Kenya inavyonyanyasika na Tanzania

Kenya inavyonyanyasika na Tanzania

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Kuna hali ya sintofahamu inaendelea nchini Kenya inayoshindwa kutafsiriwa kama ni Kenya inferiority complex ama vipi

Kenya ipo desperate sana kupambana na Tanzania kwenye maeneo ambayo imeachwa mbali.

Tulifikiri wenge liliishia kwenye kupaka lipsticks barabarani kumbe wamekuja mpaka na mikokoteni, yote hii ni kukimbizana na speed ya Tanzania

EKdKVMoWsAAag4z.jpg
2532561_IMG_1601275663.158268.jpg

Sijui na SGR walioambiwa ingekuwa ya umeme 2020 itaanza lini sababu mwaka ndio unaenda ukingoni huu
 
Katika vitu vinavyowauma wakenya,ni hii brt..na ikija ile treni ya umeme wataumia mara 8 zaidi ..sijui kwa nini inachelewa,hawa mungiki tushawaua bado kuzika tu

na inawauma zaidi pale wanapokumbuka kuwa ni mradi wa pesa ndefu sana sio maigizo na uhuni uhuni.
 
Yaani hata siamini Kama hizi ndio BRT walizokuwa wanapigia kelele humu! Haya mabasi yao,huku Tabora yanafanya safari zake Kijiji cha 'lshimuluwa'😂😂😂 dah,nimecheka Sana.
 
Yaani sikuizi watu wa TZ mnafurahisha yaani how can you waste your energy all energy to google and follow up thing concerning about kenya..inchi ambayo haina ata shughuli na nyinyi..that is what we call obsession!!!..a typical example of obsession.

Kuna watu wengine hawajawai fika kenya kazi yao ni ku google na ku create alot of illusion on their mind how kenyans are suffering and yet you mind find yeye mwenyewe anaishi uswazi ama anaishi na wazazi wake hana kazi kabisa. my fellow obsessed tz..the amount of energy that you use to google about kenya direct it towards your country and google about how to develop your country.

Things are different kwa ground ..why should you become obsessed with someone whom does not even care about what you eat or drink..ni kama kumfuata fuata mwanamke mwenye hakutaki at the end of day its you who will loose.
 
Hehehe! Jua yafuatayo jirani

1. Tanzania vijana wengi hujitegemea wakiwa wadogo,kinyume na Kenya.hawa waliomo humu sio kula kulala,ni watu wenye kazi zao za maana na kipato cha kueleweka.
2. Wengi humu tumetembelea nchi za A.mashariki mm ni mmojawapo niliekaa Kenya zaidi ya miaka 9!
3. Kati ya uswazi na slums ni ipi afadhari jirani?
4. Nyinnyi ndio mko obsessed na TZ,ndio maana kila kitu kizuri mnakitangaza kwenye mitandao kwamba ni cha kwenu,huwezi kkuta mtz akisema kitu chochote kutoka Kenya kwamba ni cha TZ,now,who is obsessed with who?
5. Hayo maneno yako ni kukta tamaa, mwanzoni mlijisifia kwamba nyinyi ndio mwamba hapa EA,baada ya kugundua kwamba tunawafunika,mnaanza kulialia.
 
Yaani sikuizi watu wa TZ mnafurahisha yaani how can you waste your energy all energy to google and follow up thing concerning about kenya..inchi ambayo haina ata shughuli na nyinyi..that is what we call obsession!!!..a typical example of obsession.

Kuna watu wengine hawajawai fika kenya kazi yao ni ku google na ku create alot of illusion on their mind how kenyans are suffering and yet you mind find yeye mwenyewe anaishi uswazi ama anaishi na wazazi wake hana kazi kabisa. my fellow obsessed tz..the amount of energy that you use to google about kenya direct it towards your country and google about how to develop your country.

Things are different kwa ground ..why should you become obsessed with someone whom does not even care about what you eat or drink..ni kama kumfuata fuata mwanamke mwenye hakutaki at the end of day its you who will loose.
.
Sasa unalia nini!

Spana zipo pale pale [emoji373][emoji373][emoji373]

Katika vitu vinavyowauma wakenya,ni hii brt..na ikija ile treni ya umeme wataumia mara 8 zaidi ..sijui kwa nini inachelewa,hawa mungiki tushawaua bado kuzika tu
Wakunya wivu utawaua nyang'au wale,wana roho mbaya hatari
 
Yaani sikuizi watu wa TZ mnafurahisha yaani how can you waste your energy all energy to google and follow up thing concerning about kenya..inchi ambayo haina ata shughuli na nyinyi..that is what we call obsession!!!..a typical example of obsession.

Kuna watu wengine hawajawai fika kenya kazi yao ni ku google na ku create alot of illusion on their mind how kenyans are suffering and yet you mind find yeye mwenyewe anaishi uswazi ama anaishi na wazazi wake hana kazi kabisa. my fellow obsessed tz..the amount of energy that you use to google about kenya direct it towards your country and google about how to develop your country.

Things are different kwa ground ..why should you become obsessed with someone whom does not even care about what you eat or drink..ni kama kumfuata fuata mwanamke mwenye hakutaki at the end of day its you who will loose.
Hapo ulipo ringtone ya simu yako ni bongofleva,halafu mnajifanya amfuatilii habari za TZ!
 
Kuna hali ya sintofahamu inaendelea nchini Kenya inayoshindwa kutafsiriwa kama ni Kenya inferiority complex ama vipi

Kenya ipo desperately sana kupambana na Tanzania kwenye maeneo ambayo imeachwa mbali

Tulifikiri wenge liliishia kwenye kupaka lipsticks barabarani kumbe wamekuja mpaka na mikokoteni, yote hii ni kukimbizana na speed ya Tanzania

View attachment 1583510View attachment 1583511

Sijui na SGR walioambiwa ingekuwa ya umeme 2020 itaanza lini sababu mwaka ndio unaenda ukingoni huu
Duuh leo umeacha kuikandia Tz au umeitukana kinyumenyume?
 
Back
Top Bottom