Kenya insecurity: 14 wauawa, 9 mahututi

Kenya insecurity: 14 wauawa, 9 mahututi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Majirani waendelea kushuhudia hali ya usalama ikizidi kuzorota kila kukicha, Alshabaab wakioongoza katika kusababisha wasiwasi, huku makundi mengine ya wahalifu yakiweka pili pili katika vidonda vilivyoachwa wazi na Alshabaab. R.I.P.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuzidi kulenga juu, tutafika tu hata vizuizi Kama hivi vikizidi kuchipuka hapa na pale. We have faced such before and emerged unshaken. It is evident that we have persevered all and managed to shape the destiny of Africa.
There are only 4 powe houses in Africa
  1. Nigeria - West Africa
  2. Egypt - North Africa
  3. South Africa - SADC(Southern Africa)
  4. Kenya - East and Central Africa and the horn of Africa to the borders of South Africa hata Tunisia wanatutambua.... Morocco tuko nao hapa kea hapa...hapa nyumbani hatuna mshindani labda Rwanda.
 
Kwahiyo kwenu usalama, njaa, ukabila, rushwa, slums, poverty sio muhimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuzidi kulenga juu, tutafika tu hata vizuizi Kama hivi vikizidi kuchipuka hapa na pale. We have faced such before and emerged unshaken. It is evident that we have persevered all and managed to shape the destiny of Africa.
There are only 4 powe houses in Africa
  1. Nigeria - West Africa
  2. Egypt - North Africa
  3. South Africa - SADC(Southern Africa)
  4. Kenya - East and Central Africa and the horn of Africa to the borders of South Africa hata Tunisia wanatutambua.... Morocco tuko nao hapa kea hapa...hapa nyumbani hatuna mshindani labda Rwanda.
Hahahaha, bila Tanzania hakuna East Africa, hata wanyarwanda wanajua hilo. By the way we are more in Southen Africa than in Eastern Africa, msituhesabu kwamba miongoni mwa " hapa nyumbani". Nchi za Eastern Afrika ni Kenya, Uganda, Somalia, Ethiopia na Djibouti, hao ndio mnafanana katika mambo Mengi kama, Insecurity, tribalism, hunger, locust infestation, desert and others

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila

Bila Burundi hakuna East Africa na bila Kenya hamna wa kuiongoza East Africa.
 
Walivyoanzisha cow halafu ikazimika kama mshumaa kwenye upepo ,mpaka Leo najiuliza hivi hawa ndugu zetu kwenye vichwa vyao wanawaza nini ,nashindwa kuwaelewa kwakweli
 
Hahahaha, bila Tanzania hakuna East Africa, hata wanyarwanda wanajua hilo. By the way we are more in Southen Africa than in Eastern Africa, msituhesabu kwamba miongoni mwa " hapa nyumbani". Nchi za Eastern Afrika ni Kenya, Uganda, Somalia, Ethiopia na Djibouti, hao ndio mnafanana katika mambo Mengi kama, Insecurity, tribalism, hunger, locust infestation, desert and others

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale Nairaland Kuna kilaza fulani Mtanzania alileta huo upuzi wa SADC Msauzi fulani alimcheka hadi huruma. Yani hii SADC ni Bongo tu mnayoishobokea. Huko kwengine ni kitu bogus hakuna aliye na shughuli nacho. 😂😂😂
Screenshot_2020-01-28-20-02-31.png
 
Pale Nairaland Kuna kilaza fulani Mtanzania alileta huo upuzi wa SADC Msauzi fulani alimcheka hadi huruma. Yani hii SADC ni Bongo tu mnayoishobokea. Huko kwengine ni kitu bogus hakuna aliye na shughuli nacho. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1338540
Naona unaonyesha uwanja wako wa kujidai kwa kuipondea bongo bila ya upinzani. Tunakusoma tu, waswahili tunasemaga kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo tofauti ya East Africa na East Africa community.
Hahahaha, bila Tanzania hakuna East Africa, hata wanyarwanda wanajua hilo. By the way we are more in Southen Africa than in Eastern Africa, msituhesabu kwamba miongoni mwa " hapa nyumbani". Nchi za Eastern Afrika ni Kenya, Uganda, Somalia, Ethiopia na Djibouti, hao ndio mnafanana katika mambo Mengi kama, Insecurity, tribalism, hunger, locust infestation, desert and others

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale Nairaland Kuna kilaza fulani Mtanzania alileta huo upuzi wa SADC Msauzi fulani alimcheka hadi huruma. Yani hii SADC ni Bongo tu mnayoishobokea. Huko kwengine ni kitu bogus hakuna aliye na shughuli nacho. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1338540
Hivi kuna useless community kama EAC?, kila siku kukwaruzana hakuishi, Burundi na Rwanda, hawapatani, Rwanda na Uganda muda si mrefu watapigana, Uganda na Kenya chokochoko haziishi, ujinga mtupu.
SADC kumetulia, soko ni kubwa sana hata ninyi wakenya ndio mnalotegemea kuliko EA. Ona tunavyofaidika

Ila hatushobokei EAC Kama mnayoishobokea SADC. Yani EAC kila mtu anaichukulia hivi hivi tu. SADC nayo kila siku mnajipiga vifua nayo wakati nchi zingine haziitambui. Yani mnabaki Kama mafala.
 
Hahahaha, roho zinawauma sana kwa kutokuwemo SADC kutokana na kuwasaliti waafrika wenzenu enzi za ukombozi. SADC ni soko lenye watu zaidi ya milioni 400 na GDP zaidi ya $500B, kuna miradi ya pamoja zaidi ya 7, ambapo nchi zinapata ' dividend " kila mwaka, tunasaiiana pale nchi mwanachama anapopata matatizo, gusa nchi moja muone moto wake.

Nimekwambia, SADC anayeitambua ni Mtanzania tu Kama huyo Msauzi alivyosema. Yani nyinyi wabongo ujamaa haujawai mtoka. Biashara haifanywi hivo Kijana. Biashara inategemea una nini ninachohitaji nami nina nini unachohitaji. These trade blocks are just schemes for politicians to make money and create jobs for their kin. Kenya currently trades more with SA than Tz does, so what's the use of SADC? Amkeni majamaa.
 
Back
Top Bottom