Katika vitu vinavyowauma wakenya,ni hii brt..na ikija ile treni ya umeme wataumia mara 8 zaidi ..sijui kwa nini inachelewa,hawa mungiki tushawaua bado kuzika tu
ππππ Pole jirani,tunajua unavyotukutia kwa maumivu sindano nyingine hii hapa,πππEndeleeni kujitia vidole
Hii ni nini?ππππ Pole jirani,tunajua unavyotukutia kwa maumivu sindano nyingine hii hapa,πππ
View attachment 1583739
Hehehe! Jua yafuatayo jiraniYaani sikuizi watu wa TZ mnafurahisha yaani how can you waste your energy all energy to google and follow up thing concerning about kenya..inchi ambayo haina ata shughuli na nyinyi..that is what we call obsession!!!..a typical example of obsession.
Kuna watu wengine hawajawai fika kenya kazi yao ni ku google na ku create alot of illusion on their mind how kenyans are suffering and yet you mind find yeye mwenyewe anaishi uswazi ama anaishi na wazazi wake hana kazi kabisa. my fellow obsessed tz..the amount of energy that you use to google about kenya direct it towards your country and google about how to develop your country.
Things are different kwa ground ..why should you become obsessed with someone whom does not even care about what you eat or drink..ni kama kumfuata fuata mwanamke mwenye hakutaki at the end of day its you who will loose.
[emoji373][emoji373][emoji373]Sasa unaemlilia humu ni nani?
Unafikiri kuna mamayako wa kukubembeleza hapa?, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huku ni spana mwanzo mwisho mpaka saa ya kulala
π π π angalia mlivyo obsessed na Tanzania, kuanzia top celebrity mpaka lowest goon, wote ni Tanzania tu, mtupumzishe tulale. πππView attachment 1583781
am done with you..i rest my case with you
Sasa unalia nini!Yaani sikuizi watu wa TZ mnafurahisha yaani how can you waste your energy all energy to google and follow up thing concerning about kenya..inchi ambayo haina ata shughuli na nyinyi..that is what we call obsession!!!..a typical example of obsession.
Kuna watu wengine hawajawai fika kenya kazi yao ni ku google na ku create alot of illusion on their mind how kenyans are suffering and yet you mind find yeye mwenyewe anaishi uswazi ama anaishi na wazazi wake hana kazi kabisa. my fellow obsessed tz..the amount of energy that you use to google about kenya direct it towards your country and google about how to develop your country.
Things are different kwa ground ..why should you become obsessed with someone whom does not even care about what you eat or drink..ni kama kumfuata fuata mwanamke mwenye hakutaki at the end of day its you who will loose.
.
Tunatumia asilimia moja na tunawapiga spana humu hadi mnalia lia ovyo,
Wakunya wivu utawaua nyang'au wale,wana roho mbaya hatariKatika vitu vinavyowauma wakenya,ni hii brt..na ikija ile treni ya umeme wataumia mara 8 zaidi ..sijui kwa nini inachelewa,hawa mungiki tushawaua bado kuzika tu
Hii ni id ya ngapi unafungua toka huu mwaka uanze [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ulipo ringtone ya simu yako ni bongofleva,halafu mnajifanya amfuatilii habari za TZ!Yaani sikuizi watu wa TZ mnafurahisha yaani how can you waste your energy all energy to google and follow up thing concerning about kenya..inchi ambayo haina ata shughuli na nyinyi..that is what we call obsession!!!..a typical example of obsession.
Kuna watu wengine hawajawai fika kenya kazi yao ni ku google na ku create alot of illusion on their mind how kenyans are suffering and yet you mind find yeye mwenyewe anaishi uswazi ama anaishi na wazazi wake hana kazi kabisa. my fellow obsessed tz..the amount of energy that you use to google about kenya direct it towards your country and google about how to develop your country.
Things are different kwa ground ..why should you become obsessed with someone whom does not even care about what you eat or drink..ni kama kumfuata fuata mwanamke mwenye hakutaki at the end of day its you who will loose.
Duuh leo umeacha kuikandia Tz au umeitukana kinyumenyume?Kuna hali ya sintofahamu inaendelea nchini Kenya inayoshindwa kutafsiriwa kama ni Kenya inferiority complex ama vipi
Kenya ipo desperately sana kupambana na Tanzania kwenye maeneo ambayo imeachwa mbali
Tulifikiri wenge liliishia kwenye kupaka lipsticks barabarani kumbe wamekuja mpaka na mikokoteni, yote hii ni kukimbizana na speed ya Tanzania
View attachment 1583510View attachment 1583511
Sijui na SGR walioambiwa ingekuwa ya umeme 2020 itaanza lini sababu mwaka ndio unaenda ukingoni huu
SGR za kenya zinatumia kerosene ni 20km/hourSijui na SGR walioambiwa ingekuwa ya umeme 2020 itaanza lini sababu mwaka ndio unaenda ukingoni huu