeberu wakenya ni watumwa tu hapo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…